Kagame, Ubaguzi dhidi ya Wahutu utakugharimu mbeleni

Kagame, Ubaguzi dhidi ya Wahutu utakugharimu mbeleni

HIi ni topic ni goldmine kwa interahamwe...endeleeni kujidanganya na hadithi zenu za kilevi Rwanda is moving ahead.

Yeah Rwanda is moving ahead yet you are still in exile not willing to come back to enjoy achievement of ur country. Very interesting!

Forget 'operesheni kimbunga' whereby Rwandans were returned to Rwanda by force? Rwandans were not willing to go back home to enjoy milk and honey provided by Kagame regime.

Wapumbavu ndio wadanganywao na propaganda za tutsi-hima!
 
.. nenda Rwanda, halafu jaribu kuongelea au kuhojihoji kuhusu PK..., watu wanakula kona! Utahisi tu mambo hayako sawa.
 
.. nenda Rwanda, halafu jaribu kuongelea au kuhojihoji kuhusu PK..., watu wanakula kona! Utahisi tu mambo hayako sawa.

aisee labda wenyeji wako wawe na uhakika kwamba wewe ni mgeni vinginevyo unaweza kupigwa, kwani mtu anayeuliza uliza hivyo huwa ni wafanyakazi wa DMI wanaotaka kukamatisha watu.
 
My view I think kagame ameibadilisha Rwanda sana lakini ajaribu kupunguza hii ethnicity unbalance kwenye opportunities, kwani itakuja kualibu kila kitu alichokijenga Kwa jasho na damu, Rwanda haitakuwa na Amani kama chuki bado inapikwa chinichini hayo mambo ya ubwana na utwana yashapitwa na wakati atoe fulsa Kwa wote, ULAKOZA CYANE!!
 
GDP inaficha mambo mengi mkuu, nchi inaweza kuwa na GDP kubwa lakini wananchi wake maskini wa kutupwa mfano wa jirani ni Kenya tu hapo Nairobi japo GDP ni kubwa karibu nusu ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye SLUMS zile za KIBERA, MATHARE n.k. Pia usafi wa jiji (mji) wa KIGALI usikutishe, ilitolewa amri kuwa kila mwenye nyumba ya tope ahakikishe amepiga plasta na serikali itachangia bati na simenti ikiwa wenye nyumba hawana uwezo kabisa. Hali ngumu ya mji kama Kigali inafanya Wadada wengi wajiuze tu tena kwa bei kali sana kuanzia 100 USD/night

​Huko sio kujiuza kwa njaa!
 
Yeah Rwanda is moving ahead yet you are still in exile not willing to come back to enjoy achievement of ur country. Very interesting!

Forget 'operesheni kimbunga' whereby Rwandans were returned to Rwanda by force? Rwandans were not willing to go back home to enjoy milk and honey provided by Kagame regime.

Wapumbavu ndio wadanganywao na propaganda za tutsi-hima!

Pls stop BS nonsense niko exile na sijui umeipata wapi and why do you care about my whereabouts? kuna maelfu ya watanzania,Americans,British etc wako nje ya nchi vipi kwani nao wamekimbia vita na njaa? anyway ndio akili yenu ya interahamwe ilipofikia siwezi kukusaidia.
 
Kumbe ulirudi kutoka USA? Hongera! Nadhani umekuja kwa ajili ya referendum ya 3rd term ya PaKa.

Mbona Tanzania, UK na USA hawamo kwenye hiyo 10 bora mnayoshadadia? Ilitakiwa hao peke yao (siyo wanyarwanda) ndio watoroke makwao!

Au uko buKOBA? Nasikia wahamiaji haramu kutoka Rwanda wamerudi huko na kujiandikisha ili kupiga kura mwezi wa 10, 2015.
 
kagame n mafia tu yule jamaa hivi unajua hataki mpinzani mule Rwanda hata ukiwa nje ya nchi anakufuatilia kuna jamaa walikuwa wanaishi Ghana katuma majasusi wameenda kuwashughulikia huko huko Ghana qumambuzi, jamaa ni baraaa

Namkubali sana hapendi blablaa..
 
huyu PaKa kiuongozi ni mzuri ila haongozi vizuri, anachofanya ni kutengeneza tatizo kama ambalo lilikuweko kabla ya hajaingia madarakani. na yeye anajua hilo ila ubishi tu, kwa kulifahamu hilo ndio maana anaishi kwa uoga tu kila siku, paranoia ya hali ya juu yani mpaka unakimbia ikulu yako, yani kwa wiki unaweza lala sehemu si chini ya 3!? alafu anafikiri hatufahamu. Angesoma hata alama za nyakati basi maana hata wale waliomkingia kifua kana US, uingereza wanaanza kumgeuka. akiri tu kuwa pande zote zilihusika akamate watutsi waliohusika wasameheane wajenge nchi. vita na vurugu kwao zinatuathiri sie majirani zake, maana watakuja wakimbizi humu, biashara zitaathirika maana huko soko linapotea n.k sasa sisi tunamshauri anainua mdomo wake, pumbv kabisa analeta sie hatujamjibu kabisa, sio size yetu ila akizidi kujichanganya tu natamani basi tumpe adabu, sema tu hiyo sio reputation yetu.
 
