Umesahau kwamba mkishaanza kuuana huko mnakimbilia Tanzania?! Umesahau jinsi mlivyoteketeza misitu mkoani Kagera?? N
Na Tembo WAnaouawa Huwaoni Eee? Wewe Umeona Tu Msitu, Watu Wanalisha Mifugo Yao Bila Kuharibu Mazngra, Afu Unabwabwaja Tu
Umesahau kwamba mkishaanza kuuana huko mnakimbilia Tanzania?! Umesahau jinsi mlivyoteketeza misitu mkoani Kagera?? N
Hujamwelewa, Kweli We Kiraza, Soma Vizuri
kagame mkurupukaji tu, ni jamii ya akina dr slaa anakurupuka alafu akigundua kafanya fyongo anabuni mpango wa kutafta public sympath
Kwahiyo Wanyarwanda ni sawa na Tembo sio??Na Tembo WAnaouawa Huwaoni Eee? Wewe Umeona Tu Msitu, Watu Wanalisha Mifugo Yao Bila Kuharibu Mazngra, Afu Unabwabwaja Tu
The reality from his distinguishable leadership reflects otherwise....Mtake Msitake Kagame Ni Kiongozi Wa Kuigwa Kwa Watanzania Na Afrika Yote
Mkuu katika mahojiano yote ni hiki kipande tu ambacho hakina mashiko.
Kwanza JK hakuingilia mambo ya Rwanda kwa aina yoyote , kilichotolewa ni USHAURI WA UOATANISHO kati ya Kagame na FDLR.
Swali limeulizwa kimagumashi naye Kagame kakwepa kulijibu.
Pili, mbona PK hakuulizwa after effects za kipigo sha M23 na kwamba sasa anaonekana ame sober-up juu ya uwezo wake kiujumla katika kanda ya maziwa makuu.
Mkuu mtu mzima unaongea miasho katika uwanda wa kimataifa?lakini watanzania mtamtetea ba mwanaisha mpaka lini?pale hapa kuwepo ushauri,ushauri kwa waungwana unamuita mwenzako pembeni/faragha na kumpa huo ushauri,lakini aliyo yafanya ulikua upuuzi tu kwani msimamo wa rwanda kuhusu FDLR alikua anaufahamu,na ushirika wa kikwete na FDLR ulikua unajulikana kigali,na mpango mzima wa SA na france kumtumia kikwete ulikua unajulikana,sasa hapakuwepo cha ajabu kikwete kuropoka yale maneno unayoyaita ushauri,kwani alikua akitegemea support kutoka kwa hao mabwana zake,lakini mwisho wake rwanda imekua mshindi kwani hawakufikia lengo lao na hawatalifika,instead tanzania amekua loser,hii hasira ya watanzania ni kwa sababu purukushani hizi zimeshusha hadhi ya tanzania katika east afrika community hana tena influency,na hicho ndicho kinawauma sana,sasa mimi sishangai kuona kikwete ana support upinzani wa rwanda kwani kwanza hayuko tayari kuomba msamaha,pili anafikiri utawala wa kigali ukibadilika labda atarudisha hadhi yake ya zamani,but yoye haya nikupoteza muda,ushauri ni kwamba hadhi ya tanzania itarudi pindi uongozi ukibadilika,na hiyo serikali mpya inatakiwa kua yenye mtazamo sawa na chi zingine zilizo ndani ya EAC,bila hivyo mtakalia kuhangaishwa na ya majirani na kusahau kuyaangalia yenu.
Mtake Msitake Kagame Ni Kiongozi Wa Kuigwa Kwa Watanzania Na Afrika Yote
lakini watanzania mtamtetea ba mwanaisha mpaka lini?pale hapa kuwepo ushauri,ushauri kwa waungwana unamuita mwenzako pembeni/faragha na kumpa huo ushauri,lakini aliyo yafanya ulikua upuuzi tu kwani msimamo wa rwanda kuhusu FDLR alikua anaufahamu,na ushirika wa kikwete na FDLR ulikua unajulikana kigali,na mpango mzima wa SA na france kumtumia kikwete ulikua unajulikana,sasa hapakuwepo cha ajabu kikwete kuropoka yale maneno unayoyaita ushauri,kwani alikua akitegemea support kutoka kwa hao mabwana zake,lakini mwisho wake rwanda imekua mshindi kwani hawakufikia lengo lao na hawatalifika,instead tanzania amekua loser,hii hasira ya watanzania ni kwa sababu purukushani hizi zimeshusha hadhi ya tanzania katika east afrika community hana tena influency,na hicho ndicho kinawauma sana,sasa mimi sishangai kuona kikwete ana support upinzani wa rwanda kwani kwanza hayuko tayari kuomba msamaha,pili anafikiri utawala wa kigali ukibadilika labda atarudisha hadhi yake ya zamani,but yoye haya nikupoteza muda,ushauri ni kwamba hadhi ya tanzania itarudi pindi uongozi ukibadilika,na hiyo serikali mpya inatakiwa kua yenye mtazamo sawa na chi zingine zilizo ndani ya EAC,bila hivyo mtakalia kuhangaishwa na ya majirani na kusahau kuyaangalia yenu.
