Mkuu, Mi Nadhani Mkuu Wetu Wa Kaya Ndo Chiz Kabisaa, Kagame Kafanya Mazuri Mengi Sio Kama Huyu Wa Kwetu, 2tamkumbuka Saana Kwa Kuwa Bingwa Wa Kuombaomba
Just imagine kungekuwa na strong opposition parties za kukosoa kama Tanzania ambao ni wachonganishi na waongo pia kwa wananchi na kumpinga tungejua mangapi ya uozo unaoendelea? Ndio ungejua kuendesha nchi inayo heshimu demokrasia with clashing priorities sio rahisi kama unavyodhani Kagame bado sana kwa JK.Rwanda's recent aggressive borrowing saw lawmakers raising concerns last week over the surge in the country's cost of debt hurting the economy, which is also facing pressures from global economic uncertainties and aid suspensions.
Minister of Finance and Economic Planning Claver Gatete faced tough questions from parliamentarians last week as he sought their approval for government to borrow $17 million.
The loans are meant to finance small and medium enterprises in the agricultural sector and electricity rollout in rural Rwanda.
Parliament ultimately endorsed the government decision to borrow $5 million from Arab Bank for Economic Development in Africa for Rwanda Development Bank to lend to farmers while the rest, $12 million, from Opec, is aimed at accelerating the rural electrification programme as well as boosting the capacity of power distributor EWASA.
Analysts view these as strategic decisions, particularly borrowing to finance SMEs, which account for 90 per cent of the businesses in Rwanda and 84 per cent of private sector employment.
Rwanda's SME segment has been exhibiting a high appetite for investment capital over the past couple of years even as most local financial institutions continue to shun it, considering it a high-risk area.
That's why such borrowing, aimed at improving medium and long-term financing for SMEs, is seen as a crucial long-term investment to support growth, job creation and economic output.
While the rural electrification programme is viewed as a social good, parliamentarians were concerned the country could sink into debt given the recent aggressive borrowing to fund other development needs.
Mr Gatete, who until two weeks ago was governor of the National Bank of Rwanda (BNR), requested parliamentarians to expedite the ratification of the two loan agreements, demonstrating the government's urgent need for money to fix the funding shortfall after some donors suspended or withheld aid to Rwanda.
"What is the national debt level? Do we still have the means to service these debts?" MP Jean Damscene Murara asked.
Mr Gatete has sought to allay MPs' fears, noting that with debt ratio of 22.9 per cent of GDP, excluding grants, the national debt is still below the ceiling government has agreed upon with the International Monetary Fund.
Rwanda's nominal GDP stood at Rwf4,437 billion ($6.7 billion) at the end of last year, meaning the country's debt levels stood at Rwf1,016.14 billion ($1.6 billion). The IMF says that roughly, a ratio of debt to GDP below 30 per cent is considered reasonable.
However, it is the pace at which the government is borrowing is what is worrying MPs and some economists.
Last week, Rwanda also secured $60 million from the World Bank and plans to borrow an extra $350 million through the issuance of a sovereign bond, to pay off loans that were acquired to finance the national airline as well as support the completion of the conference centre.
To bridge its funding shortfall, the government will increase its borrowing from the domestic debt market from Rwf8 billion ($12.6 million) that was earlier planned to Rwf20 billion ($31.6 million
Source the East African
Si ajabu wewe ni mmoja kati ya watu wanaohusudu mafanikio ya kiuchumi ya China,Je uliwahi kufuatilia rekodi za kidemokrasia na haki za binadamu huko China? Wajua kwanini Wachina walilazimika kufanya hivyo?Hivyo ndivyo anavyofanya Kagame pia.Democracy is harmful sometimeHiyo ndio kauli ya madikteta wote duniani... ndio defensive mechanism wanayotumia kuhadaa watu! Ingawaje nakubaliana na kauli kwamba demokrasia ya magharibi haiwezi kuwa ndio demokrasia ya afrika au asia, lakini madikteta wamekuwa wakitumia kauli hii kuhalalisha udikteta wao!! Huwezi kusema kwamna ikiwa XYZ wana makosa basi wapelekwe mahakamani badala ya kuwa-assassinate kisha mtu akajificha kwenye hoja ya kwamba demokrasia ya magharibi haiwezi kuwa ya africa as if huku kwetu suala la kutafuta haki halina nafasi!! Huwezi kuambiwa tunataka uwazi katika utendaji wa serikali halafu mtu akasema demokrasia ya magharibi haiwezi kuwa sawa na Africa. Huwezi kuambiwa heshimu katiba, halafu ukasema hiyo ni demokrasia ya magharibi!! Huwezi kuambiwa waache wananchi wawe na uhuru wa kutoa maoni bila kuogopa, halafu ukasema demokrasia ya magharibi na ya africa ni tofauti!! Ma-dikteta wengi, demokrasia ambayo wanai-abuse na kisha kujificha kwenye kichaka cha kusema demokrasia magharibi haiwezi kuwa sawa na Africa or elsewhere inafanana na mifano niliyotoa hapo juu!!
