Kafulila na Moses Machali wako live TBC

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,788
Reaction score
165,484
Sijui ni katika tukio gani ila naona wamepewa nafasi ya kuongea akiwemo aliekuwa mbunge wa Kinondoni pamoja na mama Anna Mghwira.

Event naona imepewa jina la kampeni ya uzalendo na Mwakyembe anaonekana kuwa ndio MC wa shughuli hii.

Yuko Raisi wa Zanzibar, Makamu wa Raisi,Waziri Mkuu,mawaziri na wageni wengine.

Tukio hilo sijui ni la kiserikali au kichama nashindwa kuelewa.

Swali:
Nini kimewasukuma kuleta hii event?Wameona nini?

Tazama TBC.
 
Ni ufunguzi wa kampeni ya UZALENDO. Inafanyika ukumbi wa Chimwaga, chuo kikuu cha Dodoma. Machali, Ana Mgwila na Kafulila wamejitokeza rasmi CCM kwenye kampeni ya Uazalendo. CCM chama cha Wazalendo.

Ova
 
Halafu alitakiwa hawepo boss mkubwa sijui kimemkuta nini?
 
Wanamtindindo wa kujitekenya wenye na kucheka wenyewe,huu ugojwa ushakuwa sugu ndani ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…