demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,289
kagame kuendelea kutawala ni pigo kwa uchumi wa tanzania,ccm ijiandae kudhalilika
Hebu tuelezee tukuelewe kidogo, yaani pigo kivipi...?
kagame kuendelea kutawala ni pigo kwa uchumi wa tanzania,ccm ijiandae kudhalilika
Huku Kagame, kule Nkuruzinza! hawa watusi na wahutu taabu kweli kweli, wanatuvurugia EAC.
... Nashukuru Kwa Kuchangia Hoja. Vipi Lakin Hoja Umeielewa, Au Unaotafuta Tu Makosa, Kiswahili Sikuzaliwa Nacho Mkuu Nimekulia Kijijini
Kwa mchapa kazi kama Kagame acha atawale hata milele,ili mradi wananchi wana neemeeka.Uliza wa libya wanajuta kumuua Gadaffi kwa demokrasia waliyodanganywa na wamarekani
Sema ukweli we we umezaliwa kijiji gani? Anyway next week naenda RUBEHO unakazawadi nikupitishie nyumbani?
Hata sisi tumwongezee tuu braza mhula mwingine akamilishe ambayo hajafanya kuna ahadi nyingi hajatekeleza
Huyu msafiri hatumtaki,ila tungekua na rais kama Kagame tungetaka atawale milele.Rwanda wakuu wamepiga hatua kila kitu,kila raia anamuheshimu mwenzake,sera zao zinatekelezekaHata sisi tumwongezee tuu braza mhula mwingine akamilishe ambayo hajafanya kuna ahadi nyingi hajatekeleza
Kama kwwli wanampenda basi waondoe term limit kwenye katiba ili atawale maisha kabisa mpaka atakapofia Ikulu ndo aingie mwingine!
..sasa imekuwa ni 3 terms?
..na kama ni 3 terms, wanaanza kuhesabu toka ile ya kwanza, au huo uchaguzi unaofuatia ndiyo 1st term?
..au hakuna term limits kabisa?
NB:
..as long as Rwanda is stable I am fine with it.
..jambo la msingi ni mahusiano mazuri ya kiuchumi na kijamii baina ya mataifa yetu.
cc mchambawima1