Ni kweli kabisa kwamba zipo demokrasia za kipumbavu kama zile wanazotuambia akina Cameron, kama zile za kuyataka makanisa yetu yaruhusu kutawaza ma-padri mashoga... hili sawa... ya magharibi haiwezi kuwa sawa na africa!! Lakini demokrasia wanazoambiwa watu kama akina Kagame si sawa na hizo ingawaje wakikutana na hizo ndipo huonesha makali yao zaidi ili kuhadaa umma kama alivyofanya Museven!!
Umeongea kweli! Tena sio Membe tu sioni mtu yeyote kati ya wenye ndoto za urais wa TZ anayeweza kumzidi kikwete uvumilivu wa nyodo kutoka kwa kagame. Lowassa ndio balaa kabisa kagame angekuwa tayari kakimbia nchi.Hizi ndizo hoja ulizoongea.
1. Ushirika wa JK na FDLR ulikuwa unafahamika Kigali>>> Ni ushirika upi huo ndugu yangu? Ni ule ambao uliandikwa na gazeti lenu kwamba Mama Salma kutoka Lindi ni Mhutu??!!
2. SA and France walikuwa wanamtumia JK>>> Hivi what's so special in Rwanda cha kuifanya SA na France iunganishe nguvu na kuitumia Tanzania against Rwanda?? Hapa kila siku tulikuwa tunawaambia kwamba hata uchumi wa Rwanda wenyewe sio endelevu kv unategemea madini ya wizi... na hili limeshaanza kubainika kwani, mara tu baada ya M23 kufurumushwa DRC, mwaka jana uchumi wa Rwanda umekuwa kwa 5% wakati kwa miaka mingi umekuwa ukikuwa kwa 7% na zaidi kidogo!! Sasa nini hasa kilicho Rwanda hata mataifa matatu yaungane against Rwanda??
3. JK alikuwa anatarajia kupata support kutoka kwa Bwana zake>>> Narudia lile lile... kwa lipi??? Hata hivyo, unataka kuniambia hufahamu kwamba hata huyo PK mwenyewe siku hizi ana adabu tofauti na zamani?? Umesahau Membe juzi juzi tu hapa alivyochana crystal clear bungeni kuhusu M23. Mbona Kagame hakumtuma tena yule hawala yake mnayemuita Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje akaongee tena ujinga kama alivyofanya mara ya kwanza??
4. Hatimae Rwanda amekuwa mshindi kwavile malengo yao hayakufanikiwa>>> Do I need to remind you kwamba FDLR wapo njiani kurudi Rwanda?? Unafikiri chanzo cha yote hayo ni nini???
5. Tanzania imekuwa loser>>> Msingi wa maelezo ya JK ni ili hatimae FDLR waondoke DRC na kurudi Rwanda na hilo ndilo linaloendelea... sasa nini hapo Tanzania ime-loose?? NYie si mnawaita FDLR kwamba ni magaidi, wasubirini basi magaidi wanakuja... wakamateni muwaweke ndani au wauweni kama ilivyo kawaida yenu lakini lazima hayo yafanyike ndani ya ardhi ya Rwanda.
6. Purukushani imeshusha hadhi ya Tanzania na haina influence tena>>> hadhi ipi ambayo imeshuka na influence ipi unayozungumzia? Do I need to remind you kwamba hata Coalition of Willing ni sisi wenyewe ndio hatukuitaka?? Do I need to remind you kwamba, baada ya JK kuhutubia bunge kwamba pamoja na chokochoko za PK lakini Tanzania haiwezi kujitoa EAC... baada ya kauli hiyo tu ambayo ilionesha kuchukizwa kwa JK, siku chache baadae Kenyatta akamtuma Waziri wake wa Mambo ya Nje na kusema kwamba Kenya ilikuwa inafanya yanayofanyika kv walikuwa hawafahamu??? Hivi mtu ambae hana hadhi wala influence unaweza kumfungia safari?? Anyway, hebu toa mfano mmoja hapa ambao unaamini kabla Tanzania haijashusha hadhi yake basi ingefanya jambo XYZ lakini kwavile hana tena hadhi na influence hiyo, hilo suala limefanywa na Rwanda or someone else!!!!!
