Kafanya vizuri kwa nafasi yake.

Kafanya vizuri kwa nafasi yake.

Manton

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,529
Iwapo hujalizishwa na matokeo ya mwanao kimasomo na ungependa, afanye vizuri zaidi basi usipate shida. Tupe nafasi tuzungumze nae kupitia namba yetu hii 0756325414. Mungu akubariki. Tupo Dar es salaam.
 
Iwapo hujalizishwa na matokeo ya mwanao kimasomo na ungependa, afanye vizuri zaidi basi usipate shida. Tupe nafasi tuzungumze nae kupitia namba yetu hii 0756325414. Mungu akubariki. Tupo Dar es salaam.
Hahahahah kijana wa kiume au wa kike?😅 Kama wa kike nioneni ofisini
 
Hahahahah kijana wa kiume au wa kike?
Huduma yetu haibagui jinsi, mkuu, wote awe wa kike au kiume wanahudumiwa tu. Hatuitaji kujua jina la mtoto, wala la mzazi wake, ni kiasi cha kupiga simu na tukamuuliza maswali mepesi ambayo ni kiini cha "learning difficulty, inattentive disorder". Baada ya hatua hiyo itafuata "inspirational talk" kwa dakika 5 tu. Hivyo itakua, ni call ya dakika 10 jumla. Asante, tupo kutatua magumu yaliyopuuzwa na wengine.
 
Nakazia hapa! Kirahisi tu niwape simu wazungumze na kijana wangu mambo yasiyo julikana kwa mzazi! Hilo haliwezekani.
Mzazi, hofu hakuna. Kama mtoto anapewa simu kutuma salamu redioni, au kuimba nyimbo za wasanii mbalimbali, itashindikanaje, kumpa mwanao nafasi ya kusilikiliza "inspirational talk" ambayo ambayo, inagusa maisha yake moja kwa moja kwa muda wa dakika 10. Mzazi, tunaomba uwe huru, kuweka loudspeaker, usikilize hayo mazunguzo,ili ujue wapi, pakuanzia kumjenga upya, mwanao kwa kuwa tumejitoa kuwapa watoto haki ya kupata taarifa sahihi katika kukabiliana na changamoto za makuzi yao. Asante, mzazi.
 
Mnazungumza nae nn fafanua mnamuombea au nyie n wataalam wa maneno matamu
Mazungumzo, yetu yatatokana na jinsi mtoto atakavyo yajibu maswali yetu, kwa mfano, somo analolipenda kuliko masomo, mengine. Italitaja, kama umri wake ni kati ya miaka 7 hadi 17, hapo anaweza kueleza sababu. Kisha tunampatia "inspirational talk" katika yale ambayo yatalenga kumjengea mtazamo mpya katika safari yake ya kielimu. Ni vema zoezi kufanyika katika uwepo wako, simu iwe kwenye loudspeaker, ili uweze kufuatilia hatua kwa hatua. Karibu sana, maoni yako niya msingi sana.
 
Motivational speaker baadae mambo yakiwa sawa utatoa ushuhuda kwamba ulianza na vocha tigo nivushe
 
Motivational speaker baadae mambo yakiwa sawa utatoa ushuhuda kwamba ulianza na vocha tigo nivushe
Ha ha ha ha! Mkuu, sisi ni "Inspirers, tireless tutors on-call" Habari za kuzungumzia mambo tusiyo yaishi hatuna. Tuna uhakika yale tunayoyazungumza yanatekelezeka kabisa.
 
Hiyo huduma mnatoa buleeeeeeee, Au ?????
Huduma ni bure, karibu mkuu. Siku zote za wiki kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 usiku. Kwakuwa, maneno mazuri ujenga mifupa imara na kuiboresha afya ya akili.
 
Back
Top Bottom