....by the way, yeye na museveni na baadhi ya watutsi wenzao ndio walianzisha au sababisha genocide huko rwanda....Hili jibu halina ukweli wowote ule!! Ukweli ni kwamba, wakati jumuiya ya kimataifa inaamini Rwanda Genocide ambayo Wahutu na Watutsi waliuawa, Kagame na timu yake anataka tuamini ile haikuwa Rwanda Genocide bali Tutsi Genocide ingawaje anafahamu kwamba kulikuwa na Wahutu wenye msimamo wa wastani ambao pia waliuawa!!! Jumuiya ya Kimataifa yenye akili timamu, haiwezi kumu-exclude hata Mhutu mmoja aliyeuawa na badala yake iseme waliouawa ni Watutsi pekee!!!
Acha Upuuzi Wewe, Kwan M23 Ni Wa Rwanda?? Achana Na Maripoti Ya Mabeberu.
Astaghfirullah....heee! huyu mzee bhana. ati alikataa 'kuingiliwa na JK'