economically, tunge opt middle ground! Yes, siyo kuwaonea watutsi wa Rwanda. Hivi wajua kuwa FDLR ni wengi zaidi ya M23 ? Na wameua malaki ya watu na silaha zao zinapitia Tanzania?
kweli tz tuna matahira yaan unshindwa kufikiri japo kidogo kuwa congo mizigo yao yote inapita kwetu na lazima tupiganie congo yenye amani ili magari na mizigo yetu iweze kupita kwa amani