7. Sishangai kuona kikwete ana support upinzani wa rwanda kwani kwanza hayuko tayari kuomba msamaha>>> Yaani ulitarajia JK amuombe msamaha PK, au???!!!
8. pili anafikiri utawala wa kigali ukibadilika labda atarudisha hadhi yake ya zamani>>> Yaani Kagame Regime unapoiambia ifanye mazungumzo na waasi kumbe tafsiri yake ni kuutaka utawala wa PK uondoke madarakani?? Mbona sielewi? Am I missing something here?? Hadhi ya zamani unayoizungumzia wewe ni ipi?? Pale Makamanda wa JK walipotoa kichapo kwa vijibwa vya PK ilikuwa ni wakati JK ana hadhi au wakati imeshashuka??
9. ushauri ni kwamba hadhi ya tanzania itarudi pindi uongozi ukibadilika,>>> THis's too cheap... unadhani wafuasi wa CHADEMA watakuunga mkono!!! Tanzania kuna mfumo usio na shaka, kila mmoja anafahamu kwamba Mwishoni mwa October 2015, Uchaguzi Mkuu unafanyika na JK anamaliza ngwe yake! Je, kuna Mnyarwanda yeyote anayefahamu pasi na shaka yoyote kwamba PK ataondoka lini??? Tena ombeeni baada ya JK, nchi isichukuliwe na Membe manake port anavyohusudu kutoa vipigo,....!!!
10. hiyo serikali mpya inatakiwa kua yenye mtazamo sawa na chi zingine zilizo ndani ya EAC>>> Kumbe eh!! Kumbe ndo maana mna chuki na JK kwavile amewazibia kuanzia kwenye Operesheni Kimbunga hadi ku-diss Coalition zisizo na maslahi!!! Kwahiyo mnataka Rais atakayewaruhusu mfanye mnachotaka!!
11. bila hivyo mtakalia kuhangaishwa na ya majirani na kusahau kuyaangalia yenu.>>> Sisi hatujahangaishwa na ya majirani bali na ya Rwanda kv tunafahamu Rwanda wakishaanza kuuana, wanakimbilia Tanzania.
Mkuu wewe ni kinara wa ubaguzi na katika hii thread umekamatika!nawaita FDLR kwasababu hawawakilishi wahutu,tena wahutu waliondani ya rwanda ni 98% sasa hao 2% hawawezi wakilisha 98% walio ridhika na uongozi wa pk.
kuhusu kenya sasa kwa nini mliwauzia?
I don't even remember telling anyone that I meant to prove my English level... especially here at JF! Did I Madam? Please, remind me honey. Tell me something, is the recruitment for those English Experts through JF done? Anyway, am just curious... don't think am interested. Take good care of yourself mammy! Byeee....You don't have to tell me whether you're better in english or not!
You've chosen the language you can't handle!you expose your own ass fool!
Signature ujinga mreefu, na bado ni broken, kwani ungeandika kiswahili usingeeleweka? Halafu eti unajita smart! Dumbass!
Kweli enh... unajua nini, uliposema none of them, ikabidi nianze ku-review list... you're 100% right... unajua nilimwangalia Membe tu kv namfahamu anavyopenda kushabikia vita... utamsikia "Tumeenda Comoro, Bacar tukamtwanga... tumeenda DRC, M23 tukawapa kipigo....!" hahahaaa,Umeongea kweli! Tena sio Membe tu sioni mtu yeyote kati ya wenye ndoto za urais wa TZ anayeweza kumzidi kikwete uvumilivu wa nyodo kutoka kwa kagame. Lowassa ndio balaa kabisa kagame angekuwa tayari kakimbia nchi.
