Ukishaona chama tawala na kikubwa kama CCM kinaonyesha picha za watu wakirudisha kadi zao za uanachama wa vya upinzani, then jua CCM iko kwenye hali mbaya. Sioni umuhimu wowote wa CCM kujivunia watu kurudisha kadi whether ni kweli or not. Kwa chama kama CCM sidhani tactics kama hizo zinawafaa. Inaonyesha kutojiamni. Badala ya hawa vijana ku-adopt modern ways za kukirudisha vyama kwenye mstari, wanatumia exactly the same old methods zilizokuwa zinatumiwa na akina Makamba. In fact, kwa style hii they are going even backward ikizingatiwa kuwa Watanzania siku wana uelewa mkubwa zaidi wa kichachoendelea kwenye siasa. Kuna watu walikuwa na matumaini wakati Nape and Cos walipopewa madaraka. Lakini kwa style hii, they must be thinking twice.
Habari za kuaminika kutoka katika chanzo kimoja ambacho kwa sasa nisingependa kukitaja.
CCM wameanza mchezo mchafu wa kuchapisha kadi feki za CDM na kuwapa baazi ya wanachama wa CCM kwa masharti yakuzirudisha wafanyapo mikutano yao kwa nia na mazumuni ya kupotosha Umma wa watanzania kwamba CDM haikubaliki kitu ambacho si sahihi.

Alivyokosa hekima sasa hivi atabandika upupu wake...we subiri uoneThere are currently 34 users browsing this thread. (15 members and 19 guests)
Paddy Miss Judith Domo Zege Nyambala Bobuk J shemndolwa sirng'udi lasix REBEL bluhende Gobret Nnauye Jr DOGLAS MUSSA The sage
Silence means YES!!!!!!!!!