Ndamenyetse kuzougamba kwaya hayavugwa. ubaguzi ni mkubwa sana Rwanda, nimekuwepo pale kila kona ni watutsi, nikajiuliza wahutu waliowengi wako wapi????? Mrutongore ukishuka tu Kigali Airport macho yako yatakwambia labda kwa yule asiyweza kuwatofautisha. PK is good, I like that guy lakini ajitahidi kwa uchungu ajenge Taifa moja kuliko kujenga kabila moja na kuacha linguine ambalo litakuja kusumbua hapo baadae

PK kajenga taifa moja lisilo na ukabila kiivyo nasema hvyo kwasababu nina soma na wanyarwanda wengi sana, ingawa bylookin majority ni wa tutsi na hutu wapo bt cyo wengi. ......we call them wanyarwanda au mnyarwanda. .....ukisema mtutsi au mhutu utamindiwa hatar.......wanampenda jamaa PK coz amejaribu kuondoa uhutu na ututsi na kuweka unyarwanda hakuna kingine
 
kagame n mafia tu yule jamaa hivi unajua hataki mpinzani mule Rwanda hata ukiwa nje ya nchi anakufuatilia kuna jamaa walikuwa wanaishi Ghana katuma majasusi wameenda kuwashughulikia huko huko Ghana qumambuzi, jamaa ni baraaa
Hivi nchi za Kiafrika zikoje? PK anawezaje kutuma majasuzi ugenini na kuwadhuru wakimbizi wa kisiasa, alafu hasichukuliwe hatua! Viongozi wa Kiafrika ndio wanamvimbisha kichwa, akifanya tena ujinga wake cha kufanya ni kumtia mbaroni Balozi wake kwanza na kumtia kashikashi mpaka ajute kuzaliwa, si rahisi majasusi wa Kagame kuingia nchi yoyote bila ya Balozi wao kupata taarifa in advance.

Regime ya PK inatumia fedha lukuki kuwaonga MSM outlets kuzuga Dunia ili upande wake wa pili wa shilling usijulikane! Wamekazani kumpipia debe la kumsifia wana ignore attrocities anazo wafanyia binadamu wenzake with impunity hivi sasa ndio naona Mataifa ya magharibi ndio wameanza kumshtukia

Viongozi wa Afrika wapenda amani wanapaswa kujua kwamba PK and his henchmen are not all that smart - hivyo regime yake na yeye binafsi wanaweza kuwa contained na kupewa fundisho la mwaka, jamaa huyo ni tatizo sana katika kanda ya Maziwa Mkuu, nawambieni vurugu zinazo ikumba Burundi now na Kivu Congo zinasababishwa na tantacles za PK, don't you underrate determination za regime ya PK ku dis-stablise Nchi hizo mbili, nia yake hasa ni kutaka kuwaweka Watutsi wenzake kwenye madaraka kama kianzio cha grandplan zao na Mseveni za kuhunda HIMA EMPIRE, tukumbuke kwamba ajenda yao ya siri ya kuhunda himaya ya kishenzi hazijafa.

Nchi za Kiafrican zinapaswa ku deal na PK NOW NOT LATER,mkimwachia atambe no one will be safe.
 
Wafanyakazi wa EAC kutoka Rwanda wote ni watutsi hakuna mhutu hata mmoja.Hii niliambiwa na mfanyakazi mtanzania anayefanyakazi EAC makao makuu Arusha.
 
Ubaguzi ni dhambi mbaya kuliko shetani mlaaniwa.
Tujifunze na huku kwetu,hata kama jamii fulani unaichukia,"be silent".
Kauli kama "TUTAHAKIKISHA NCHI HII HAITOONGOZWA NA MTU KUTOKA KANDA YA MAWASHI"
hizi kauli si njema.
Watusi walidhani WAHUTU(Habierimana) hawakustahili kuongoza Rwanda,basi waelewe dhambi hiyo hiyo itawageuka siku moja.
 
PK kajenga taifa moja lisilo na ukabila kiivyo nasema hvyo kwasababu nina soma na wanyarwanda wengi sana, ingawa bylookin majority ni wa tutsi na hutu wapo bt cyo wengi. ......we call them wanyarwanda au mnyarwanda. .....ukisema mtutsi au mhutu utamindiwa hatar.......wanampenda jamaa PK coz amejaribu kuondoa uhutu na ututsi na kuweka unyarwanda hakuna kingine

Kwanin majority ni Watutsi ambao ni 15% ya population na sio Wahutu 85% ya population?ulipaswa ujiulize!
 
