Kagame: Kwanini nilimkasirikia Kikwete

Kagame: Kwanini nilimkasirikia Kikwete

Njia ndefu ama fupi, nyembamba ama pana, yenye makorongo ama tambalale, yenye kona amna nyoofu, yenye mabonde ama miinuko lazma CCM isepe tu, lini muda utaamua
 
Njia ndefu ama fupi, nyembamba ama pana, yenye makorongo ama tambalale, yenye kona amna nyoofu, yenye mabonde ama miinuko lazma CCM isepe tu, lini muda utaamua

Kweli kabisa mkuu, ccm na misukule yao imekua kero na mzigo mkubwa kwa mwananchi.
 
Inatuwasha kwa vile tumechoka kupokea wakimbizi kutokana na mauaji huko kwenu, na wanaswagwa kama ng'ombe wa ankole

Kagame is running scared now, M23 ni wanyarwanda , sasa dunia inaelewa hivyo. Na hao wahutu waliokimbia mnawaita FDLR nao ni wanyarwanda,tatizo lenu hamja rise above primitive tribalism.
Kwani Wahutu wakirudi kwao kuna kosa gani?
PK is running scared , thats a fact, uongo unaishia ukingoni, hao Wahutu nyie mnawaita FDLR ni ndugu zenu.
Wenye kesi za uuaji si utawanyonga upendavyo!!


Acha ile huku bongo tunaita longo longo!!!
Saidia mwenzako, si mlisema mna Coalition Of the Willing(COW),
at times of need mna prove kuwa literally cattle wa kuswagwa badala ya kusaidia.
Muungwana huonyesha matendo badala ya longo longo.

Ushirikiano wetu kwa jirani zetu huwaga wa dhati kama tulivyofanya kwa majirani na ndugu zetu tuliopakana kuanzia nchi kavu mpaka pwani Kenya hiyo COW hamna kitu wameshindwa kumuuzia mwenzao hata karanga.
 
Inatuwasha kwa vile tumechoka kupokea wakimbizi kutokana na mauaji huko kwenu, na wanaswagwa kama ng'ombe wa ankole

Kagame is running scared now, M23 ni wanyarwanda , sasa dunia inaelewa hivyo. Na hao wahutu waliokimbia mnawaita FDLR nao ni wanyarwanda,tatizo lenu hamja rise above primitive tribalism.
Kwani Wahutu wakirudi kwao kuna kosa gani?
PK is running scared , thats a fact, uongo unaishia ukingoni, hao Wahutu nyie mnawaita FDLR ni ndugu zenu.
Wenye kesi za uuaji si utawanyonga upendavyo!!


Acha ile huku bongo tunaita longo longo!!!
Saidia mwenzako, si mlisema mna Coalition Of the Willing(COW),
at times of need mna prove kuwa literally cattle wa kuswagwa badala ya kusaidia.
Muungwana huonyesha matendo badala ya longo longo.

nawaita FDLR kwasababu hawawakilishi wahutu,tena wahutu waliondani ya rwanda ni 98% sasa hao 2% hawawezi wakilisha 98% walio ridhika na uongozi wa pk.
kuhusu kenya sasa kwa nini mliwauzia?
 
AR: Je, kutokueleweka huku kwa tukio hili kumesababishwa na ukweli kwamba waliohusika ni watu waliokuwa wakiishi katika jamii moja – jambo ambalo ni la kipekee katika dunia ya sasa?

PK: Kweli kabisa. Kilichotokea ni tofauti na kile ambacho kimetokea kwa watu wengine. Hii limesababisha kuwapo kwa matukio mahususi ambayo wakati mwingine ni muhimu kuyaeleza.
Hata kama kuna watu wanataka jambo hili lifanywe kama mwiko kulizungumzia, hatupaswi kusahau namna baadhi ya mataifa ya magharibi yalivyochangia kwa kilichotokea –si kwa sababu za kihistoria pekee lakini kutokana na kile kilichotokea wakati wa mauaji hayo ya kimbari.

Leo, ni mataifa hayahaya ya magharibi ambayo ndiyo yanahubiri kuhusu masuala ya utawala bora na demokrasia.

