Kagame acha ujinga, nchi haiwezi kuendelea bila ya Polution!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Huyu Raisi wa Rwanda Paul Kagame kwa maoni yangu ni mjinga na haelewi industrialization maana yake nini!

Kwa kuwa tu nchi zilizoendelea kama EU,Ujapan na USA wanaongelea mambo ya green ya economy haimaanishi kwamba na sisi pia third world tuwafwate, hao wanasema hivyo kwa kuwa walishaendelea tayari na pia wana hiyo green technology, sasa wewe mwenzangu na mimi ambapo bado hata njiti ya kiberiti hauwezi kutengeneza unaongelea green economy?

Acha ujinga Kagame, hauwezi kuendelea bila ya kuharibu na kuchafua mazingira, hakuna aliyefanikiwa mpaka leo hii ...
 
Wewe na kagame na kasoma zaidi? Au nenda kwa mashoga wezako huko magharibi ukachafue hiyo hali ya hewa

Mimi nina uelewa kuliko Kagame, ndiyo maana ninajua kwamba nchi haiwezi kuendelea bila ya kuchafua mazingira, tumeona hapa mfano rahisi sana Serikali yetu ilitaka kupiga marufuku mifuko ya plastiki juzi Raisi amesema wataangalia upya katazo hilo wakati anafungua Kiwanda cha kipya cha Azam, unafahamu ni kwa nini?
 
Huyu Raisi wa Rwanda Paul Kagame kwa maoni yangu ni mjinga na haelewi industrialization maana yake nini!

Kwa kuwa tu nchi zilizoendelea kama EU,Ujapan na USA wanaongelea mambo ya green ya economy haimaanishi kwamba na sisi pia third world tuwafwate, hao wanasema hivyo kwa kuwa walishaendelea tayari na pia wana hiyo green technology, sasa wewe mwenzangu na mimi ambapo bado hata njiti ya kiberiti hauwezi kutengeneza unaongelea green economy?

Acha ujinga Kagame, hauwezi kuendelea bila ya kuharibu na kuchafua mazingira, hakuna aliyefanikiwa mpaka leo hii ...
Cc: GENTAMYCINE, einstein newton, Mathematician. labrujita. Mr Chin.
 
Mimi ninaona africa we should care less about it tujenge tu maviwanda maana wazungu na wa asia washajenga na bado wanaendelea kuchafua hali ya hewa na maviwanda yao jambo ambalo effefts zake nasi zina tuatuaffect wakati hatuna viwanda.
So na sisi bora tu tujenge why should we care
 
Mimi nina uelewa kuliko Kagame, ndiyo maana ninajua kwamba nchi haiwezi kuendelea bila ya kuchafua mazingira, tumeona hapa mfano rahisi sana Serikali yetu ilitaka kupiga marufuku mifuko ya plastiki juzi Raisi amesema wataangalia upya katazo hilo wakati anafungua Kiwanda cha kipya cha Azam, unafahamu ni kwa nini?
mkuu unaongoza nchi gani ili tuone kama kweli una akili kuko kagame. china?
 
Hahah mwenzako kagame ni Rais wkt wewe ni Unalipwa elfu 7 kwa siku.
 
Back
Top Bottom