Kagame in Dar

Kagame in Dar

PK muoga yupo hypersensitive hata ukikohoa tu anaweza akaogopa

Wewe Hujiulizi Tu Swali Kwanini Hakuja Juzi Kama Wenzie Na Akaja Leo? Intelligence Ya Kwetu Rwanda Haitofautiani Sana Na Ya Israel ( Mossad, Shin Bet Na AMAN ). Mnadhani Paul Kagame Ni Kama Yule Mama Wa Malawi Joyce Banda Mliyemtisha Na Makombora Yenu Ya Mitumba Na Ya Msaada Na Mikwara Ya Kuvunja Matofali Ya Kuchoma Mepesi Na Laini Kwa Vichwa?
Paul Kagame, GENTAMYCINE Na Watu Wote Wa Jamhuri Ya Watu Wa Rwanda Ni Habari Nyingine Na Tupo Vizuri Kuliko MFIKIRIAVYO!
 
Rais Kagame awasili jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki Mkutano wa Uwelezaaji wa Ukanda wa Kati

IMG_5868.JPG
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard K. Membe (Mb) akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Mhe. Rais Kagame yupo nchini kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Ukanda wa Kati kuhusu Uwekezaji na Viwanda unaofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
IMG_5869.JPG
Rais Kagame akipokea shada la maua kutoka kwa mtoto Elizabeth Jackson kama ishara ya kumkaribisha nchini Tanzania.
IMG_5876.JPG
IMG_5875.JPG
Rais Kagame akikagua gwaride la heshima
IMG_5880.JPG
Rais Kagame na Waziri Membe wakiangalia burudani ya ngoma za asili uwanjani hapo.
IMG_5888.JPG
Waziri Membe akiwa ameongozana na Rais Kagame mara baada ya kukagua gwaride na kushuhudia ngoma za asili.

http://michuzi-matukio.blogspot.com/2015/03/rais-kagame-awasili-jijini-dar-es.html

Huyu Jamaa Paul Kagame Nampenda Hadi Nahisi Nataka KUKUFURU! Halafu Sijui Kwanini Nawapenda Watu Hawa :
1. Paul Kagame.
2. Yoweri Museveni.
3. Joseph Kabila.
4. Vladmir Putin.
5. Benjamin Netanyahu
6. Jamii Forum.
7. Mohamed Emwanzi Yule Mchinjaji Maarufu Wa IS ( Jihad John ).
 
Sema Unamwona Kagame Na POPOMA Upande Wa Kulia ILA Siyo Rais Mtarajiwa. Tanzania Hatuwezi Kuchagua MAFIA Na Muuaji Akae Magogoni.
Wewe si ulisema we we ni mnyarwanda na unajua kuongea kiswahili vizuri.....imekuaje tena kusema "Tanzania hatuwezi kumchagua mafia na muuaji akae magogoni"
 
Shida Yako Nini? Umeamka Na Matongotongo Yamekujaa AKILINI? Unyarwanda Wangu Wewe Unakuhusu Nini? Kumbe Mnatupenda Warwanda!
 
Mnadhani Paul Kagame Ni Kama Yule Mama Wa Malawi Joyce Banda Mliyemtisha Na Mikwara Ya Kuvunja Matofali Ya Kuchoma Mepesi Na Laini Kwa Vichwa?

Hao wavunja vitofali kwa vichwa ndio hao waliowapa kipigo cha mbwa mwizi M23.Nafikiri kile kipigo bado hujakisahau.Waliopiga ni hao hao wavunja vitofali uliowaona.Kile kipigo kwa M23 haukuwa mkwara kilikuwa kipigo halisi kutoka kwa wavunja vitofali kwa kichwa wa JWTZ.
 
Upepo mbaya unaondoka nyie bado mnapiga magoti uendelee, imekula kwenu:lol:
 
Wewe Hujiulizi Tu Swali Kwanini Hakuja Juzi Kama Wenzie Na Akaja Leo? Intelligence Ya Kwetu Rwanda Haitofautiani Sana Na Ya Israel ( Mossad, Shin Bet Na AMAN ). Mnadhani Paul Kagame Ni Kama Yule Mama Wa Malawi Joyce Banda Mliyemtisha Na Makombora Yenu Ya Mitumba Na Ya Msaada Na Mikwara Ya Kuvunja Matofali Ya Kuchoma Mepesi Na Laini Kwa Vichwa?
Paul Kagame, GENTAMYCINE Na Watu Wote Wa Jamhuri Ya Watu Wa Rwanda Ni Habari Nyingine Na Tupo Vizuri Kuliko MFIKIRIAVYO!
Taifa la watu masikini ambalo hata ardhi hamna unajisifia upuuzi?
 
