Wadau, Idadi Ya Wanyarwanda Wanaotaka Mabadiriko Ya Katiba Yao Kifungu Cha 101 ili kumruhusu kamanda mpambanaji PAUL RUTAGAMBWA KAGAME atetee nafasi yake katika uchaguzi ujao imezidi kuongezeka mara dufu. Hii Inaonesha Na Huo Ndiyo Ukweli Kwamba KAGAME Ni Lulu Ndani Ya Rwanda, Imefikia Hatu Wanyarwanda Wanasema Kagame Ni Zawadi Kutoka Kwa MUNGU.
Vyanzo Ni RF INTERNATIONAL Na Izuba Rirashe..
Vyanzo Ni RF INTERNATIONAL Na Izuba Rirashe..