Wangependa Wanyarwanda waendelee kuishi kana kwamba hakuna kilichotokea; jambo ambalo lina faida kwao kwa vile linamaanisha watu wangesahau kuhusu kuhusika kwao kwenye mauaji hayo.

Hivi wanategemea watasogea vipi mbele kama bado kuna denial ya what actually fueled the mass killings, politics aside the social cohesion and identity was a problem and still is a problem or else FDLR would have not existed to date. Unategemea PK kama yupo serious na stability ya Rwanda na future yake alieshimu hilo not just the annual reminder of the problem, but rather he needs to work on eliminating the divisive thinking among its people.

So long as FDLR have some support in the country the main problem has not been addressed properly maana any thing that bounds to cause instability because of factional support especially unwanted one such as identity, is a national problem not just Kagame's problem.

By now ilitakiwa Rwandans wanamuona adui kwa pamoja ambae ni ukabila, kabla ya hapo watasingizia kila mtu wakati chanzo kiko wazi na kina historia ndefu tu huko nyuma.

hatred.jpg

Na sio kwamba eti tatizo ni mtu mwengine au eti vyanzo avijulikani na dunia, PK needs to understand his methods so far have not solved the problem permanently but rather he has only calmed the situation with his 'iron-fist' ruling and loyalties which have been forged currently are not beyond questions or else he would not be troubled with assassinating exiled old friends.

If anything the problem is still larking in the back of his rule the only thing that restricts its presence is due to finances and external world politics but Rwanda is not a Tanzania where largely its people are not concerned with those lines of reasoning. The world can not solve those internal problems strong leaders do, if anything the world had vowed to ensure such atrocities do not recur but what they forgot is nations are responsible to shape the social identity not the world. Just ask Iraqis and Libyans, they would tell you better the devil you know than the one you dont maana matatizo yaliyokuwa under the carpet yamefumuka upya.

1901632_10152426252634354_3443512176213855697_n.jpg
 
Tuwe wakweli japo ni team uzalendi PK ni kiongoz shupav ambayo kuna wakati Africa itamkuka
 
Tuwe wakweli japo ni team uzalendi PK ni kiongoz shupav ambayo kuna wakati Africa itamkuka
10347504_10152475746229060_66149923411646554_n.jpg
Kagame anafanana na huyu bibi atleast yeye anajipamba mwenyewe na illusions zake, lakini pale unapokutana na useless na supporters as in tutsi's telling you Kigali is better than the rest of East Africa cities. At the same time the whole of Rwanda is not the size Kilimanjaro region in Tanzania wakati huo huo nchi ya Rwanda inadaiwa sawa na Tanzania if not more wote wakiwa kwenye heavily indebted poor nations. Sasa unajiuliza ten million population ardhi hakuna na ukabila juu huyo great gani, mwehu tu.
 
Hapo kwenye suala la DEMOKRASIA amenikosha sana,anasema kama Demokrasia ni kufuata tu yale unayoamriwa na mabwana wakubwa wa Magharibi yeye hayuko tayari kuifuata,Akashangaa unafiki wa Nchi za Magharibi kukaa kimya juu ya nchi zenye rekodi mbaya kuhusu Demokrasia,Haki za Binadamu,Rushwa,Ubadhirifu,nk,Mimi nahisi kama anamaanisha Tanzania vile?
Wala usihisi, ni Tanzania anayoisema, na ni kweli tupu wanatufidi ndio maana hawatukosoi ingawa wanayaona.
 
View attachment 172045
Kagame anafanana na huyu bibi atleast yeye anajipamba mwenyewe na illusions zake, lakini pale unapokutana na useless na supporters as in tutsi's telling you Kigali is better than the rest of East Africa cities. At the same time the whole of Rwanda is not the size Kilimanjaro region in Tanzania wakati huo huo nchi ya Rwanda inadaiwa sawa na Tanzania if not more wote wakiwa kwenye heavily indebted poor nations. Sasa unajiuliza ten million population ardhi hakuna na ukabila juu huyo great gani, mwehu tu.

