Kagame kuongezewa Muhula Mwingine na Wanyarwanda!

.... Wadau, Idadi Ya Wanyarwanda Wanaotaka Mabadiriko Ya Katiba Yao Kifungu Cha 101 ili kumruhusu kamanda mpambanaji PAUL RUTAGAMBWA KAGAME atetee nafasi yake katika uchaguzi ujao imezidi kuongezeka mara dufu. Hii Inaonesha Na Huo Ndiyo Ukweli Kwamba KAGAME Ni Lulu Ndani Ya Rwanda, Imefikia Hatu Wanyarwanda Wanasema Kagame Ni Zawadi Kutoka Kwa MUNGU. Vyanzo Ni RF INTERNATIONAL Na Izuba Rirashe..
Mabadiriko = Mabadiliko.

Wewe AMAHORO uwa nakushangaa upo Chadema wakati wewe ni Mnyarwanda daah!!!

Hawa ndiyo wasemaji wa Chadema na UKAWA.
 
Anachofanya Kagame hamna tofauti na alichokifanya Mbowe, hii tabia ya kujiongezea muda ni tatizo kubwa Africa.
 
dictator katika ubora wake.

.... Wadau, Idadi Ya Wanyarwanda Wanaotaka Mabadiriko Ya Katiba Yao Kifungu Cha 101 ili kumruhusu kamanda mpambanaji PAUL RUTAGAMBWA KAGAME atetee nafasi yake katika uchaguzi ujao imezidi kuongezeka mara dufu. Hii Inaonesha Na Huo Ndiyo Ukweli Kwamba KAGAME Ni Lulu Ndani Ya Rwanda, Imefikia Hatu Wanyarwanda Wanasema Kagame Ni Zawadi Kutoka Kwa MUNGU. Vyanzo Ni RF INTERNATIONAL Na Izuba Rirashe..
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Mbowe nae ni rais wa nchi?

Ni suala la principle, kama unaamini kwenye ukomo wa madaraka au huamini.

Hivyo haijalishi kama jnaitwa Uenyekiti au ni urais,ni suala la principle.Imeandikwa "usipokuwa mwaminifu kwenye madogo huwezi kuwa mwaminifu kwenye makubwa".
 
Hapa tanzania tuna madikteta wa vyama ambao hawatambui term limit nao siwengini ni Mbowe,Lipumba,Mbatia na Mtikila
 
Kagame mesimwelewagi kabisaaaa
Ni mchapakazi sana na ameinua uchumi wa Rwanda,
Tatizo ni dikteta sugu, yaani ukitishia tu serikali lazima akuondoe,
Ila kuongeza muhula mwingine ni kukalia demokrasia kwani, nchi nzima anayeweza ni yeye tu?
 
ukisikia unafki ndio huu sasa,sioni maandamano wala kusikia makemeo kwa kagame. wanaharakati wamepotelea wapi?au wako kwa nkurunzinza tu?siasa za Africa za kishenz* shenz*, if Nkurunzinza third term and altering of constitution was unjust, then whatever Kagame is doing here should also be the same. EAC Kimyaa.hovyo kabisa.
 
Mimi sioni tofauti ya Kagame na akina Mugabe/Nkuruziza/CCM. Wote ving'ang'anizi tu.
 
Kwa mchapa kazi kama Kagame acha atawale hata milele,ili mradi wananchi wana neemeeka.Uliza wa libya wanajuta kumuua Gadaffi kwa demokrasia waliyodanganywa na wamarekani

Mawazo ya KIFASHISITI na ya watu walioshindwa kufikiri nje ya Kagame.

Hivi mathalani huyo Kagame akifa leo, hiyo Rwanda ita stop to exist!?
 
ukisikia unafki ndio huu sasa,sioni maandamano wala kusikia makemeo kwa kagame. wanaharakati wamepotelea wapi?au wako kwa nkurunzinza tu?siasa za Africa za kishenz* shenz*, if Nkurunzinza third term and altering of constitution was unjust, then whatever Kagame is doing here should also be the same. EAC Kimyaa.hovyo kabisa.

... Mkuu, Wanyarwanda Wenyewe Ndio Wameamua Kumuongezea Muhula, Na Siyo Matakwa Yake. Alafu Kagame Anapendwa Sana Kwa Kazi Zake Siyo Kama Nkurunziza Mzembe Yule
 
Mabadiriko = Mabadiliko.

Wewe AMAHORO uwa nakushangaa upo Chadema wakati wewe ni Mnyarwanda daah!!!

Hawa ndiyo wasemaji wa Chadema na UKAWA.

.... Mkuu Ritz, Hebu Nitake Radhi. Mimi Ni Mtanzania Mzalendo Na Sina Chama Chochote Ila Ccm Siwapendi.
 
Mawazo ya KIFASHISITI na ya watu walioshindwa kufikiri nje ya Kagame.

Hivi mathalani huyo Kagame akifa leo, hiyo Rwanda ita stop to exist!?

... Si Mpaka Afe, Sasa Hivi Hajafa Mkuu.!
 
Kwa mchapa kazi kama Kagame acha atawale hata milele,ili mradi wananchi wana neemeeka.Uliza wa libya wanajuta kumuua Gadaffi kwa demokrasia waliyodanganywa na wamarekani

#Bongolala ,
Nakubaliana nawe. Teh.... Tume ya Uchaguzi ya CCM ipitishe maoni kuwa Watanzania wanao penda Rais Kikwete aongezewe mhura mwingine wachague NDIYO na wasio afiki watiki HAPANA......

Kwangu mie, Kama unaongoza kwa maslahi mapana ya Taifa, Luksa mika kumi kenda. Kwanini Nyerere anaendelea kuliliwahadi leo??
 
... Nashukuru Kwa Kuchangia Hoja. Vipi Lakin Hoja Umeielewa, Au Unaotafuta Tu Makosa, Kiswahili Sikuzaliwa Nacho Mkuu Nimekulia Kijijini

Ndio Maana Waliokulia Mjini Wanakufunza, Asiefunzwa Na Mamaye Hufunzwa Na Ulimwengu!!!
 
... Mkuu, Wanyarwanda Wenyewe Ndio Wameamua Kumuongezea Muhula, Na Siyo Matakwa Yake. Alafu Kagame Anapendwa Sana Kwa Kazi Zake Siyo Kama Nkurunziza Mzembe Yule

hao wanyarwanda umewauliza wote?katiba haziheshimiwi kwa uroho wa madaraka.anachokifanya yeye na nkurunzinza ni kitu kimoja.period.
 
Mawazo ya KIFASHISITI na ya watu walioshindwa kufikiri nje ya Kagame.

Hivi mathalani huyo Kagame akifa leo, hiyo Rwanda ita stop to exist!?
Hata Libya,Iraq,Somalia zina exist kiramani.Demokrasia ya wamarekani inawatoa akili kabisa.Gharama za marais wastaafu tanzania nani anazibeba?maana wapo lukuki na bado wataendelea kuwa wengi zaidi
 
Back
Top Bottom