Kagame Anaogopa Nini Kuja Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kagame Anaogopa Nini Kuja Tanzania?

Discussion in 'International Forum' started by The Prophet, Apr 19, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaogopa kudunguliwa kama Habyarimana?
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Na Museven je?
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Nani kasema ni waoga?
   
 4. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Kagame hajawahi kualikwa kitaifa, lakini anao marafiki wngi huku.
  M7 ni mnafiki km hiki chama $, (ni graduate wa UDSM enzi hizo na kaishi sana hapa) anajiona superior kuliko wao na nasikia ana ndoto ya kuwa rais wa shirikisho la Afrika ya Mashariki. Unanona?
   
 5. k

  kazitech Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona Mseveni yupo nchini toka jana?
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa Kagame huwa anatupiga chini mara kibao anatuma uwakilishi!!!labda hatupendi kimtindo!!!
   
 7. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Anaogopa, nyumbani si shwari sana.
   
 8. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Huyo muuaji na kibaraka wa marekani unataka aje kufanya nini? Yuko kwake bize anapindisha ukweli kua sio yeye chanzo cha mauaji ya 94!
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Museveni alikuwa Loliondo kwa babu Feb mwaka huu
   
 10. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,758
  Trophy Points: 280
  Port sijakuona humu jamvini mida..au ulikwenda kwa babu nini? Nipe habari.....
   
 11. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Wenzio wameishafunika mafaili ya 1994 na sasa wanachapa kazi kukuza uchumi wa nchi yao. Wanajenga reli mpya hadi mpakani na Tz waiunge na hili bomu lenu la TRL, jiji la Kigari linakua sana na wanayo plan ya miaka 50 ijayo. Maisha vijijini yameimarika sana nchini Rwanda na umaskini ukepungua kulinganisha na Tz. Nyie bakieni kupiga domo na kuimba kilimo kwanza tu wakati wenzenu wanachanja mbuga.
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  IQ level yake na ya rais wenu ziko sawa? haoni umuhimu wa kuunguza pesa za wananchi wake kwa ajili ya mkutano usiokuwa na tija. kwanza ungekuwa na tija ungefanyika yalipo makao makuu ya EAC Arusha na siyo dar!

  Huu ni mkutano wa kupiga porojo tu. Hauna lolote, na pengine umeitishwa na mseveni ili kupunga upepo.
   
 13. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Yeah - Sometime is April - !
   
 14. NDINDA

  NDINDA JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 3,450
  Likes Received: 3,648
  Trophy Points: 280
  mkitaka kusema kitu muwe na uhakika, Reli inajengwa na nchi zote tatu, na mkutano wa kutafuta wawekezaji ulimalizika juzijuzi hapa hapa dar,reli hii inatarajiwa kupunguza muda wa kusafiri kutoka dar mpaka kigali na kua muda wa masaa sita tuu, maana reli itakua na standard gauge, speed 120,kulinganisha na ya sasa 20kmph ,huu ni mradi wa nchi tatu na sio rwanda peke yake, jiji la kigali linakua so do dar es salaam, huwezi kulinganisha kigali na dar, pia idadi ya watu wa rwanda na tanzania, ndo maana raisi alisema muache kupiga tuu domo, kasema tanzania ni kubwa na huu ukubwa una uzuri wake na ubaya wake, pia kasisitiza umeme unliovutwa kutoka mtera mpaka tarime ingekua nchi nyingine wangefunga hadi kwenye matendegu ya vitanda , na hizi barabara zetu ambazo ni zaidi ya 105, ingekua nchi nyingine zingfika hadi milangoni, watanzania wengi sijua kama mnajua nchi yenu inafanya nini, pamoja na kua ni taratibu lakini at least wanafanya, kuna mkongo kasema nyie watanzania mkitaka kulalamika , fikirieni kongo kwanza, mtakosa hata cha kulalamika, master plan ya kigani ni nzuri, wameanza kujenga lakini kakwambia nani dar haina vitu kama hivyo? Mchikichini heights, kigamboni city, makongo settlement, ambayo yatakua kama beverl hill marekani, na mengine mengi, yaani cha kushangaza ,mradi wa mabsi yaendayo kasi ushaanza kujengwa lakini mbongo anakuambia ni sanaa tuu hii, du, kweli, tutafika , kilimo kwanza ni kitu muhimu sana, yaani we umeona watu wanapiga domo na kilimo kwanza? Mafisadi wapo wanakwamisha uchumi lakini tunatakiwa tuwe na moyo wa kupongeza chichote kizuri kitakachofanywa,
   
 15. M

  Mwera JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu masanilo karibu tena jamvini,ujirekebishe after ban.
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  aje kufanya nini? kucheza kiduku na JK+mwai
   
 17. K

  Kithuku JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 19, 2006
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Paul Kagame ni mwenyeji hapa pia. Akiwa askari wa jeshi la Uganda, alikuja Monduli kuchukua kozi zile za senior commissioned officers (zamani zikiitwa kwa kiswahili kozi za uongozi wa kijeshi, na chuo kikiitwa CTU, Chuo cha Taifa cha Uongozi wa kijeshi), wanazisoma mameja na makanali. Ni mwenyeji Monduli. Anazungumza kiswahili vizuri. Sidhani kama ana cha kuhofia kuhusu Tz maana hakuna wapinzani wake wenye kambi yao humu, kama kuogopa labda angetishika kuhusu Congo ambako ndiko wale Interahamwe walikohamia wakisubiria a grand comeback kama aliyofanya Kagame na wenzie kutoka Uganda.
   
 18. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  barabara imekuwa barabara. kama hii niayoitwa kilwa road, inaumuka katikati ya lanes kama imetiwa amira.

  wamarekani walipoona nchi yao ni kubwa waliona isiwe taabu...wakaigawa katika majimbo; nyie kwa tamaa zenu na ulafi wa madaraka ya sifa mnaona ni rahisi mtu mmoja anaweza kuongoza nchi yote hii akiwa amevaa msuli pale magogoni.
   
 19. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #19
  Apr 19, 2011
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Huwezi kulinganisha maendeleo ya rwanda na tanzania! Rwanda ni nchi maskini sana japo kwa takwimu unaweza ambiwa imepiga hatua sana! Kwanza ukubwa wa mji wa kigali ni kama kahama au singida!, wanazidi tu bara bara nzuri na majengo!

  Ya 94 hayajasahaulika ndio maana kila mara wananyonga watu na kila mwaka wanaonesha mafuvu! Kagame anahusika mauaji ya halaiki na ndio maana haondoki nchini mara kwa mara, ni hofu ya kuuawa!, si unajua alieua kwa upanga sharti auawe kwa upanga?
   
 20. a

  asagulaga Member

  #20
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15

  Ninakuunga mkono kabisa, huwezi ukalinganisha nchi yenye eneo la km za mraba mara 20 zaidi ya kanchi kadogo. Kagame anajitangaza tu kwa kuungwa mkono na nchi za Magharibi, tuwe waangalifu sana na viongozi wa namna hii. Kitu kidogo unakiamplify kama umefikia maendeleo ya juu ya kweli wakati hamna kitu.
   
Loading...