Mkuu mtu mzima unaongea miasho katika uwanda wa kimataifa?
Ati baba mwanaasha!
Shame on you!
Na kwa taarifa yako hata kubomondwa huko Goma ilikuwa mpango wa kimataifa , sasa kama huwezi kupatana uasubiri kutatuliwa matatizo yako na majirani.
Jihadhari sana na WaTz mkuu usije lia kilio cha mbwa mfa maji.
Na nani kakwambia Tz haina influnce katika kipande hii?
Kenya sasa wana matatizo ya Al SHabab, peleka hao M23 sasa , na watapata mazoezi ya kutosha huko.
Na vile vile si umesikia wenzetu wana matatizo ya chakula, hebu jitahidi kuwesaidia maswahiba wako.
Fanya fyoko na Tz, na utakula jeuri yako.
Tengeneza hoja Mkuu Tanzania tumepoteza mvuto East Africa kivipi nchi gani yenye influence kubwa EA kama Tanzania. Kwanza nyie hebu jadilini njaa na migogoro ya kisiasa na hao wasomali mtuache na siasa zetu.
Unatakiwa kuwa mwehu ili kupingana na ukweli ambao Kagame amekuwa akiusimamia siku zote. Swali muhimu ni hili, je wakati wa mauaji ya Rwanda jumuiya ya Kimataifa ilifanya nini kuyakomesha? Hiyo inayoitwa Demokrasia haikuwepo wakati huo? Wakati JK anamshauri Kagame kuzungumza na waasi wauaji, Chama chake Dodoma mpaka leo hakitaki Serikali ya umoja wa Kitaifa Zanzibar! Chama Chake hakitaki mawazo ya Wananchi kwenye Katiba mpya! Inashangaza!
Naona Kagame anataka kuingiliwa sasa, na kama anakosea na kama ni kweli makosa yao yanasababisha shida kwa TZ, je sio muda mwafaka TZ ikakanyaga moto kabla haujaunguza nchi yetu??? Pamoja na mkosa yao Je JK alitumia platform sahihi kutoa pendekezo lake?? maana kushughulikia kosa kimakosa ni kosa pia.
unajua jk wakati mwingine anatuona wananchi kama wajinga wenzake, yaani anafanya mafyongo halafu anakuja kwenye media anajichekeshachekesha na kuleta mzaha, mi namwona kama kubwajinga tu. Kagame alikua sahihi kumkemea.
haya yote ni CCM kutaka kupunguza makali ya upinzani kwa kutaka watanzania waache kufikiria ya kwao wakodolee ya nje yasiyo wahusu.
Inatuwasha kwa vile tumechoka kupokea wakimbizi kutokana na mauaji huko kwenu, na wanaswagwa kama ng'ombe wa ankoleWanasema pilipili usiyo ila inakuwashia nini?
Kagame is running scared now, M23 ni wanyarwanda , sasa dunia inaelewa hivyo. Na hao wahutu waliokimbia mnawaita FDLR nao ni wanyarwanda,tatizo lenu hamja rise above primitive tribalism.haya sasa mlisema eti M23 ni sehemu ya rwanda,sawa wakatoka CONGO,sasa mnataka FDLR warudi madarakani,
huu ndio unafiki na ujinga mkubwa,kenya watakua na njaa kivipi wakati wanapesa,sasa hayo mahindi mliwapa bure?hata msipo wauzia wanaweza kununua kwingine siyo lazima tanzania,badala yake mimi naona walitaka kuwasaidia watanzania kwa pesa,hebu fikiria katika kitongiji chako kuna jirani mwenyeduka na wewe kunabidhaa unaihitaji na anayo,sasa ukiamua kuvuka huyo jirani na kwanda kununua katika duka la mtaa mwingine huyo jirani atakuonaje? kwanini usi mpige jeki jirani yako?lakini nyie mumeiona kama kusaidia,ndugu yangu msaada ni bure!na kenya wamekua waungwana hiyo ni kuashiria kwamba hakuna tatizo lolote kati ya kenya na tanzania,ukiwa na pesa hayo mahindi naweza agiza hata kutoka brazil,kingine hao watanzania wenye magari na meli wamepata biashara ya usafilishaji,kwa vyovyote vile watanzania ndiyo wamefaidika zaidi ya wakenya,naweza sema wakenya ndio wameisaidia tanzania.