Kagame, Ubaguzi dhidi ya Wahutu utakugharimu mbeleni

Anachoniudhi Kagame kukomaa ikulu hataki kuiachia.
kumbe wewe mnyarwanda kama kina jMali na wenzake? unataka kugombea uraisi Rwanda? bado kabisa, hadi sumu ya ukabila itapokuisha, ndio utaweza kuanza kujinadi! hivi nani wa kuwaamini kwa mnayoyasema kila siku? nyinyi ni wanafiki! tokea 94 mpaka leo mmeshindwa kuteka hata meter 1, kazi yenu ni kuuwa na kubaka watu DRC... nasikia kimavi mmekiamishia Burundi? kweli Kabila mjanja na anataka amani nchini kwake, kaamuwa kumtupia mpira Nkurunziza? kama ni kweli tunae... tushaanza kukaa mkao wa kula, kazi kwenu mainterahamwe...
 
kagame akitaka nafuu awape nafasi sawa vijana wa kinyarwanda kwenye kupata elimu ya chuo kikuu, kuwaacha tu mtaani bila elimu ni bomu kubwa analotengeneza
 
kumbe wewe mnyarwanda kama kina jMali na wenzake? unataka kugombea uraisi Rwanda? bado kabisa, hadi sumu ya ukabila itapokuisha, ndio utaweza kuanza kujinadi! hivi nani wa kuwaamini kwa mnayoyasema kila siku? nyinyi ni wanafiki! tokea 94 mpaka leo mmeshindwa kuteka hata meter 1, kazi yenu ni kuuwa na kubaka watu DRC... nasikia kimavi mmekiamishia Burundi? kweli Kabila mjanja na anataka amani nchini kwake, kaamuwa kumtupia mpira Nkurunziza? kama ni kweli tunae... tushaanza kukaa mkao wa kula, kazi kwenu mainterahamwe...

Ndio mimi ni muhutu.kwani muhutu siyo watu? Niondolee bangi zako hapa.kuchwa kutwa mnajadili ukabila Tu mna matatizo nyie watu siyo bure.mimi nimezungumzia jamaa kuendelea kugombea uraisi unaniletea habari zako za ajabu.
 
Back
Top Bottom