aisee labda wenyeji wako wawe na uhakika kwamba wewe ni mgeni vinginevyo unaweza kupigwa, kwani mtu anayeuliza uliza hivyo huwa ni wafanyakazi wa DMIwanaotaka kukamatisha watu.
Mkuu jMali,kila kitu kina mwisho wake _ hakuna Taifa lililokuwa na regime kandamizi kama Romania ya Shoshesiku(nimeandika kiswahili) alikuwa na kikundi cha intelijensia 'securitate' kikundi hicho kilikuwa balaa,licha yakuwa na kikundi hicho hatari lakini siku ya siku ilipofika yeye na mkewe walikamatwa wakitoroka na helicopter wakatiwa pingu,licha ya kukamatwa Rais huyo ambaye alikuwa na jeuri na kiburi aliendelea kuwakoromea jamaa waliomtia mbaroni akibweka kama mbwa wa Kijeruman aina ya Shepard -mar oo hamjui kwamba mimi bado ni Rais wa Romania, mara ooh Helicopter gunship zitawamaliza msipo nihach
a huru, alikuwa anatia huruma sana na hizo ndizo traits za majitu makatili Duniani wanaogopa sana kifo!!

Majigambo yote ya Rais wa Romania na mkewe baada ya kutiwa mbaroni na wanamgambo haikuwasaidia chochote waliburuzwa nyuma ya kuta za Barracks na kumiminiwa risasi!! Tukio hilo lilimshtua sana Rais K.Nyerere na wenzake, ninacho taka kumkumbusha PK ni kwamba huwezi kutawala majority forever hata ukitumia ngumi ya chuma,kuna siku kibao kitagehuka ambacho kitawaweka Watutsi katika hali ngumu kushinda ya mwaka 1958 wazazi wako walipo kimbilia Uganda ukiwa kinda, usipo hacha kuwafanya Wahutu/Batwa secondary citizen,kuwapiga vita kisaikolojia masaa yote wajutie matendo ya wazazi wao,key posts unawapa Watutsi wenzako mkijidanganya kwamba its now or never,leo nakwambia kwamba mbinu zenu hizo ndio zitawaletea matatizo nchini mwemu siku za mbeleni nakukumbusha tena kwamba Wahutu na wengine ambao ni ni Majority si wajinga kama mnavyo wafikilia siku moja watalipuka na nyinyi mtakosa pa kukimbilia.
 
Kwa utafiti wangu mdg niliifanya pale kigali 2010 na 2014...unachosema sawa sawa mkuu...hata mm niliwahi kumwambia mtu..Rwanda iko siku wahutu watalipiza tu
 
PK kajenga taifa moja lisilo na ukabila kiivyo nasema hvyo kwasababu nina soma na wanyarwanda wengi sana, ingawa bylookin majority ni wa tutsi na hutu wapo bt cyo wengi. ......we call them wanyarwanda au mnyarwanda. .....ukisema mtutsi au mhutu utamindiwa hatar.......wanampenda jamaa PK coz amejaribu kuondoa uhutu na ututsi na kuweka unyarwanda hakuna kingine

Kama wote ni wanyarwanda ulijuaje huyu ni mtutsi na yule ni mhutu?

Composition ya Rwandese kimakabila ni 15% (tutsi), 84% (hutus) na 1% (twa).

Sasa inakuwaje mashuleni watutsi ni wengi kuliko wahutu?

Watutsi nimesoma nao sekondari, ni vilaza ajabu kuliko wahutu.

Mwaka niliomaliza o'level mtutsi mmoja kati ya 13 alienda a'level tena kwa div 3 point 24 wakati ule!

Mimi sishangai watutsi kuwa wengi huko kwani ni mkakati wa kagame na rpf yake kupendelea watutsi wenzake.

Ona baraza la mawaziri, mabalozi nchi za nje, wakurugenzi idara mbalimbali, jeshini, polisi, usalama wa taifa, bunge, nk; majority (>80%) ni watutsi tena wengi wao ni kutoka ukoo wa kagame.

Hii ni abnormal coincidence!
 
Kwenye Investments nyingi pale KIGALI (ambazo ni zake kupitia utajiri wa MADINI aliyopora CONGO) but amejificha kwenye migongo ya watu ameajiri majority TUTSI. Huyu Jamaa appointments nyingi za kimataifa ameweka Wa-TUTSI.
 
PK kajenga taifa moja lisilo na ukabila kiivyo nasema hvyo kwasababu nina soma na wanyarwanda wengi sana, ingawa bylookin majority ni wa tutsi na hutu wapo bt cyo wengi. ......we call them wanyarwanda au mnyarwanda. .....ukisema mtutsi au mhutu utamindiwa hatar.......wanampenda jamaa PK coz amejaribu kuondoa uhutu na ututsi na kuweka unyarwanda hakuna kingine

Hiyo yote ni kanyaboya, Kagame hataki ututsi na uhutu kwa sababu watutsi wake wanashikilia sehemu zote dispropotionately, hivyo ikijulikana itamletea aibu kwa mataifa ya nje. Ndio sababu wanatumia neno "wanyarwanda". Lakini mwenyewe be honest, mtu akikuambia unafanana na wanyarwanda ni picha gani inayokujia? mtu anayefanana na Mwakyembe au Magufuli au mtu anayefanana na avatar yangu?
 
Back
Top Bottom