Mkuu, Mi Nadhani Mkuu Wetu Wa Kaya Ndo Chiz Kabisaa, Kagame Kafanya Mazuri Mengi Sio Kama Huyu Wa Kwetu, 2tamkumbuka Saana Kwa Kuwa Bingwa Wa Kuombaomba
 
Tumwache Kagame Ajenge Inji Yake, Sis Wa Kwetu Ni Mtalii Wa Kimataifa..
 
we kihoro kweli hujaona kuwa kagame ni kituko.

Kituko Ni Huyu Wa Kwetu Anayeropoka Bila Kujielewa, Anaetembea Huku Na Kule Dunian Kwenda Kuombaomba Badala Ya Kujenga Inji Yake, Tembo Wanauawa, Twiga Wanaibiwa, Madini Ndo Usiseme, Kwel Tz Demu Wa Mtungo
 
Kagame Ana Akiri Sana, Sio Kama Wa Kwetu, Nadhan Jk Hatamsahau Alipokumbana Na Hasira Zake Alipojifanya Mshauri Wake Kukaa Meza Moja Na Magaidi Wa Jk Yaan Fdlr..
 
ahahahahha...mnaambiwa
msiingilie mambo ya wengine wewe eti muingie rwanda,sasa alichokisema
pk ni sahihi kabisa watanzania wengi nanataka kuingilia mambo ya rwanda
yasiyo wahusu.

nyie mbona mliingilia masuala ya wacongoman mpaka mlipotimuliwa na jw kule goma.? you idiot
 
lakini watanzania mtamtetea ba mwanaisha mpaka lini?pale hapa kuwepo ushauri,ushauri kwa waungwana unamuita mwenzako pembeni/faragha na kumpa huo ushauri,lakini aliyo yafanya ulikua upuuzi tu kwani msimamo wa rwanda kuhusu FDLR alikua anaufahamu,na ushirika wa kikwete na FDLR ulikua unajulikana kigali,na mpango mzima wa SA na france kumtumia kikwete ulikua unajulikana,sasa hapakuwepo cha ajabu kikwete kuropoka yale maneno unayoyaita ushauri,kwani alikua akitegemea support kutoka kwa hao mabwana zake,lakini mwisho wake rwanda imekua mshindi kwani hawakufikia lengo lao na hawatalifika,instead tanzania amekua loser,hii hasira ya watanzania ni kwa sababu purukushani hizi zimeshusha hadhi ya tanzania katika east afrika community hana tena influency,na hicho ndicho kinawauma sana,sasa mimi sishangai kuona kikwete ana support upinzani wa rwanda kwani kwanza hayuko tayari kuomba msamaha,pili anafikiri utawala wa kigali ukibadilika labda atarudisha hadhi yake ya zamani,but yoye haya nikupoteza muda,ushauri ni kwamba hadhi ya tanzania itarudi pindi uongozi ukibadilika,na hiyo serikali mpya inatakiwa kua yenye mtazamo sawa na chi zingine zilizo ndani ya EAC,bila hivyo mtakalia kuhangaishwa na ya majirani na kusahau kuyaangalia yenu.
Hizi ndizo hoja ulizoongea.
1. Ushirika wa JK na FDLR ulikuwa unafahamika Kigali>>> Ni ushirika upi huo ndugu yangu? Ni ule ambao uliandikwa na gazeti lenu kwamba Mama Salma kutoka Lindi ni Mhutu??!!

2. SA and France walikuwa wanamtumia JK>>> Hivi what's so special in Rwanda cha kuifanya SA na France iunganishe nguvu na kuitumia Tanzania against Rwanda?? Hapa kila siku tulikuwa tunawaambia kwamba hata uchumi wa Rwanda wenyewe sio endelevu kv unategemea madini ya wizi... na hili limeshaanza kubainika kwani, mara tu baada ya M23 kufurumushwa DRC, mwaka jana uchumi wa Rwanda umekuwa kwa 5% wakati kwa miaka mingi umekuwa ukikuwa kwa 7% na zaidi kidogo!! Sasa nini hasa kilicho Rwanda hata mataifa matatu yaungane against Rwanda??

3. JK alikuwa anatarajia kupata support kutoka kwa Bwana zake>>> Narudia lile lile... kwa lipi??? Hata hivyo, unataka kuniambia hufahamu kwamba hata huyo PK mwenyewe siku hizi ana adabu tofauti na zamani?? Umesahau Membe juzi juzi tu hapa alivyochana crystal clear bungeni kuhusu M23. Mbona Kagame hakumtuma tena yule hawala yake mnayemuita Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje akaongee tena ujinga kama alivyofanya mara ya kwanza??

