Kagame: Nagombea urais kwa mara ya mwisho.

Kagame: Nagombea urais kwa mara ya mwisho.

namshauri Kagame kwa influence yake abadili katiba atangeneze kama Ujerumani; Waziri mkuu awe mtendaji mkuu. Yeye awe Raisi wa national figure (mfalme);
 
namshauri Kagame kwa influence yake abadili katiba atangeneze kama Ujerumani; Waziri mkuu awe mtendaji mkuu. Yeye awe Raisi wa national figure (mfalme);
Hiyo kazi
Lengo nini hasa?
 
Kudadeki hii ni sawa kuwambis watoto wa kuku mtanyonya kesho
 
wapinzani wake FDR, congo, serikali ya burundi, wahutu ; hawata muacha salama
Atahakikisha anaimalisha usalama wake kwanza muhulu huu wa mwisho
 
KAMA KATIBA YA RWANDA INASEMA URAISI NI MUHULA MIWILI ,

NI KWANINI ASIACHIE MADARAKA LEO HII KWA KUHESHIMU KATIBAA.

HUU NI UNAFIKI TUU
 
Anatengeneza mazingira ya kumkabidhi kijiti mwanae

Well said, naona yanayo endelea kwa M7 yatakuja kuwa replicated kwa PK - wote wamejitahidi kuendeleza nchi zao lakini wasijiharibie kwa kutaka kuwarithisha vyeo watoto wao - Ufalme ufanyike Uraiani siyo Serikalini.
 
Back
Top Bottom