Kadi za CHADEMA zagombewa kama njugu Mtwara.

Kadi za CHADEMA zagombewa kama njugu Mtwara.

Ngome kuu ya magamba iliyobaki ni dodoma na singinda,nashauri uundwe mpango kz makini wa kuiokoa mikoa hiyo.

Aheri Singida mkuu.Dodoma ndiyo ngome yao kuu kwa sasa.
 
Jambo moja naomba CHADEMA waliweke wazi bila ya kutafuna maneno nalo ni kwamba wakipewa nchi hawatatugeuza watumwa wa chama kwa hila na vitisho kama CCM walivyotugeuka na kwamba itakuwa mwanzo wa wananchi kuweza kubadili kwa kura viongozi wa ovyo hata kutoka kwa wao wakiwa madarakani.

Mkuu hiyo ndiyo sera kuu ya CDM.
 
safi sana wacha wapigane madongo wao kwa wao sisi tunavuna
naona clouds leo wanawapiga pia madongo magamba
good job chadema.aluta continue

Ha ha haaaa!!! Hata Clouds......
 
mtwara corridor,,,,,,,ni kaskazin ya msumbiji kama kilimanjaro na arusha zilivyo kusini mwa nairobi

Ni kweli mkuu ndiyo maana imekuwa ngome kuu ya CDM kwa sasa.
 
Tunaomba ratiba ya M4C kwa nchi nzima. tunahitaji kadi na bendera za cdm. Kama kuchapisha kadi ni gharama, semeni tuchangie.

Ni kweli kwani katika mkutano wa mashujaa wananchi walichanga milioni moja na nusu
 
Kwa kweli Magamba wana kazi ngumu

Nikiwa Moshi daima ni CDM, lakini nyumban Mtwara, nitabak cna chama!!!

Unajua wanawashangaa kuona timu yote ni ya watu wageni?? Hawawajui.... Ni kama wakoloni!!!!
 
"Ukiona Dar kumekucha ujue nchi inaondoka" - Kamanda Halima Mdee
 
Nikiwa Moshi daima ni CDM, lakini nyumban Mtwara, nitabak cna chama!!!

Unajua wanawashangaa kuona timu yote ni ya watu wageni?? Hawawajui.... Ni kama wakoloni!!!!

Hii ni Tanzania yetu. Mtu yoyote anaruhusiwa kwenda mahali popote na huwezi kumwita mkoloni. Shame on you!!!! Wacha kabisa huo wivu wa kibaguzi. Nyie ndio wabaguzi wakubwa halfa kila siku mnabana pua kusema CDM chama cha kikanda. You are disgusting. Hufai kuitwa Mtanzania inafaa tukutupe huko baharini.
 
Mbwembwe NYINGI halafu siku ya kupiga kura hamuonekani vituoni. Chadema bana..
 
ila jamani wajaribu kuandaa kadi nyingi pia bendera,maana watu mikoni tunahitaji sana maana tuko tayari kwa mapinduzi,shida inakuja kila ukihitaji unaambiwa zimeagizwa,duh,makamanda hebu angalieni vizuri mpango mzima,maana tunataka mpaka 015 iwe chadema nyumba kwa nyumba.watanzania tupo tayari kwa mabadiliko.
people'sssssssss;power.
pamoja sana hata huku kwa chenge tunataka mabadiliko.m4c haijapita huko,
Mamajack nimeipenda comment yako hasa pale ninapoona kuna mahitaji makubwa ya kadi huko mikoani,ni jambo zuri kwa kuwa hiyo ni njia mojawapo ya kutupeleka kwenye ukombozi wa kweli,ila nimefurahi zaidi pale ulipogusia jimbo la Bariadi mashariki aliko fisadi mkubwa mzee wa vijisenti,mkakati unaandaliwa na kama uko maeneo hayo ya Bariadi naomba tuwasiliane nikupe moja ya mikakati,iliyopo.
 
hawa jamaa naona wako serios matokeo ya kampeni zao yataonekana 2015. spirit ya kujiamini wanayojenga kwa vijana sio ya kuibeza kabisa. Hawa ndo wapiga kura muhimu wajao. BRAVO CHADEMA keep it up.
 
Waende hadi Tunduru Kusini.
Mbunge wake kupitia CCM kazomewa mara ya mwisho alipotembelea Jimboni kwake.
Chadema iko juu Jimboni humo. Watoa taarifa wa kweli wanabonyeza kuwa CCM ndio
inakufa jimboni humo baada ya mbunge wake kutokusaidia wananchi kwa lolote.

Kwaheri CCM 2015. Msipong'oka 2015 mi nitakuwa mmoja wa wanachama wenu. (F. Mbowe akijiuzulu siasa)
 
Back
Top Bottom