Kafisadi chipkizi

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Mnaniambia haka kataichukia ccm kweli?
557832_344877602242895_100001619734978_952509_492442504_n.jpg
 
Hiyo nyumba hapo nyuma madalali wamekupiga..........nasikia umenunua Tshs 200,000,000
 
ni ka nani haka.......hebu tupe habari zake tukachimbue......
 
ha ha ha! kanajikomba haka tu hakana lolote Mwakibinga huyu!! unakapa promo tu sikafagalii..kila nikiki remove fb kinani add..aargghh!!
 
hii gari ni ya Nchemba huyu anaweza kuwa driver!!
ccm waamini wasiamini, kuna siku tutawaadhibu sana.tutawatesa kwa makusudi, tutawaaibisha tutawalipiza kisasi kwa uchungu mkubwa sana.
hivi mtu kama nchemba anatembelea gair kaa hii kwa faida ipi anayotoa kwa taifa hili???
 
Siku hizi iko maneno sana. Kama ukionekana na nguo ya kijani tu baasi wewe ni Fisadi.
 
I would like to know how one is just simply called fisadi! naona ni kijana mpole tu.
 
mie nadhani huyo ni "GREE GUARD" ukiangalia alivo choka na hilo gwanda. hapo utakuta amehongwa Tshir na Kofia + Tsh 2,000/= ndio analinda gari la "MHESHIMIWA" ..... Kama ni lake asinge piga picha kama hii!!
 
enzie ndo wanatafuta penye long live yeye ndo anakimbilia kinako kifo!!!!!!!!????????
 
enzie ndo wanatafuta penye long live yeye ndo anakimbilia kinako kifo!!!!!!!!????????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom