Kafara za ngono

*Yaan mtandaon leo walokole wote wamekir hadharan kua wanaangalia porno
na wamejua ile ni fake eti original haziwagi vile
*

*Nikasema kumbe hii dhambi sio mimi tu
*
 
Mshana Jr katika hili bado kuna utata.

Kafara huwa hazihitaji eti mtu ajirekodi na kuzituma mahali. Kafara ya ngono ww ukishafanya yako basi wao wanajua automatically. Hakuna digitalization kwenye mambo ya kafara.
Hapa sitii neno, maana naweza kuharibu.
 
Mshana heshima yako, kwa waraka huu unanikumbusha mchungaji yule aliefanya kituko kwa kunywa pombe kisha kurusha matusi kwa majirani...HV yule nae unadhani alitumwa kama kafara? Maana baada ya muda..akatutangazia kuwa wanaompenda wamempa zawadi ya pole..bonge LA gari..na kanisani tukazidi kujaa kama hatukusikia wala kuona video yakeyanatusi!
 
ukishaonja ladha ya mamlak & mali ni ngumu kurudi nyuma..
utafanya lolte bila kujali madhara ili ubaki hapo hapo
 
huoni Gwaji katumia fursa vizuri kasema Jumapili ataongea hivyo yuko kwenye matangazo ya biashara na promotion
 
Uso Sahihi Sana, Mkuu
Mshana jr.
Wengi wanabisha kwakuwa hawana utambuzi wa Kiroho kabisa.
Gwajima huenda anafahamu kila kitu.
Kwa kitendo chake alichokifanya zawadi yake ni kubwa sana katika Ufalme wa Shetani yaani Lucifer.

1. Kaidhalilisha sana imani ya Kikristo
2. Kamdhalilisha Kristo mwenyewe.
3. Kawashawishi watanzania wengi hata wanaomwabudu Mungu, na watoto kuangalia video yake ya ngono.
4. Kawambukiza watu wengi roho ya uzinzi.
5. Kawadhalilisha viongozi wa dini.
5. Kawarudisha nyuma watu wengi waliohitaji wokovu.
6. Kasababisha baadhi ya watu wamdhihaki Mungu.
7. Kamtukuza shetani na matendo yake, (kwamba ni mazuri ya kuyakatikia kiuno.)
8. Kasababisha baadhi ya watu kufanya na kupenda uzinzi baada ya kuangalia video yake hiyo.
9. Kakidahlilisha cheo change Askofu.
10. Kamdhalilisha mwawnamke kwa kumuonesha kuwa ni chombo cha starehe.
NAKADHALIKA.

Hapo amefanikiwa kurushwa toka cheo cha chini hadi cheo cha juu kabisa kwenye ulimwengu wa Giza.

Huko kujifanya kujitetea ni danganya toto tu. Ona alivyojitetea kwa kujitapa kwamba yeye ni mwanamume rijari. Hakukumbuka cheo cha Uaskofu wala kuonesha kusikitika.

Hivi wenzangu munamuelewa Gwajima anachokisema humo Kanisani mwake ?
Mimi sijawahi kumsikia akifundisha Neno la Mungu analo nukuu toka kwenye Biblia.
 
.
Your browser is not able to display this video.
 
Ndo mana nikasema labda huyo binti ana u-special ambao hatuujui.

Lakini still asingerekodi km ingekuwa ni kwa ajili ya kafara.

mshana anataka kumaanisha kuwa kuna watu wamemdukua mzee baba na kujifanya wao ndiyo wale watu wake wa ..... then this time around wakamwambia tunataka ujirecord pia (yaani ikiwa ni moja ya sharti lao), kwa kuwa mzee baba kaisha poteza weledi (kwa mujibu wa Mshana lakini) hakuweza kishitukia mchezo na ndiyo akajaa kingi
 

Mkuu in a nutshell waweza sema umeelewa Mshana anamaanisha nini kwenye hii thread?
 
Hakika kila MTU ana yake ya gizani vile vile ya mwangani pia.. Ila chunga ya gizani yakajidhihirisha kadamnasini.
 
Hii theory yako ni convincing, na bila shaka ilipata baraka zote za mkewe hiyo kafara
 
Great analysis, hicho ndicho shetani anataka, promo LA kutisha ili wasiokuwa wameona waitafute na waiangalie, yeye aendelee kuharibu roho za watu safi, namshukuru mungu sijaiona,watu wa mungu, tukae mbali na ushawishi huo, maana shetan anajua kama ingekuwa ya wale wasanii wahuni, tusingeangalia, kamtafuta MTU anajulikana MTU was mungu, ili watu was mungu wamwangalie!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…