Mtatoa Tamko la kuitisha maandamano nchi nzima? Tunasubiri jibu kutoka kwa wajikoni
Wewe Rizone unaogopa nini juu ya hilo tamko, si mtu ameuawa lazima wahusika waseme au vipi???????????Mtatoa Tamko la kuitisha maandamano nchi nzima? Tunasubiri jibu kutoka kwa wajikoni
Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake!Huyu atakuwa ametolewa kafara na Magwanda. Alirubuniwa toka Dar mpaka Igunga??
Hakuna vijana Igunga mpaka muwarubuni machalii wa Dar?? POOR STRATEGIES.
CDM mnaangamiza roho za watu wasio na hatia buuure!.... Halafu bado inakula kwenu.
ALALE MAHALA PEMA.
Huyu atakuwa ametolewa kafara na Magwanda. Alirubuniwa toka Dar mpaka Igunga??
Hakuna vijana Igunga mpaka muwarubuni machalii wa Dar?? POOR STRATEGIES.
CDM mnaangamiza roho za watu wasio na hatia buuure!.... Halafu bado inakula kwenu.
ALALE MAHALA PEMA.
Mtatoa Tamko la kuitisha maandamano nchi nzima? Tunasubiri jibu kutoka kwa wajikoni
Ushindii wa kuua watu ni ushindi wa kidhalimu.
Haya ndiyo matunda ya Kutengeneza 'militant camps' kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Niliwahi kusema huko nyuma kuwa Amani ya Tanzania itavurugwa na CCM.
Mtu huyu atakuwa alitekwa na Green guards na kumtesa awapatie habari zaidi juu ya outsiders walioletwa na CDM. Katika harakati hizo watakuwa walimuumiza sana na ikaionekana wakimuacha hai atatoa siri na kuamua kummaliza kabisa kuficha ushahidi.
Nina hakika kuwa kama marehemu angekuwa wa CCM basi uongozi mzima wa CDM uliokuwepo Igunga ungekamtwa kwa uchunguzi, ninaliomba jeshi la polisi kuwazuia akina Nchemba kama prime suspects.
Kwani Bakwata wanajali kifo cha mtu hasa mpinzani wa chama chao ukitaka uwasike mvue mtu hijabu hilo ndilo la msingi kwao.Hapana , hatutaitisha maandamano kwanza. Huyu kada anaitwa Mbwana Masoud kwa hiyo tunasubiri pia tamko kutoka BAKWATA.
kwamba ccm mnamabomu na risasi kuliko egypt na libya?Una maana gani kuiondoa? Kama kwa sanduku la kura, sawa. Vinginevyo....PATACHIMBIKA.
Mimi nilipomuona yule aliyetoroka msitu wa Gombe nikajua lazima ataondoka na damu ya binadamu.nilipoambiwa mkapa anakwenda huko nilijua tu lazima roho za watu wasio na hatia ziangamie.
dah! inauma sana, huenda ningekuwa mimi coz nilikuwa nimeshaomba ruhusa kazini ili nielekee igunga kulinda kura ghafla ratiba yangu ikaingiliwa, nasikitika huenda ingekuwa ni mimi, wasira na wenzake mlitaka kunitoa roho, nimepona sasa mtajuta, CDM toeni tamko haraka.