Nakubaliana na wewe,lakini kumbuka unapomuua rais wa nchi unachochea chuki kubwa ,ambayo uwezi hata kidogo ukalinganisha na maendeleo unayoyaleta,watu wa Rwanda na hasa wahutu wanamajeraha makubwa sana ndani ya mioyo yao na hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi.Juvenali Habyarimana ndiye aliyekuwa rais wa Rwanda kabla ya vita vya 1994,kuzuka vya vita hivyo kulisababishwa na kifo chake,watu wanaozidi laki nane walipoteza maisha wengi wao wakiwa watusi,katika ustarabu wa maisha ya binadamu unawezaje kulinganisha garama ya watu waliopoteza maisha na maendeleo yaliyoletwa na dikteta Kagame?Nani aliyemuua Laurent Kabila?nani aliyemua prof mwaikyusa aliyekuwa mwanasheria aliyebobea na rafiki mkubwa wa mahakama ya rufaa Tanzania?Mkuu achana na Kagame ni mtu hatari sana!!Mkuu kunatatizo gani kwa maendeleo ayaletayo!
kunatatizo gani ukiua mmoja kwa maendeleo na tiba ya wengi!?
NAONA PROPAGANDA ZIMEJAA ZAIDI KWA KAGAME!
hahahah kichwa mgando hiki duuu!
sio rahisi kiivyo kama unavyofikiri
sijui kagame anafanya nini, ila alichofanya kigali kinatosha kumuheshimu kuliko hao maraisi wanaojidai wana demokrasia kumbe waongo tu,.
kwanza hebu nitajieni nchi moja tu africa inayoendeshwa kwa misingi ya demokrasia. Moja tu!!
kagame mmbaya, Museven mmbaya
nan mbaya zaidi???
Kuhusu Congo well anahusika, je ni peke yake??? wazungu je ambao wanahusika kuharibu Afrika nzima??
Wampe hiyo hela apige kazi, na Tanzania tumpe bandari apige kazi me nishachoshwa na uvivu na longolongo chini ya mwamvuli wa Demokrasia.
Babu kagame ana jeshi fiti balaa aisee acha kabisa,usifananishe na hawa wetu wana vitambi balaaKwani kuna ugumu gani kwa kanchi ka kifala tu kama Rwanda,
tuliipiga Uganda ambayo ni kubwa mara tatu ya Rwanda sembuse kale Karwanda
unachongangania tanzania ni nini kwa nini usierudi kwenu rwanda tulia mwache mwanaume afanye kazi weweeeeeeeee
Sio kweli kwamba he can fix congo problems easily like that, alizungumza kwa jazba sana zaidi matatizo ya congo watayamaliza wacongo wenyewe.
No Kagame has no any point on DRC, he has been financing & supporting Rwanda soldiers M23 and b4 that Laura Nkunda, but THANKS GOD NOW WILL FACE JK WHO IS LEADING SADC SOLDIERS THERE....
JK sent JWTZ kama viongozi wa vita kule Congo, M23
wakakimbia haraka, JWTZ wakiongoza majeshi ya SADC watawaua na kuwateketeza, Kagame knows well TZ, who we are, what we are for, akileta upuuzi tena hata yy tunaua...!!! na EAC tunamtoa, Manina zake...!!!
hapa hatupo kwenye man of the people tupo kwenye maendeleo huyu wako kama rafiki kweli ukanywe naye chai mkuu!Haya bwana wewe ambae ni kichwa kilichoyeyuka, but the truth is Kagame is the most bad leader in the great lake countries in case you dont know. Bara rais wangu hata kama wamseme vibaya but he is a man of the people
hakuna mkuu ni fitna zao kwa kagame THE BEST PRESIDENT IN AFRICA, WANALETA MAJUNGU TUU!Kabila mwenyewe ni dhaifu sana analialia tu hana hata jeshi..linchi lote lile eti Karwanda kanalingana na Mtaa tu wa kule Goma yeye anasema kanamsumbua..kubwa jinga
Ni mjinga tu ndio anayeweza kumuamini Kagame, ww kama huwajui wanyarwanda ungekaa kimya, ni hao hao M23 ni haow aliomsaidia Museveni kuichukua Uganda, Kagame ndiye aliyemtungua Habyarimana na uzi wake ulikuwa humhumu mpaka na mauaji ya Gen Imran Kombe, msitake kuturudisha nyuma kwa hayawani Kagame endeleeni kumtetea eti mataifa ya Magharibi yampe hela wakati yalisema yeye ndiye muhusika Mkuu.unachongangania tanzania ni nini kwa nini usierudi kwenu rwanda tulia mwache mwanaume afanye kazi weweeeeeeeee
Kwani kuna ugumu gani kwa kanchi ka kifala tu kama Rwanda, tuliipiga Uganda ambayo ni kubwa mara tatu ya Rwanda sembuse kale Karwanda
Matatizo ya Congo yameanza wakati Kagame na Kikwete hata hawajazaliwa. Acha kula maneno ya akina CNN na BBC.
Kagame ni mmoja ya WALAJI wa Utajiri wa Congo ila si yeye peke yake.
Hebu waulize akina NOKIA, Samsung, Apple na ndugu zao, madini ya kutengenezea Betri za hivyo vifaa vyao, asilimia zaidi ya 80 inatoka wapi? Ukishajua hapo fikiria kuwa ni haya madini tu, je dhahabu? Almasi nk nk.
https://www.youtube.com/watch?v=IG7_qfN0mTA
https://www.youtube.com/watch?v=3OWj1ZGn4uM
Nyingine tafuta mwenyewe....
Nakubaliana na wewe,lakini kumbuka unapomuua rais wa nchi unachochea chuki kubwa ,ambayo uwezi hata kidogo ukalinganisha na maendeleo unayoyaleta,watu wa Rwanda na hasa wahutu wanamajeraha makubwa sana ndani ya mioyo yao na hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi.Juvenali Habyarimana ndiye aliyekuwa rais wa Rwanda kabla ya vita vya 1994,kuzuka vya vita hivyo kulisababishwa na kifo chake,watu wanaozidi laki nane walipoteza maisha wengi wao wakiwa watusi,katika ustarabu wa maisha ya binadamu unawezaje kulinganisha garama ya watu waliopoteza maisha na maendeleo yaliyoletwa na dikteta Kagame?Nani aliyemuua Laurent Kabila?nani aliyemua prof mwaikyusa aliyekuwa mwanasheria aliyebobea na rafiki mkubwa wa mahakama ya rufaa Tanzania?Mkuu achana na Kagame ni mtu hatari sana!!
Huna maana wewe na mbumbu wa sayansi ya vita,unalinganisha vita ya Uganda ambayo sehemu kubwa WATZwalipewa ushirika na Waganda wenyewe wakionyesha wapi askari wa Idd Amini wamejificha na waganda wakimchukia Idd Amini na serikali yake?.
Good...!!
VITA HATA KABLA JK & Kagame hawajazaliwa vilikuepo, fine.... kwann kagame aendeleze vita?
So je SADC waache mambo yaendelee kama Kagame anavyofanya upuuzi wake? Watu wanakufa, teseka, refugees kila miaka...??
Simply NO...!!! Bravo SADC