Kagame speaks swahili in Dar es salaam - Mar 26, 2015

Kagame speaks swahili in Dar es salaam - Mar 26, 2015

Ama kweli Wadanganyika kiboko! yaani mtu kuongea lugha nyingi ndio akili sana. Duh ndio maana mnakazania kiingereza iwe lugha ya kufundishia kumbe mna maana yenu eeeh! sikujua.
 
Hata Mwanza kakaa maeneo ya Ghana mtaa wa mnyampala B , mpaka Leo panaitwa kwa KAGAME, wakati Mseveni akimsaidia katika harakati za kufanya mapinduzi Rwanda hapo ndo alikuwa anakuja kupumzika. In fact anakijua Kiswahili vizuri sana.

Ni kwenye ile nyumba jirani na ulipokuwa unaishi, siku hizi wanakaa wanyarwanda?
 
Huyu Amekaa Kinondoni gov quarters ,,..one of safe houses ...Nimeangalia documentary ya Fredy Rwigyema ...kuna hayo Maelezoo ...na namna ilivyo fanya mafunzo ya kijeshi Tanzania ..na baadaye Amekaa kyaka na Museveni

Mkuu PM,
One of requirements kujiunga na jeshi la Uganda, ni lazima ujue Kiswahili. Hivyo sioni sababu ya watu kushangaa kwa PK kuongea kiswahili.
 


Kagame alikaa sana maeneo ya Mwananyamala Komakoma, enzi hizo jioni tukijumuika pamoja katika baa ya Sikudhani tukipata safari lager.


 
Haswaa, hapo ndo kwa KAGAME, na hao ni ndugu zake.
Mimi nilijua ni waliokuwa wakimbizi kwa hiyo waliamua kuwa watanzania kumbe ni nyumba ya jamaa.

Nisalimie sana familia yako.
 


Kagame alikaa sana maeneo ya Mwananyamala Komakoma, enzi hizo jioni tukijumuika pamoja katika baa ya Sikudhani tukipata safari lager.


Mwanzo nilikuwa na sua kuamini maana hakuna aliekuja na ushahidi lakini kwa lafudhi anayotumia amekaa Tanzania.
 
Tumekesha nae sana ktk practising ya infiltration tricks kule ngerengere huyo ni miongoni mwa Watoto wetu kijeshi. Password za ujeshi wake tunazo.
 
Mwanzo nilikuwa na sua kuamini maana hakuna aliekuja na ushahidi lakini kwa lafudhi anayotumia amekaa Tanzania.

ulipitwa mkuu,JF imejaa na taarifa tele na muhimu sana kuhusu maisha ya PK nchini.moja ya mada hizo ni HII HAPA.ililetwa na mkuu Moshe Dayan,mtu anayeonekana kumfahamu sana kagame kijeshi.isome, nina hakika utajifunza jambo.
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli Wadanganyika kiboko! yaani mtu kuongea lugha nyingi ndio akili sana. Duh ndio maana mnakazania kiingereza iwe lugha ya kufundishia kumbe mna maana yenu eeeh! sikujua.
ndio ajabu ninayoiona. mtu akiongea lugha nyingi ndio akili? kama aliishi maeneo ya nchi zinazoongea lugha tofauti je? mfano mimi niko 100% fluent kwenye lugha yangu ya kabila na ndio lugha yangu ya kwanza kuijua, niko fluent na kiswahili cha kitanzania, niko fluent na kiingereza, niko fluent na spaniola, niko fluent na kitaliano, niko fluent na kifaransa, pia nasikia kwa mbali kireno. nimezaliwa mkoa fulani hivi kijijini nikajua lugha ya kabila langu vizuri, pia kama kawaida kila mtz anaongea kiswahili, nimeishi nchi inayoongea kiingereza mitatu (waterloo ontario canada) na nilienda kule nikiwa najua kiingereza, nimeishi italia miaka mitano na nikajua kitaliano, kwasababu kitaliano kinaelekeana kabisa na kispaniola nilipoishi spain miaka mitano ilikuwa kazi ndogo sana kusawazisha kispaniola, nikaishi france miaka mitano shule na ilikuwa lazima nijue kifaransa ili nisome hivyo nikasoma lugha miaka miwili na degree fulani hivi miaka mitatu kifaransa hakiko mbali saana na kispaniola na kitaliano. kireno nilikuwa natembelea lakini kinaelekeanana kispaniola na kitaliano. haya niwekeni kwenye kundi langu sasa....niko fluent lugha sita (6) na nikiongea huwezi amini kama hiyo ni lugha ambayo sijazaliwa nayo.
 
Kumbe kaongea Kiswahili.ningeshangaa kama angeongea kipare.
 
Yaani katoa hotuba ya Dakika 2 tuu?

Ina maana yuko bize kufanya kazi au ndio hapendi mambo yetu ya kuchekesha na kupiga domo?
 
Back
Top Bottom