4. Hatimae Rwanda amekuwa mshindi kwavile malengo yao hayakufanikiwa>>> Do I need to remind you kwamba FDLR wapo njiani kurudi Rwanda?? Unafikiri chanzo cha yote hayo ni nini???

5. Tanzania imekuwa loser>>> Msingi wa maelezo ya JK ni ili hatimae FDLR waondoke DRC na kurudi Rwanda na hilo ndilo linaloendelea... sasa nini hapo Tanzania ime-loose?? NYie si mnawaita FDLR kwamba ni magaidi, wasubirini basi magaidi wanakuja... wakamateni muwaweke ndani au wauweni kama ilivyo kawaida yenu lakini lazima hayo yafanyike ndani ya ardhi ya Rwanda.

6. Purukushani imeshusha hadhi ya Tanzania na haina influence tena>>> hadhi ipi ambayo imeshuka na influence ipi unayozungumzia? Do I need to remind you kwamba hata Coalition of Willing ni sisi wenyewe ndio hatukuitaka?? Do I need to remind you kwamba, baada ya JK kuhutubia bunge kwamba pamoja na chokochoko za PK lakini Tanzania haiwezi kujitoa EAC... baada ya kauli hiyo tu ambayo ilionesha kuchukizwa kwa JK, siku chache baadae Kenyatta akamtuma Waziri wake wa Mambo ya Nje na kusema kwamba Kenya ilikuwa inafanya yanayofanyika kv walikuwa hawafahamu??? Hivi mtu ambae hana hadhi wala influence unaweza kumfungia safari?? Anyway, hebu toa mfano mmoja hapa ambao unaamini kabla Tanzania haijashusha hadhi yake basi ingefanya jambo XYZ lakini kwavile hana tena hadhi na influence hiyo, hilo suala limefanywa na Rwanda or someone else!!!!!

7. Sishangai kuona kikwete ana support upinzani wa rwanda kwani kwanza hayuko tayari kuomba msamaha>>> Yaani ulitarajia JK amuombe msamaha PK, au???!!!

8.
pili anafikiri utawala wa kigali ukibadilika labda atarudisha hadhi yake ya zamani>>> Yaani Kagame Regime unapoiambia ifanye mazungumzo na waasi kumbe tafsiri yake ni kuutaka utawala wa PK uondoke madarakani?? Mbona sielewi? Am I missing something here?? Hadhi ya zamani unayoizungumzia wewe ni ipi?? Pale Makamanda wa JK walipotoa kichapo kwa vijibwa vya PK ilikuwa ni wakati JK ana hadhi au wakati imeshashuka??

9.
ushauri ni kwamba hadhi ya tanzania itarudi pindi uongozi ukibadilika,>>> THis's too cheap... unadhani wafuasi wa CHADEMA watakuunga mkono!!! Tanzania kuna mfumo usio na shaka, kila mmoja anafahamu kwamba Mwishoni mwa October 2015, Uchaguzi Mkuu unafanyika na JK anamaliza ngwe yake! Je, kuna Mnyarwanda yeyote anayefahamu pasi na shaka yoyote kwamba PK ataondoka lini??? Tena ombeeni baada ya JK, nchi isichukuliwe na Membe manake port anavyohusudu kutoa vipigo,....!!!

10.
hiyo serikali mpya inatakiwa kua yenye mtazamo sawa na chi zingine zilizo ndani ya EAC>>> Kumbe eh!! Kumbe ndo maana mna chuki na JK kwavile amewazibia kuanzia kwenye Operesheni Kimbunga hadi ku-diss Coalition zisizo na maslahi!!! Kwahiyo mnataka Rais atakayewaruhusu mfanye mnachotaka!!

11.
bila hivyo mtakalia kuhangaishwa na ya majirani na kusahau kuyaangalia yenu.>>> Sisi hatujahangaishwa na ya majirani bali na ya Rwanda kv tunafahamu Rwanda wakishaanza kuuana, wanakimbilia Tanzania.
 
Back
Top Bottom