Kagame: Nagombea urais kwa mara ya mwisho.

Hivi mwanae niyupi?
Screenshot_2017-06-20-18-30-47.png
8.jpg

Mkuu, kwalolote litakalo mhusu huyu Binti, naomba uniulize....
 
Toka uhuru mwaka 1962 Rwanda hawajawahi kufanya uchaguzi ,ni maigizo tu
Du!

Na nafikiri wanyarwanda wana woga kukipigania kiti cha urais kwa kumuuogopa Kagame, hasa ikizingatiwa pia wanaogopa kujirudia mauaji ya mwaka 1994 , Kwani jamaa inaonyesha hawezi kukubali kiurahisi kuachia nchi.
 
Kagame kaijenga nchi ile
Wanyarwanda wanampenda
 
Du!

Na nafikiri wanyarwanda wana woga kukipigania kiti cha urais kwa kumuuogopa Kagame, hasa ikizingatiwa pia wanaogopa kujirudia mauaji ya mwaka 1994 , Kwani jamaa inaonyesha hawezi kukubali kiurahisi kuachia nchi.
Haya sasa kazi kwao
Jamaa kasema ndio muhula wake wamwisho
 
Back
Top Bottom