Kafara za ngono

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mi sikukatazi kuandika. Ngepita tu ungeanza kuamini sisi wote humu ni wapuuzi. Hatuwezi kuona mtu anaandika Upuuzi tuache halafu aamini kuwa sote ni wapuuzi. Jf kila mtu anaruhusiwa kuandika anachotaka sikukatazi. Ila sisi walaji tunachambua pumba na mchele na tunakusaidia ili next time ujipange. Umeandika Uongo na Upuuzi.

Kwenye video hamna kafara yoyote. NASISITIZA HAMNA USHIRIKINA NI MAKOSA YA KAWAIDA. USIONGOPEE WATU BWANA.

Ni hili tu ama una la ziada? Bro wengi wamesoma na kupita kimya... Umeiona haukufai ungepita kimya... Sitakaa niache kuandika nionacho kinafaa kuandikwa nami
 
huo ni mtazamo wako ambao sina tatizo nao... Kabisa.... Wewe kusema nimeandika UONGO na UPUUZI sio uhalisia bali ni mtazamo binafsi... Hebu soma na hii hapa

 
Nimegundua ile video inasambaza mapepo ya ngono kwa kila anaeitazama.
Jitathmini uko sawa toka ulipotazama hiyo video?
Kuna watu hawajawahi kuona video za aina hiyo lakini kutokana na jina la mtu anaehusishwa kufanya kitendo kuwa mtu mkubwa kwenye masuala ya Imani.
Watu wengi wamelazimika kuitazama, ili kujihakikisha.
Jambo ambalo limewafanya kuwaka tamaa na kisha kufanya sawasawa na baba Mtumishi.
Kafara in progress.
 
Na kafara lake hapa ndio litatimia... Ukiacha sababu nyingine zote.... Inaweza likawa ina negative way or positive
 
tuondoleeni ujinga wenu hapa....nenda kambake mtoto wa darasa la kwanza halafu ukiulizwa jitetee kuwa ulishawishiwa na mapemo ya video ya gwajima uone vile mamlaka itakavyo kushughulikia.
 
tuondoleeni ujinga wenu hapa....nenda kambake mtoto wa darasa la kwanza halafu ukiulizwa jitetee kuwa ulishawishiwa na mapemo ya video ya gwajima uone vile mamlaka itakavyo kushughulikia.
Umeiona Lakini?
 
Naunga mkono hoja
 
Ww jamaa hatukupishana kabisa mtazamo juu ya hili suala.
 
Niliwahi sikia mahali wanaoshiriki vitendo kinyume na maumbile wengi sio kwa ridhaa yao bali ni mmoja wapo ya ibada ya kishetani. Sasa Nimeanza kuelewa.... UTAJIRI UNA SIRI NYINGI
 
Mshana leo katumia kumwamini kwetu kamba fimbo ya kutudanganya...

Tumvumilie tu.
 
Ati nini?
 
Mshana leo katumia kumwamini kwetu kamba fimbo ya kutudanganya...

Tumvumilie tu.
Wenzako waliotangulia wameniita muongo na nimeandika upuuzi... Nimewaomba dondoo za uongo na upuuzi wangu nilioandika wametokomea kusikojulikana...
Wewe unasema nimedanganya hebu ainisha huo udanganyifu... Sinaga haraka nasubiri
 
Kwakweli hapa mnakosea sana kusema zile video ni halisi!

Siamini katika Mungu na Miungu ila kwa hili nasimama na Gwajima.

Kile tunachokiona sio gwajima kafanya bali ni mtu kaamua kumchafua tu kwa sababu anazozijua yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…