Kafulila kubali yaishe kama Ally Happi. Kalime ama kavue migebuka. Unatia aibu kushinda mitandaoni kujipendekeza kwa mama

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila ni mfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila, yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila nimfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
Kafylila ana tia kinyaa
 
Kama mama anafanya kazi nzuri kwa nini asisifiwe. Watanzania wengi hawajui kusifu kwa mtu anaefanya jambo jema na hawajui kukemea kwa mtu anaefanya jambo baya. Yeye kaamua kusifia kwa mambo mazuri anayofanya rais SSH na wewe unaweza kukemea mambo mabaya anayo yafanya
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila, yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila nimfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
Kabla ya kuwa mbunge alikuwa na vifaa vya Muziki vilivyokuwa vinatumbuiza kwenye sherehe za Kipaimara , nadhani angefufua vyombo vile .
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila, yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila nimfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
NATAMANI TU ITOKEE MAMA AMTEUE SIJUI MTAANDIKA NINI NYIE MSIOMPENDA MAMA?
 
Kafulika ni 🙊 tumbli, tumbli hawalimi. Wanasubiri wengine walime, wao waje kuparamia shamba.
 
Na nyinyi muda wote mnaoponda chama A na kusifia timu B" nanyi mnataka nini?
 
Tatizo walishaonja neema za nchi na wakajiaminisha kuwa ni haki yao kuzila neema hizo.
Chochote kinyume na hapo wanajiona kama wameonewa.
Ukomo wa fikra zao hata kama walikuwa na akili kiasi gani baada kupewa teuzi hawawezi fikiri zaidi. Wakitenguliwa na maisha wanaona yameisha.
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila, yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila nimfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.
ana kiburi yule, natamani asipate cheo chochote maisha yake yote hadi atakapokufa. kwa waliowahi kufanya naye kazi au hata kumtembelea ofisini kwake tu alipokuwa RAS au Mkuu wa Mkoa watakuambia. hafai, huwezi dhani kuna siku aliwahi kuwa mpinzani. hata wanaccm wakipata cheo huwa wanakuwa na utu.
 
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.

Mwambieni Kafulila kuwa yeye siyo wa kwanza. Wapo akina Dr. Rutengwe walillia kama Yesu msalabani baada ya kutumbuliwa mpk leo hatujui wako wapi.

Lakini yupo Ally Happi aliyetumbuliwa sambamba na Kafulila, yeye (Ally Happi) ameamua kujikita kwenye kilimo. Na tayari amejipatia umaarufu na heshima kubwa kwa kuposti mitandaoni kazi za mikono yake (kilimo). Wengi, hata wale waliokuwa wakimchukia Ally Happi kwa kauli zake wakati wa Magufuli sasa wanampa kongole kwa kuwaonesha vijana kwa vitendo dhana nzima ya kujiajiri.

Kafulila nimfano mbaya wa kuigwa. Anaamini nje ya uteuzi hakuna maisha, hivyo anaendelea kutoa machapisho yenye mwelekeo wa kulamba miguu ya mama ili amuone na amkumbuke kwenye teuzi.

Shit Kafulila! You deserve curse.

Kafulila wewe endelea kumsifia mama kwa kadiri unavyooma inafaa na inavyokupendeza. Mbona wenyewe wakimsifia lisu, mambe, mdude n.k. hamna wa kuwasema. Kila mtu awe huru kusifia anachotaka, ndiyo demokrasia. Kusimangana siyo vizuri.
 
Hakua amejipanga mkuu, ndo anapambana safar ikiitika tu anajipanga baada hapo akalime au akavue migebuka!!

Back
Top Bottom