Kafulila Asipotoshe Umma

Kafulila Asipotoshe Umma

Hahahahaha, nami binafsi nimekuelewa na hasa kwa nukuu hiyo .. Hahahahaha

Nadhani agenda ya ifisadi ndo agenda kubwa iliyofanya kuvifikisha vyama vingi na ata ivi vya kwetu hapo vilipofika bila kupambana na ufisadi utapata wapi utawala bora utaweza wapi kukusanya kodi bila kukusanya kodi hizo huduma muhimu unazoitaji kuwaletea wananchi wako fedha utatoa wapi

Mimi nafikili mtu kutoa mawazo yake na hali anayoiona ktk chama atokacho si vibaya ni maoni yake na ujinga mkubwa tulionao tumejikita sana na kununuliwa mkiimanisha njaa lakini amtaki kujikita ktk utafiti kuwa kuna nini hasa kinafanya hawa wanasiasa wanahama vyama lipo tatizo na moja ya tatizo viongoz wengi wa hivi vyama awataki kukubar kukosolewa na hili si hapa kwetu tu ni nchi nyingi za ki afrika hapa kwetu kumeibuka tatizo kubwa kuwa kila atoae mawazo yake anaambiwa njaa amenunuliwa n.k huu ni upuuz ambao watu wengi wamelishwa vichwani mwao na watawala wa vyama nani kansa mbaya
 
Siamini kama tatizo kubwa ni ufisadi japo ni tatizo. Umaskini wa Tanzania unasababishwa na low production kwa sababu nchi imekosa innovative and visionary leaders.
Hilo jibu ungewaeleza CHADEMA ambao kwao Ufisadi ni mwarobaini wa chanzo cha umasikini nchini.

Nikichambua zaidi andiko lako ninagundua hujui hata maana ya ufisadi/wizi na athari zake katika maendeleo.

Innovative and visionary leader ni matokeo. Huwezi kuwa na innovative and visionary leaders wakati uzalishaji/upatikanaji wake uko katika msingi wa ufisadi.
 
Hilo jibu ungewaeleza CHADEMA ambao kwao Ufisadi ni mwarobaini wa chanzo cha umasikini nchini.

Nikichambua zaidi andiko lako ninagundua hujui hata maana ya ufisadi/wizi na athari zake katika maendeleo.

Innovative and visionary leader ni matokeo. Huwezi kuwa na innovative and visionary leaders wakati uzalishaji/upatikanaji wake uko katika msingi wa ufisadi.
Ulichokifanya siyo uchambuzi, ni fikra zako ambazo naamini siyo sahihi.

Hutangulii kuondoa ufisadi ndiyo upate visionary and innovative leadership. The vice versa is true. It is the visionary, innovative and committed leadershp that create mechanisms, systems, laws and procedures that can warrant a society free or nearly free from curruption. You need people to curb problems. People are the hub of your wheel of the fight.
 
Vijana wanaingia upinzani hawapewi majukumu Kwa kuwa uongozi uko mikononi mwa wachache. Waache wajitafutie chimbo watakakotumika effectively
Mama usipotoshe! Katambi hakuwa na nafasi kubwa kwenye chama? Mwigamba alikuwa mdogo ndani ya ACT? Waseme ukweli tu kwamba vyuma vimekaza hivyo wanatafuta pa kupumlia!!
 
Kama CCM wanpiga vita ufisadi basi kwa moyo mweupe kabisa watuambie yafuatayo, ni nani alye lalamikiwa na marehemu S. Stta kuwa amehujumu shirika la reli hadi kufikia kuagiza vichwa vibovu vya treni na kuvitelekeza bandarini , ni nani huyo na sasa ana wadhifa gani serikalini, ni nani aliye uza nyumba za serikali hovyo hovyo hadi zingine kuwapa ndugu zake na wapenzi wake ,

ni nani huyo na sasa yuko chama gani na ana wadhifa gani, watuambie ni akina nani waliotumia vibaya hela za walipa kodi wa nchi hii katika mchakato wa wa rasimu ya katiba mpya, hao ni akina nani na wako wapi kwani hawajui kuwa watanzania wana wadai mabilion ya shilingi walio hongana kwenye mchakato huo, hao nao watuambie wako chama kipi.

Yapo mengi tu nchi hii bado wananchi wengi tu wanachangia visima vya maji ya kunywa na ngedele hilo hawalioni, nchi hii huduma za Afya zime zorota kiasi kwamba watu wapanga foleni kwenye meli ya madkatari toka china utadhani wako loliondo kwenye kikombe cha babu, mikopo kwa ajili ya elimu imekuwa shida mnata watu wasipate elimu ujinga utawale ili muendelee kuwa ibia vizuri rasilimali za Taifa.

Acheni zenu hizo mna sema mnapambana na rushwa huku nyie ndio vinara wa wa kutoa hiyo rushwa, semeni ukweli hongo za ajira mmetoa ngapi katika kipindi hiki cha serikali ya awamu tano na bado mmetoa ahadi kuhonga wangapi. Watanzania tunayaona yote haya jaribuni kuwa hata na mshipa wa AIBU.
 