You missed my point buddy... hoja yangu ni kwamba, kila Dikteta kisingizio chake ndicho hicho cha Kagame kwamba Western Democracy id different from our democracy... yaani haijalishi kwamba the guy is doing well for the well being of his/her country. But all in all, let's be honest here... hivi what's so special in Rwanda cha kutufanya tuamini his dictatorship has brought ABC like China unless if we believe Rwanda could never be peaceful in the presence of true democracy!!!Si ajabu wewe ni mmoja kati ya watu wanaohusudu mafanikio ya kiuchumi ya China,Je uliwahi kufuatilia rekodi za kidemokrasia na haki za binadamu huko China? Wajua kwanini Wachina walilazimika kufanya hivyo?Hivyo ndivyo anavyofanya Kagame pia.Democracy is harmful sometime
Uko right mkuu!Umeongea kweli! Tena sio Membe tu sioni mtu yeyote kati ya wenye ndoto za urais wa TZ anayeweza kumzidi kikwete uvumilivu wa nyodo kutoka kwa kagame. Lowassa ndio balaa kabisa kagame angekuwa tayari kakimbia nchi.
Hapo kwenye suala la DEMOKRASIA amenikosha sana,anasema kama Demokrasia ni kufuata tu yale unayoamriwa na mabwana wakubwa wa Magharibi yeye hayuko tayari kuifuata,Akashangaa unafiki wa Nchi za Magharibi kukaa kimya juu ya nchi zenye rekodi mbaya kuhusu Demokrasia,Haki za Binadamu,Rushwa,Ubadhirifu,nk,Mimi nahisi kama anamaanisha Tanzania vile?
Yaani anafikiria kubadilisha vifungu vya katiba ili agombee tena urais??? Amevurugwa huyu
KAMA sehemu ya maadhimisho ya miaka 20 ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda, Rais Paul Kagame, alifanya mahojiano na jarida la The African Report Yafuatayo ni mahojiano hayo, neno kwa neno.
The Africa Report (AR): Miaka ishirini baada ya mauaji ya kimbari, unadhani dunia sasa imeelewa haswa nini kilitokea au kilisababisha kutokea yaliyotokea?
![]()
Paul Kagame (PK): Kwa bahati mbaya, jibu ni hapana. Taswira iliyoko nje ni ile kwamba mauaji ya kimbari ni kama yalianguka tu kutoka angani. Bila ya sababu au madhara. Hakuna anayepaswa kuwajibika na pia kuna hali ya kutaka kuonyesha kwamba tukio lenyewe limekuzwa tu. Kwa kweli inasikitisha sana.
AR: Je, kutokueleweka huku kwa tukio hili kumesababishwa na ukweli kwamba waliohusika ni watu waliokuwa wakiishi katika jamii moja jambo ambalo ni la kipekee katika dunia ya sasa?
PK: Kweli kabisa. Kilichotokea ni tofauti na kile ambacho kimetokea kwa watu wengine. Hii limesababisha kuwapo kwa matukio mahususi ambayo wakati mwingine ni muhimu kuyaeleza.
Hata kama kuna watu wanataka jambo hili lifanywe kama mwiko kulizungumzia, hatupaswi kusahau namna baadhi ya mataifa ya magharibi yalivyochangia kwa kilichotokea si kwa sababu za kihistoria pekee lakini kutokana na kile kilichotokea wakati wa mauaji hayo ya kimbari.
Leo, ni mataifa hayahaya ya magharibi ambayo ndiyo yanahubiri kuhusu masuala ya utawala bora na demokrasia.
Wangependa Wanyarwanda waendelee kuishi kana kwamba hakuna kilichotokea; jambo ambalo lina faida kwao kwa vile linamaanisha watu wangesahau kuhusu kuhusika kwao kwenye mauaji hayo.
Chukulia mfano wa Ufaransa. Miaka 20 baada ya mauaji ya kimbari, jambo pekee wanalodai kujutia ni kwamba hawakufanya vya kutosha kuzuia mauaji yale yasiendelee. Japo huo ni ukweli, unaficha ukweli mwingine mkubwa zaidi kuhusu namna Ufaransa na Ubelgiji zilivyoshiriki katika kuandaa mazingira ya mauaji hayo na namna pia Ufaransa ilivyoshiriki kabisa katika mauaji hayo.
AR: Unalaumu hizi nchi kwa kupanga mauaji au kwa kushiriki katika tukio hilo?
PK: Vyote ! Uliza waathirika wa mauaji ya Bisesero Juni mwaka 1994 na watakueleza nini askari wa Jeshi la Ufaransa walifanya kupitia kile kilichoitwa Opération. Kule Bisesero na katika maeneo ya jirani yaliyotengwa kwa ajili ya Utoaji wa Huduma za Kibinadamu, Wafaransa hawakuwa watazamaji tu bali pia walishiriki katika mauaji hayo.
AR: Sababu nyingine ya kufanya ugumu wa kuelewa kuhusu tukio lenyewe ni ukweli kwamba unaonekana kama kiongozi wa taifa ambaye si wa kawaida. Uko tofauti kidogo. Unafahamu hili?
