Kagame, Ubaguzi dhidi ya Wahutu utakugharimu mbeleni

Kagame, Ubaguzi dhidi ya Wahutu utakugharimu mbeleni

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,224
Reaction score
39,703
Ukibahatika kutembelea Rwanda hasa katika Makumbusho ya Mauaji ya Kimbari utagundua kuwa stori "Imepikwa" kuwa eti WATUTSI ndio walikuwa wakiuliwa na WAHUTU lakini huelezwi WATUSI wakishiriki mauaji hayo ya KIMBARI, kama vile WAHUTU tu ndio walikuwa na Silaha za kuwaua WATUTSI, pia Baraza la Mawaziri, Senior positions katika Serikali, Jeshi, Balozi zimejaa WATUTSI kwa kujifichia kwenye Jinsia (Women Empowerment).

Ila nakuhakikishia ipo siku utashangaa hao WAHUTU wamekuja kulipa kisasi cha kuwabagua katika HISTORIA ya mauaji ya KIMBARI, Nafasi za ajira serikalini, elimu na Mikopo ya Biashara.
 
pamoja na mazuri uliyofanya rwanda hii dhambi ya kubagua wahutu ndo itakuondoa madarakani we mtukutu kagame tena wakisaidiwa na jirani zako. eti mausji ya kimbari yalisababishwa na wahutu tu? kwani wewe kagame ni mhutu? RPF ni ya wahutu?
 
kagame n mafia tu yule jamaa hivi unajua hataki mpinzani mule Rwanda hata ukiwa nje ya nchi anakufuatilia kuna jamaa walikuwa wanaishi Ghana katuma majasusi wameenda kuwashughulikia huko huko Ghana qumambuzi, jamaa ni baraaa
 
Duuh hivi huyu jamaa anataka nini haswaa!! maana yeye kila mpinzani wake anamshughulikia tu anataka abaki mwenyewe Rwanda? anafikiri atakwepa mkono wa sheria mpaka lini? ana kesi ya kujibu Ufaransa kwa kuhusika kwenye yale mauaji ya kimbari
 
mi naona mambo ya wanyarwanda tuwaachie wenyewe, nimekaa na some guys from rwanda i can tell watu wanampenda huyu jamaa, hizi hate zote zinatoka kwetu ambao hata hatuishi rwanda kujua what those guys are going through.
 
Ukibahatika kutembelea Rwanda hasa katika Makumbusho ya Mauaji ya Kimbari utagundua kuwa stori "Imepikwa" kuwa eti WATUTSI ndio walikuwa wakiuliwa na WAHUTU lakini huelezwi WATUSI wakishiriki mauaji hayo ya KIMBARI, kama vile WAHUTU tu ndio walikuwa na Silaha za kuwaua WATUTSI, pia Baraza la Mawaziri, Senior positions katika Serikali, Jeshi, Balozi zimejaa WATUTSI kwa kujifichia kwenye Jinsia (Women Empowerment). Ila nakuhakikishia ipo siku utashangaa hao WAHUTU wamekuja kulipa kisasi cha kuwabagua katika HISTORIA ya mauaji ya KIMBARI, Nafasi za ajira serikalini, elimu na Mikopo ya Biashara.

mkuu tufuatilie na maendeleo anayopeleka rwanda, je yanaenda kwa watutsi tu au na wahutu?
 
Mwezi May 2015 kulikuwa na kikao cha African we want,waweza kucheck sehemu ya mkutano huo kwenye hii link


Nikiwa kama mmoja wa washiriki linilishangaa sana kumwona na kumsikia Kagame akiwa bado analaumu wahutu kwamba wao ndo waliwaua watutsi kwa kile alichokiiata kuaminishwa "Hutu Power". Kwangu mimi kwa mentality ya kiongozi mkubwa kama yeye, kuendelea kudhani upande mmoja ndo ulifanya makosa basi hawawezi kufikia reconcilliation.

Tunachokiona ni kutulia ambako kunaweza pia kuwa kumesababishwa na hofu ya wapi wako madarakani.

Nadhani wanahitaji kujielimisha zaidi juu ya muafaka wa kweli kwamba wote walifanya makosa lakini si kusema flani ndo alifanya makosa. Kama ni wahutu peke yao, je jeshi la RPF liliundwa lini na kwa lengo gani? Nani alihusika na mpango wa kumwondoa Habyarimana? Je watu wake waweza kumwondoa mtu wao ikiwa ubaguzi ulikuwa kwa kiwango hicho.

Unaweza kuusoma na kusikia ukweli huo kupitia links hizi

https://vimeo.com/107867605

Hotel Propaganda: What Really Happened in Rwanda in 1994 | Global Research - Centre for Research on Globalization

https://www.opendemocracy.net/andrew-wallis/rwanda-untold-story-questions-for-bbc
 
Last edited by a moderator:
mi naona mambo ya wanyarwanda tuwaachie wenyewe, nimekaa na some guys from rwanda i can tell watu wanampenda huyu jamaa, hizi hate zote zinatoka kwetu ambao hata hatuishi rwanda kujua what those guys are going through.