Vijana wanaingia upinzani hawapewi majukumu Kwa kuwa uongozi uko mikononi mwa wachache. Waache wajitafutie chimbo watakakotumika effectively
Chukua mfano wa Patrobas unadhani angepewa jukumu gani zaidi ili abaki kwenye chama? Mwenyekiti wa Taifa wa Youth wing??? Halafu useme hawapewi majukumu? Ukweli ni kuwa wameahindwa majukumu.
 
Kwa NYALANDU mlishangilia hasaaa,!!!!
Na wana CCM walikaa Kimyaaa,,!!!!!
Kwa KAFULILA POVU zinawamiminika kama wagonjwa wa VIFAFA
 
Ambacho Chadema hawajagundua bado ccm wanawawangia mchana na usiku wenyewe wakiwa wamelala usingizi, ccm iko busy kushawishi wanachadema wote wenye ushawishi kuhamia ccm, Chadema wakija kushtuka wote wenye ushawishi wamejivua uanachama hapo ndipo hata Mbowe naye atajivua uanachama...mwisho wa upinzani.

Yote haya yakitokea tutakuwa tumerasimisha na kubariki udikteta maana hata Katiba ikibadilishwa na kuongeza miaka ya urais, kwa mfano, kutakuwa hakuna wa kupinga... baada ya hapo itafuata miaka mingi ya kulia na kusaga meno, mark my words!

CUF imemalizwa, Chadema na ACT vinamalizwa kwa mpigo, NCCR ni kama haipo. Magufuli is swatting the opposition like a buffalo swatting flies, wake up and smell the coffee!
 
Hujasema agenda ya vyama vya upinzani hapa Tanzania ni nn. So ufisadi sio inshu ya kuzungumziwa? Na kwann wanaogopa kilizungumzia
mnasema magufuli kakomesha ufisadi, awamu hii kwa hiyo ufisadi siyo ajenda kuu kwa vyama pinzani simple logic, labda kama ufisadi unaendelezwa na away hii ya mtukufu magu
 
Hujasema agenda ya vyama vya upinzani hapa Tanzania ni nn. So ufisadi sio inshu ya kuzungumziwa? Na kwann wanaogopa kilizungumzia
Unaposema wanaogopa kuuzungumzia unamaanisha nini? Hivi unajua maana ya ufisadi? kelele zinazopigwa na wapinzani kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa ndege wa CIA na namna tenda ilivyopatikana kwako sio issue? unachagua aina ya ufisadi?
 
Hilo jibu ungewaeleza CHADEMA ambao kwao Ufisadi ni mwarobaini wa chanzo cha umasikini nchini.

Nikichambua zaidi andiko lako ninagundua hujui hata maana ya ufisadi/wizi na athari zake katika maendeleo.

Innovative and visionary leader ni matokeo. Huwezi kuwa na innovative and visionary leaders wakati uzalishaji/upatikanaji wake uko katika msingi wa ufisadi.
ufisadi unaweza kupunguzwa kama sio kutokomezwa kabisa kukiwepo katiba mpya. hayo mengine ni porojo
 
Hujasema agenda ya vyama vya upinzani hapa Tanzania ni nn. So ufisadi sio inshu ya kuzungumziwa? Na kwann wanaogopa kilizungumzia
Soma tena thread, ukiielewa uje u comment.
comment yako inaonyesha hujaelewa chochote.

Tatizo una uvivu wa kusoma na kuelewa unachokisoma.
 
Mmeluka (skip) yote ya maana aliyoandika mmeona hilo tu. Watu mna shida au mnajichetua
Kiongozi, hiyo ilikuwa ni typing error na nimeisharekebisha...ni sawa na mahali niliandika upinzania badala ya upinzani, nimejitahidi kufanya mabadiliko. Hao wasamehe bure tu...
 
Opposition parties hapa Africa ni tofauti unavyofikiria wewe. Kwenye Demokrasia kuna mazuri yanayofanywa na chama tawala inatakiwa opposition parties waunge mkono na serikali inapokosa waikosoe. Nchi nyingi za ulaya huwezi kuona chama cha upinzani kinatoa kejeli na matusi kwa kiongozi aliyeko madarakani.

Reuters)
Obama’s family leaves Italy
Read Less
First lady Michelle Obama left Italy with her daughters, Malia and Sasha, as well as her mother, Marian Robinson. During their stay the Obama family visited the Milan Expo.
June 21, 2015 | 5:41 PM EDT

Mfano wa hapo juu familia ya Rais Obama walienda Italia kutembea kwa gharama ya walipa kodi wa Marekani lakini hakuna kiongozi wa chama cha upinzani alitoa tamko la kulalamika.

Hapa serikali imejenga Airport Chato ambayo ipo Tanzania imekuwa tatizo kubwa. Kwa msimamo na speed ya serikali ya awamu ya tano Opposition parties Tanzania zitakufa natural death.
 