Wewe Hujiulizi Tu Swali Kwanini Hakuja Juzi Kama Wenzie Na Akaja Leo? Intelligence Ya Kwetu Rwanda Haitofautiani Sana Na Ya Israel ( Mossad, Shin Bet Na AMAN ). Mnadhani Paul Kagame Ni Kama Yule Mama Wa Malawi Joyce Banda Mliyemtisha Na Makombora Yenu Ya Mitumba Na Ya Msaada Na Mikwara Ya Kuvunja Matofali Ya Kuchoma Mepesi Na Laini Kwa Vichwa?
Paul Kagame, GENTAMYCINE Na Watu Wote Wa Jamhuri Ya Watu Wa Rwanda Ni Habari Nyingine Na Tupo Vizuri Kuliko MFIKIRIAVYO!
usijipe moyo we masikini wa akili. inteligence yenu bado choko tu, na mnachojua ninyi ni kukodi wauaji tu ila mkijambishwa kidogo mnapiga makelele balaa. mnaweza kukimbia hata kivuli ninyi. kwani angekuja juzi kungetokea nini? hivi unafikiri tz tungemkamata akifika hapa? au unafikiri tungempiga risasi? alikuwa anasubiri inteligensia yanini sasa? kwani mbona yuko bongo kama tukiamua kumtungua si tunamtungua tu, au kama sisi tukiamua hata leo tulegeze ulinzi kwake ili intalahamwe wampige reisasi unafikiri tungeshindwa? unachotakiwa kujua ni kwamba tz kama inataka kumdhuru huyo paka haitafanya hivyo ndani ya ardhi ya tz, bali kulekule rwanda hivyo akisafiri kuja hapa hatuwezi kuhangaika kuchafua nchi yetu kimataifa kwa kuuawa kwa paka mmoja tu nchini kwetu. inaelekea hauijui tz.
 
Hao wavunja vitofali kwa vichwa ndio hao waliowapa kipigo cha mbwa mwizi M23.Nafikiri kile kipigo bado hujakisahau.Waliopiga ni hao hao wavunja vitofali uliowaona.Kile kipigo kwa M23 haukuwa mkwara kilikuwa kipigo halisi kutoka kwa wavunja vitofali kwa kichwa wa JWTZ.

Yes, Tumeonyesha tuko fiti kwa kila kitu. Diplomasia tunaijua, Kichapo tumemchapa fresh, na sasa tunamwambia tulia mzee tulikuwa tunakuweka sawa. Karibu sasa tukufundishe kuishi na watu. Bado kumtoa sumu ya ukabila tu. huyo GENTAMYCINE ni mwendawazimu. Mi nilishamgundua siku nyingi.
cc jMali
 
Last edited by a moderator:
usijipe moyo we masikini wa akili. inteligence yenu bado choko tu, na mnachojua ninyi ni kukodi wauaji tu ila mkijambishwa kidogo mnapiga makelele balaa. mnaweza kukimbia hata kivuli ninyi. kwani angekuja juzi kungetokea nini? hivi unafikiri tz tungemkamata akifika hapa? au unafikiri tungempiga risasi? alikuwa anasubiri inteligensia yanini sasa? kwani mbona yuko bongo kama tukiamua kumtungua si tunamtungua tu, au kama sisi tukiamua hata leo tulegeze ulinzi kwake ili intalahamwe wampige reisasi unafikiri tungeshindwa? unachotakiwa kujua ni kwamba tz kama inataka kumdhuru huyo paka haitafanya hivyo ndani ya ardhi ya tz, bali kulekule rwanda hivyo akisafiri kuja hapa hatuwezi kuhangaika kuchafua nchi yetu kimataifa kwa kuuawa kwa paka mmoja tu nchini kwetu. inaelekea hauijui tz.

Mwambie huyo chizi. Hawa wakiona tunawalealea wanakuwa na kiburi sana. Hawajui maisha yao tumeyabeba sisi. Lakini dharau ikizidi wataona kitakachotokea.
 
Yes, Tumeonyesha tuko fiti kwa kila kitu. Diplomasia tunaijua, Kichapo tumemchapa fresh, na sasa tunamwambia tulia mzee tulikuwa tunakuweka sawa. Karibu sasa tukufundishe kuishi na watu. Bado kumtoa sumu ya ukabila tu. huyo GENTAMYCINE ni mwendawazimu. Mi nilishamgundua siku nyingi.
cc jMali

kama anavyosemaga b.we.ge flani hivi humu JF, "Tumemtemesha sumu " si umeona hadi anacheka cheka?
 
Back
Top Bottom