Kagame speaks swahili in Dar es salaam - Mar 26, 2015

Kagame speaks swahili in Dar es salaam - Mar 26, 2015

Jamaa anaongea, Kiingereza, Kifaransa, Kinyarwanda, Kumbe na Kiswahili nacho anakijua. Huyu jamaa ni Bright aisee
 
Arsene Wenger - coach wa ARSENAL ya ENGLAND, anaongea lugha 7, wanasema huwa anajifunza lugha ya mchezaji wake, km atamsajili FRANK DOMAYO, kuna dalili WENGER kuweka record nyingine ya kuongeza idadi lugha anazojua!
 
Jamaa anaongea, Kiingereza, Kifaransa, Kinyarwanda, Kumbe na Kiswahili nacho anakijua. Huyu jamaa ni Bright aisee
Huyu mtu ameishi Tanzania kwa nini asiongee kiswahili. Wanajeshi wa Uganda wanaongea Kiswahili na hawa ni wale wa NRA ambao Kagame alikuwa miongoni mwao wakitokea misitu ya Tanzania na kuipindua Serikali ya Okello.
 
Huyu Amekaa Kinondoni gov quarters ,,..one of safe houses ...Nimeangalia documentary ya Fredy Rwigyema ...kuna hayo Maelezoo ...na namna ilivyo fanya mafunzo ya kijeshi Tanzania ..na baadaye Amekaa kyaka na Museveni
Kamanda naomba pa kuipata documentary ya Fredy ili niongeze ufahamu wangu kuhusu huyu kamanda wa RPF
 
Huyu Amekaa Kinondoni gov quarters ,,..one of safe houses ...Nimeangalia documentary ya Fredy Rwigyema ...kuna hayo Maelezoo ...na namna ilivyo fanya mafunzo ya kijeshi Tanzania ..na baadaye Amekaa kyaka na Museveni

Hata Mwanza kakaa maeneo ya Ghana mtaa wa mnyampala B , mpaka Leo panaitwa kwa KAGAME, wakati Mseveni akimsaidia katika harakati za kufanya mapinduzi Rwanda hapo ndo alikuwa anakuja kupumzika. In fact anakijua Kiswahili vizuri sana.
 
Karibu tena Tanzania ndugu yetu KAGAME. Tulikumiss siku nyingi sana sasa baba fungua milango hata kwa sisi wananchi wa kawaida yale mahusiano ya kihistoria ya kindugu na ya kibiashara yaendelee kama zamani achana na huyo mkikuyu ni mjanja sana atawashawishi mjenge reli kwake na miradi kabambe baadaye atawaacha kwenye mataa.
 
,, , , . ,..., 😠(≧∇&#8806😉/(☆^ー^&#9734😉(*^▽^*)ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿( ^∇&#65342😉(*^▽^*)(≧∇&#8806😉/(☆^ー^&#9734😉(☆^ー^&#9734😉(≧∇&#8806😉/(≧∇&#8806😉/(⌒▽⌒)(☆^ー^&#9734😉(☆^ー^&#9734😉(≧∇&#8806😉/(*^▽^*)ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(^▽&#65342😉(*^▽^*)(^▽&#65342😉(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(^▽&#65342😉(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(^▽&#65342😉(*^▽^*)(*^▽^*)(*^▽^*)(^▽&#65342😉ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿( ^∇&#65342😉( ^∇&#65342😉ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿( ^∇&#65342😉( ^∇&#65342😉( ^∇&#65342😉ヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿ヽ(*⌒∇⌒*)ノヽ(^。^)丿(☆^ー^&#9734😉ヽ(*⌒∇⌒*)ノ
 
Hata Mwanza kakaa maeneo ya Ghana mtaa wa mnyampala B , mpaka Leo panaitwa kwa KAGAME, wakati Mseveni akimsaidia katika harakati za kufanya mapinduzi Rwanda hapo ndo alikuwa anakuja kupumzika. In fact anakijua Kiswahili vizuri sana.

Museveni Ana nyumba Moshi ....sidhani Kama anakaa nani Sasa ...lakini PICHANI anaonekana Akiwa na Mkewe na Mwanaye wa Kwamza Brigadier General ..Muhoozi Kainerugaba ,nyumbani Kwao Moshi Enzi hizo akizuga kwa kufundisha Chuo Cha Ushirika Moshi

ImageUploadedByJamiiForums1427548412.539495.jpgImageUploadedByJamiiForums1427548434.353926.jpg
 
Museveni Ana nyumba Moshi ....sidhani Kama anakaa nani Sasa ...lakini PICHANI anaonekana Akiwa na Mkewe na Mwanaye wa Kwamza Brigadier General ..Muhoozi Kainerugaba ,nyumbani Kwao Moshi Enzi hizo akizuga kwa kufundisha Chuo Cha Ushirika Moshi

View attachment 238625View attachment 238626

Kwa namna hii Tanzania tumekuwa wakarimu sana kwa majirani zetu, wastaarabu na wasio wastaarabu!
Malipo yetu ni kejeli, kubezwa. ...!
 
Back
Top Bottom