Miwani sio kubwa ila mwamba alikuwa fuvu tuHiyo miwani mbona ni kubwa sana?
Hii picha imenifikirisha mengi kuhusu Kagame na harakati zake.
😁😁😁😁😁 mkuu pamoja na kuwa ana USO kama kipele akili ni nyingiMiwani sio kubwa ila mwamba alikuwa fuvu tu
😁😁😁😁😁 mkuu pamoja na kuwa ana USO kama kipele akili ni nyingi
Tofauti na kichwa kama fenesi akili kisoda
Angetueleza kwamba Kagame ni mwizi ningemuelewa.😂😂😂Nani anazo akili nyingi??? Kagame??