PK: Sifahamu kabisa. Kama kuna tofauti yoyote, itakuwa ni kwa sababu ya uzoefu nilioupata katika maisha yangu na historia ya kipekee ya taifa langu. Lakini, kama mtu anazungumzia kuhusu maendeleo na utawala, taifa langu lina changamoto zilezile zilizopo katika nchi nyingi za Afrika.
AF: Ingawa mafanikio yako katika maeneo ya kijamii na kiuchumi yamekuwa yakipongezwa, rekodi yako kama mwana demokrasia imekuwa finyu. Unazungumziaje kuhusu hili?
PK: Unamaanisha demokrasia ipi? Kama unamaanisha ile ya nchi za Magharibi ambayo wanatulisha inayoelezea kuwa Demokrasia inatokana na watu na kwa ajili ya watu na inayochagiza Uhuru wa Kujieleza, Kutoa Mawazo na Kuchagua. Cha ajabu, wakati watu wa Rwanda wanapoamua kutumia uhuru wao wa kuchagua; utasikia watu haohao wa magharibi wakilalama; Hapana, mmekosea. Maamuzi yenu si mazuri kwenu.
Kilicho wazi ni kwamba wenzetu wanataka ufuate aina ya demokrasia wanayoitaka wao na si demokrasia ya kweli. Kuna nchi nyingine za Afrika ambazo zimejaa ukabila, rushwa, wizi na kila aina ya uovu lakini hazisemwi kwa sababu zimeamua kufuata mambo fulani ambayo yanapendwa na mabwana wakubwa.
Hivyo, kama maana ya demokrasia ni kufuata tu maelekezo wanayotaka mabwana wakubwa, basi mimi mtazamo wangu ni tofauti kuhusu demokrasia.
AR: Muda wako wa kuwa madarakani unamalizika mwaka 2017 na Katiba ya Rwanda inakukataza kuwania tena nafasi hiyo. Msimamo wako ukoje kwenye hilo?
PK: Mara zote nimekuwa nikisema nitaiheshimu Katiba. Hata hivyo, napenda kusema kuwa Katiba ni maelezo kuhusu matamanio ya wanancho katika wakati fulani na kwenye muktadha husika.
Duniani kote, iwe katika nchi ambazo demokrasia imekomaa na katika nchi change, sheria za msingi zimekuwa zikibadilishwa, kufanyiwa mapitio na kurekebishwa kutokana na maslahi ya wananchi.
AR: Vipi kuhusu ukomo wa kubaki madarakani.
PK: Kuhusu hilo, kama ilivyo kwenye mengine, sina jibu la moja kwa moja. Sina uamuzi kuhusu hili na mimi si mwandishi wa Katiba. Kwanini watu wameningangania sana kuhusu jambo hili? Jambo la msingi unalotakiwa kuliweka akilini ni kwamba mimi ninaheshimu Katiba na nitaendelea kuwa hivyo.
AR: Inaonekana hakuna hata Mnyarwanda mmoja anayeamini kwamba utaachia madaraka mwaka 2017?
PK: Unatakiwa kujiuliza je ni kwa sababu wanadhani kwamba ninataka kubaki madarakani au kwa wanataka niendelee kubaki madarakani? Hili ni swali ambalo unatakiwa kuwauliza wananchi. Jambo moja ni lamuhimu sana kulielewa kuhusu mimi; Kama wananchi watawasilisha kwangu mapendekezo yao kuhusu mojawapo ya hilo, ni wazi iitabidi nifanye maamuzi.
AR: Kuna ugumu kidogo kujenga picha yako ukiwa na umri wa miaka 60 na umestaafu ukitazama ngombe wako katika ranchi yako iliyopo pembezoni ya Ziwa Muhazi.
PK: Kwanini isiwe hivyo? Mimi naiona hiyo picha. Hilo ni jambo linalowezekana kabisa.
AR: Tangu mauaji ya mwanasiasa wa upinzani, Patrick Karegeya na shambulizi dhidi ya Jenerali Kayumba Nyamwasa nyumbani kwake nchini Afrika Kusini, uhusiano baina ya Rwanda na Afrika Kusini umezorota. Mlikutana na Rais Jacob Zuma mjini Luanda, Angola Machi 25 mwaka huu, mlizungumza nini siku hiyo?
