Kagame speaks swahili in Dar es salaam - Mar 26, 2015

Kagame speaks swahili in Dar es salaam - Mar 26, 2015

Kagame kuweza kuongea kiswahili its not a big issue kwa kuwa alishaishi sana tu hapa Tanzania. Lakini pia, yeye kwama mtu wa EA kujua Kiswahili ni jambo la msingi kwake!!!
Lakini pia sioni logic ya kusema eti ni bright sana na kumlinganisha na Rais wetu just b'se of idadi ya lugha anazojua Kagame!!! kujua lugha nyingi sio kuwa bright!!!! kuna watu very bright ila wanajua lugha moja tu!!!!
 
Back
Top Bottom