Kagame in Dar

Kagame in Dar

Hakiamungu mihuwa nawaza sana hawajamaa wanakipi chakusema wanauwezo wa kupigana na tz hata kwa miaka 2 mfululizo na hapa nikiongelea chanzo cha uchumi nikipi, maana unapo kuwa unamtunishia msuli mwenzie jiulize kwanza unauwezo wa kupambana kwa muda mlefu power utaitoa wapi
 
Leave Kagame alone. Hapa mafala ndio wanaongea vitu havina kichwa wala miguu kwa chuki za kingese.

Tafuteni elimu.
 
Acha kudanganya wenzio, waliopiga M23 ni wavunja mikate!
Hao wavunja vitofali kwa vichwa ndio hao waliowapa kipigo cha mbwa mwizi M23.Nafikiri kile kipigo bado hujakisahau.Waliopiga ni hao hao wavunja vitofali uliowaona.Kile kipigo kwa M23 haukuwa mkwara kilikuwa kipigo halisi kutoka kwa wavunja vitofali kwa kichwa wa JWTZ.
 
Leave Kagame alone. Hapa mafala ndio wanaongea vitu havina kichwa wala miguu kwa chuki za kingese.

Tafuteni elimu.
halafu namlaumu sana jk, hakutakiwa kwenda membe kumpokea huyu paka, alitakiwa aende kova au jeri slaa, au hata makonda akampokee huyu mwanadamu. kumpelekea membe amemheshimu sana ashukuru Mungu kwa heshima hiyo.
 
ni kwamba tu sikio la kufa halisikii dawa.Hawa wanyarwanda eanafikiri vita ni mchezo wa drafti tu ukipata kingi basi ndio unatesaaa weeee.hawajui kua ubora wa jesh hujengwa na vitu vingi sana.haya leo et wanajigamba wana intelijensia nzuri sana yan ka nchi kenyewe hakina ardhi ya kutosha wala maliasili ya.kueleweka na kaliingia vitani (vita ya wenyewe kwa wenyewe) sasa sijui intelijensia yake ilikua wap.
embu angalien tz jinsi ilivyo na mali nyingi na bado aman ipo unafikiri hakuna watu wenye roho mbaya ka ninyi mnaotaka vita itokee ili mje kujizolea mali kwetu.
hapa ndio utagundua kua intelejensia yetu iko juu kwelikweli.
 
Wewe si ulisema we we ni mnyarwanda na unajua kuongea kiswahili vizuri.....imekuaje tena kusema "Tanzania hatuwezi kumchagua mafia na muuaji akae magogoni"

angalia post #16 uone alicho koment huyo jamaa ana jofanya mrwanda daah anajichanganya sana mara ajiite mtanzania mara ajiite mnyarwanda duuh bange mbaya sna!
 
huyu jamaa paul kagame nampenda hadi nahisi nataka kukufuru! Halafu sijui kwanini nawapenda watu hawa :
1. Paul kagame.
2. Yoweri museveni.
3. Joseph kabila.
4. Vladmir putin.
5. Benjamin netanyahu
6. Jamii forum.
7. Mohamed emwanzi yule mchinjaji maarufu wa is ( jihad john ).

embu wacha upuuzi wakoo
 
Nyinyi nao manyumbu kweli, Kagame ni Gen mimi nimesoma historia yake siyo mwanajeshi kama uliyo ona wanavunja matofali ya udongo. Yeye ni high level army, pia ni mtu ambaye ameifanya nchi yake inathaminika kimataifa wacha nyinyi ambao kila kukicha bln mia zimepotea.
 
kilichonivitia ni walinzi wake ambao wanaonekana ni vijana. pia suti zao wanapendeza! alafu wanaonekana ni mchanagnyiko, kagame anajaribu kuonesha kuwa Rwanda ni ya wanyarwanda wote. watutsi na wahutu kama ninavyowaona walinzi wake ambao ni mchanganyiko. kuna ujumbe tosha katika ujio huu. japo mimi sikubaliani na uongozi wake
 
samahani haisaidii! cha muhimu ni kuacha hiyo tabia ya kulopokalopoka wewe kiao-kata

Mzee wa sumu kaa kimya. Huyo ni mbongo mwenzangu. We mzee wa jenosaidi husituingilie........LOL
Jamaa yako Paka nasikia kaja kuomba msamaha kwa mutoto ya mujini mzee jakaya.... ahahahahhaha.
Taratibu hivyo Tumempokea ki diplomasia ili naye aige mfano. Kile kipigo cha M23 hakitufanyi tuwe wahasama. Tulikuwa tunamfundisha tu. Sasa Bado kuja huko kwenu kuwafundisha kuacha ukabila. Taratibu Mzee wa sumu husiogope
 
ni kwamba tu sikio la kufa halisikii dawa.Hawa wanyarwanda eanafikiri vita ni mchezo wa drafti tu ukipata kingi basi ndio unatesaaa weeee.hawajui kua ubora wa jesh hujengwa na vitu vingi sana.haya leo et wanajigamba wana intelijensia nzuri sana yan ka nchi kenyewe hakina ardhi ya kutosha wala maliasili ya.kueleweka na kaliingia vitani (vita ya wenyewe kwa wenyewe) sasa sijui intelijensia yake ilikua wap.
embu angalien tz jinsi ilivyo na mali nyingi na bado aman ipo unafikiri hakuna watu wenye roho mbaya ka ninyi mnaotaka vita itokee ili mje kujizolea mali kwetu.
hapa ndio utagundua kua intelejensia yetu iko juu kwelikweli.
angalia kwenye red, hata kama hawana maliasili wala ardhi, wanavyo vivutio vinavyowapa pesa. vivutio hivyo ni gorilla and women. vitombi hao na wanapenda kweli kuwavulia watz alimradi tu uwape chapaa. hao magolila ndio wanayalinda kuliko wanaamu kwasababu bila hao hawatakuwa na mnyama wa maliasili yeyote kwani hawana. hawajui hata tembo yukoje, hawajui pundamilia na nyati wanaona tu kwenye tv. halafu wanasema watashindana na tz...hahaha
 
Back
Top Bottom