Tuliaminishwa vijana ni taiga LA kesho na ni hazina kuu,,kiko wapi?wanatumika ,wanarubuniwa kiurahisi na kununuliwa kiwepesi,,vijana tusimame tukatae kupewa mkate wenye siagi Leo huku ukiambiwa utaula kesho,,maanq siagi haivumilii joto itayeyuka kesho
 
Kumbuka Kafulila anaposema wapinzani ana maana ya CHADEMA kwa sababu anaamini vyama vingine sio wapinzani bali ni matawi ya CCM na CHADEMA!

Kafulila alikuwa mwanachama wa CHADEMA , Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA kwenye dibaji/utangulizi inasema Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi.

Nmekuwekea sehemu ya utanguliza wa Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA.

‘’Hivi karibuni Rais wetu, Jakaya Mrisho Kikwete, aliulizwa na waandishi wa habari wa Jijini Paris, Ufaransa kwamba “Nchi yako ina utajiri mkubwa wa maliasili, inakuwaje Watanzania ni masikini wa kutupwa?” Alijibu, kwa furaha na kwa kujiamini, “Hata mimi sijui sababu; ninajiuliza kila siku swali hilo lakini sijapata jibu!’’ Huyo ndio dereva wa gari tulilopanda; hajui anakotoka wala aendako. Sote tunaelewa hatari ya kupanda gari ambalo dereva wake hajui anapoenda. Kama Rais wa nchi hajui sababu kwa nini nchi yetu ni maskini atawezaje kupambana na huo umaskini? Hata hivyo, CHADEMA hatuamini kwamba Rais Kikwete hajui chanzo cha umaskini katika nchi yetu. Rais Kikwete anajua chanzo cha umaskini wa nchi yetu lakini hawezi kukitaja kwa kuwa yeye mwenyewe ni sehemu ya tatizo hilo''.

''Kuna sababu tatu zilizosabisha nchi yetu ifike hapa ilipo, nazo ni: ufisadi, ufisadi na ufisadi. Ufisadi ndio tishio kubwa kabisa la mustakabali wa nchi yetu. Ndio kusema tukitaka tutoke hapa tulipo ni lazima tuukatae na tupambane na ufisadi’’.

Kwa mantiki hii, ajenda kuu ya CHADEMA ilikuwa ni kupambana na Ufisadi. Kwa sasa wameachana na ajenda yao kuu.
Nenda kamuulize Kafulila, kama alijiunga (kwa Mara Nyingine tena) na Chadema 2016 ni kitu gani kilimvutia kujiunga nacho na sasa hicho kitu kimetoweka? Chadema sio wapuuzi wasahau mapema tabia za Kafulila, ndio maana hawakujihangaisha naye aliporudi, na yeye alitarajia angepata cheo. Sasa kuondoka kwa Kafulila Chadema, tena kwa kutumia hoja za uongo, kunamshusha zaidi Kafulila na kuipandisha Chadema kwamba ilikuwa sahihi kutojishughulisha naye hata aliporudi kwa Mara Nyingine!
 
Opposition parties hapa Africa ni tofauti unavyofikiria wewe. Kwenye Demokrasia kuna mazuri yanayofanywa na chama tawala inatakiwa opposition parties waunge mkono na serikali inapokosa waikosoe. Nchi nyingi za ulaya huwezi kuona chama cha upinzani kinatoa kejeli na matusi kwa kiongozi aliyeko madarakani.
Reuters)
Obama’s family leaves Italy
Read Less
First lady Michelle Obama left Italy with her daughters, Malia and Sasha, as well as her mother, Marian Robinson. During their stay the Obama family visited the Milan Expo.
June 21, 2015 | 5:41 PM EDT
Mfano wa hapo juu familia ya Rais Obama walienda Italia kutembea kwa gharama ya walipa kodi wa Marekani lakini hakuna kiongozi wa chama cha upinzani alitoa tamko la kulalamika. Hapa serikali imejenga Airport Chato ambayo ipo Tanzania imekuwa tatizo kubwa. Kwa msimamo na speed ya serikali ya awamu ya tano Opposition parties Tanzania zitakufa natural death.
Hapa UK, waziri Priti Patel alilazimishwa ku-resign simply kaenda safari binafsi Israel ambayo kimsingi sio tatizo ila kitendo chake cha kukutana na viongozi wa Israel including their Prime Minister bila kujulisha Serikali yake ya Uingereza lilikuwa ni kosa kubwa sana kiasi cha kulazimishwa ku-resign...Lakini pia Waziri Boris Johnson alipata shinikizo la ku-resign baada ya kauli yake Bungeni kuwa mwanamama Nazanin alikwenda Iran kufundisha waandishi wa habari. Kauli ambayo ilisababisha mwanamama huyo kuitwa mahakamani tena. Ilibidi aombe msamaha bungeni kwa kauli yake na kuahidi kulishughulikia ikiwa nia pamoja na kwenda Irani baadaye mwezi huu kushughulikia jambo hilo.
Priti Patel forced to resign over meetings with Israeli officials.

Calls for bungling Boris Johnson to resign over gaffe that could land Brit five more years in Iranian jail,
Nazanin Zaghari-Ratcliffe was summoned to court where Johnson's comments were cited as proof that she was engaged in "propaganda against the regime".
 
Back
Top Bottom