Hao uliokaa nao wewe wanaompenda Kagame ni kabila gani wahutu au watutsi? na je wamekulia wapi Rwanda au nje ya Rwanda? je wana ndugu yoyote Rwanda au hawana? Wana mpango wa kwenda Rwanda au hawana? Belive it or not haya ni masuala unayotaka kujua first kabla hujamuuliza mtu mnyarwanda yoyote kuhusu Rwanda. Bila kuuliza haya maswali HUWEZI KUWA NA MAJIBU SAHIHI.
 
mkuu tufuatilie na maendeleo anayopeleka rwanda, je yanaenda kwa watutsi tu au na wahutu?

Hicho kinachoitwa maendeleo sio kitu pekee anachopeleka Rwanda. Mfano kukua kwa GDP ni maendeleo. lakini je kuna maana gani kusema GDP imekua wakati kumbe pato lililoongezeka linakwenda kwa watu wachache? katika kila sekta watutsi wanaongoza dispropotionately na idadi yao ya less than 15% of the population "maendeleo" not withstanding. Haina tofauti na conditions ambazo zilikuwapo watutsi walipokuwa wafalme, conditions ambazo zilisababisha mapinduzi ya wahutu 1958.
 
Bora huyu dikteta anafanya vitu vinaonekana sio haya MA SISIEM TULIYONAYO
SINA IMANI NA UKAWA
 
Hao uliokaa nao wewe wanaompenda Kagame ni kabila gani wahutu au watutsi? na je wamekulia wapi Rwanda au nje ya Rwanda? je wana ndugu yoyote Rwanda au hawana? Wana mpango wa kwenda Rwanda au hawana? Belive it or not haya ni masuala unayotaka kujua first kabla hujamuuliza mtu mnyarwanda yoyote kuhusu Rwanda. Bila kuuliza haya maswali HUWEZI KUWA NA MAJIBU SAHIHI.

hayo maswali wakuulize wewe "special anal ist"
 
GDP inaficha mambo mengi mkuu, nchi inaweza kuwa na GDP kubwa lakini wananchi wake maskini wa kutupwa mfano wa jirani ni Kenya tu hapo Nairobi japo GDP ni kubwa karibu nusu ya wakazi wa Nairobi wanaishi kwenye SLUMS zile za KIBERA, MATHARE n.k. Pia usafi wa jiji (mji) wa KIGALI usikutishe, ilitolewa amri kuwa kila mwenye nyumba ya tope ahakikishe amepiga plasta na serikali itachangia bati na simenti ikiwa wenye nyumba hawana uwezo kabisa. Hali ngumu ya mji kama Kigali inafanya Wadada wengi wajiuze tu tena kwa bei kali sana kuanzia 100 USD/night
 
mi naona mambo ya wanyarwanda tuwaachie wenyewe, nimekaa na some guys from rwanda i can tell watu wanampenda huyu jamaa, hizi hate zote zinatoka kwetu ambao hata hatuishi rwanda kujua what those guys are going through.

Kwa nini wasimpende wakati ni watutsi wenzao? ungekutana na wahutu ukawauliza ungesikia. Lakini utawaona wapi wakati wameminywa kila kona, si ajira, elimu za ng'ambo, jeshini ndio basi hawapo kabisa
 
hayo maswali wakuulize wewe "special anal ist"

Ndamenyetse kuzougamba kwaya hayavugwa. ubaguzi ni mkubwa sana Rwanda, nimekuwepo pale kila kona ni watutsi, nikajiuliza wahutu waliowengi wako wapi????? Mrutongore ukishuka tu Kigali Airport macho yako yatakwambia labda kwa yule asiyweza kuwatofautisha. PK is good, I like that guy lakini ajitahidi kwa uchungu ajenge Taifa moja kuliko kujenga kabila moja na kuacha linguine ambalo litakuja kusumbua hapo baadae
 
Kimsingi Kagame anatengeneza Bomu litakalokuja kumlipukia mwenyewe, hata hao WATUSI anaowabeba ni MZIGO WA MA.VI wavivu wasiopenda kujituma sasa nao wameanza kuwachukia wageni wanaofanya kazi Rwanda kwa kudai kuwa wanawabania nafasi zao, ikitokea unataka mfanye kazi pamoja (Partnership) hao Watusi hawataki kuhenyeka. Na hivi M23 wameshafukuzwa CONGO DRC so mapato ya madini yamepungua sana. Akili itawakaa vizuri soon
 
Pamoja na pongez kwa Kagame kwa kuibadilisha Rwanda pia tuangalie na ukubwa wa hiyo nchi ukilinganisha na nchi nyingine jirani. Major investments in Rwanda kuanzia Rwandair, Mahotel makubwa na baadhi ya viwanda ni mali binafsi ya Kagame kupitia vibaraka (Watusi) wake
 
Kagame pamoja na ubabe huu atakuja kutolewa kama kuku tu madarakani kama majasusi yenyewe ndo wakina Karake kuna kitu hapo?
 
Kagame pamoja na ubabe huu atakuja kutolewa kama kuku tu madarakani kama majasusi yenyewe ndo wakina Karake kuna kitu hapo?

Jasusi mkuu wa taifa anakamatwa kiulaini kama BATA.

tehe tehe tehe!

kwi kwi kwi kwi kwi kwi!
 
HIi ni topic ni goldmine kwa interahamwe...endeleeni kujidanganya na hadithi zenu za kilevi Rwanda is moving ahead.
 
Back
Top Bottom