PK: Mazungumzo yetu hayakuzama kwenye mambo hayo ingawa tuligusia kidogo jambo hilo. Msimamo wangu kwenye suala hilo uko wazi; kwamba kupata hifadhi ya kisiasa kwenye nchi ya nje kunamaanisha wajibu wa kukaa kimya na kuacha vitendo vya kichochezi dhidi ya nchi yako.
Hivyo, kimsingi, mimi sina tatizo na watu kupata hifadhi ya kisasa. Tatizo langu liko kwenye uhuru na wakati mwingine msaada wa ngazi za juu ambao watu kama akina Nyamwasa walioko Afrika Kusini wanaupata ili waweze kuhatarisha hali ya Rwanda na kuchochea ugaidi.
AR: Uliomba serikali ya Afrika Kusini iwarejeshe Rwanda Karegeya na Nyamwasa?
PK: Hakika tulifanya hivyo na taarifa za kumbukumbu kuthibitisha hilo tunazo. Watu hawa waliwahi kushitakiwa wakiwa nchini Rwanda na kukutwa na makosa na kuhukumiwa wakiwa hapa.
AR: Lakini Afrika Kusini haina imani na mfumo wenu wa sheria .
PK: Huo ni upotofu. Afrika Kusini inatakiwa kuwa makini ili isitoe picha kwamba inaelemea upande mmoja katika suala hili. Nina matumaini makubwa kwamba baada ya muda, serikali ya Afrika Kusini itabaini kwamba itapata faida kubwa sana kwa kutusikiliza badala ya kusaidia kuficha maovu ya wakosaji.
AR: Wakati wa kilele cha mgogoro wenu na Afrika Kusini, mlifukuza mabalozi wa pande zote mbili. Je, mtawarudisha?
PK: Tuko katika taratibu za kuwarejesha.
AR: Tangu Zuma awe Rais wa Afrika Kusini, uhusiano wako na taifa hilo umeyumba. Je, hii ni kwa sababu ameamua kuwa rafiki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambayo ni hasimu wako wa kisiasa?
PK: Siwezi kujibu kwa niaba yake. Lakini jambo moja liko wazi kwangu; Sishauri mtu yeyote aingilie katika mambo yangu ya ndani. Huu ni msimamo wangu na haujalishi ni nchi gani; iwe Afrika Kusini, Tanzania, Ufaransa, au Ubelgiji.
AR: Karegeya, Nyamwasa lakini pia Mwendesha Mashitaka Mkuu wa zamani, Gerald Gahima pamoja na Théogène Rudasingwa walikuwa karibu sana na wewe kabla hamjatofautiana. Huna wasiwasi na watu hawa wanaoondoka wakiwa na siri zako nyingi.
PK: Siri gani? Hawa watu walikuwa na nyadhifa katika Jeshi, Usalama, Mahakama na katika siasa kupitia RPF wakiwa chini yangu. Huwezi kusema hawa walikuwa karibu yangu kwa sababu nilikuwa nao kwenye taasisi moja. Wamesema kila walilosema, tena kwa muda mrefu, lakini kuna siri gani waliyozungumza zaidi ya upuuzi?
Wakati tulipokuwa tukifanya kazi pamoja, hawakuwahi kupinga lolote nililopendekeza. Walianza kutofautiana name baada ya kuondolewa kwenye nyadhifa zao.
AR: Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania alikumbana na hasira zako wakati alipopendekeza ukutane kwa mazungumzo na wapinzani wako wakiwamo wale wa FDLR. Hukubaliani na mawazo hayo?
PK: Kitu nisichokubaliana nacho ni kuingiliwa. Haikubaliki kwamba Jakaya Kikwete na serikali yake wajihusishe, kwa namna yoyote, na watu waliohusika na mauaji ya kimbari. Sioni sababu yoyote ya mtu kujihusisha nayo.
Chanzo;Raia mwema
Acha Upuuzi Wewe, Kwan M23 Ni Wa Rwanda?? Achana Na Maripoti Ya Mabeberu.
Si ajabu wewe ni mmoja
kati ya watu wanaohusudu mafanikio ya kiuchumi ya China,Je uliwahi
kufuatilia rekodi za kidemokrasia na haki za binadamu huko China? Wajua
kwanini Wachina walilazimika kufanya hivyo?Hivyo ndivyo anavyofanya
Kagame pia.Democracy is harmful sometime
china ina mfumo wa chama kimoja, rwanda ina vyama vingi unafananishaje rwanda na china.?
Kwa nini awaue na kuwafunga wakati ana uhakika wa kushinda uchaguzi asilimia tisini na tisa