kada wa ccm udom achapwa

namboyo

Member
Apr 8, 2011
58
6
kijana mmoja mwana ccm kwa jina machafu jana alipewa zomea na kibanao cha kishikaji baada ya kutangaza kuwa kesho tarehe kumi na sita kutakua na kikao cha ccm .huku akisema kuwa watalete magari pia akisema msosi upo.pia akisema kuwa msiende kwenye maandamo watu walimzomea .baada ya hopo alisema mtaongea na waheshimiwa wa kodi magari mkose usafiri huku watu wakisema kuwa watatembea kwa mguu.vijana walisema sisi hatukodiwi magari .vijana walimuambia kuwa kwenye sherehe za mafisadi mliletwe na police sasa hivyi tafuteni jeshi wengine wakisema hatuchachuli ccm waongo hao vibaka nyie.vijana wa udom wemehamasika kuipinga ccm baada ya kuona kuwa wanaishi kwenye maisha magumu kama wanyama
 
namboyo;1859514]kijana mmoja mwana ccm kwa jina machafu jana alipewa zomea na kibanao cha kishikaji baada ya kutangaza kuwa kesho tarehe kumi na sita kutakua na kikao cha ccm .huku akisema kuwa watalete magari pia akisema msosi upo.pia akisema kuwa msiende kwenye maandamo watu walimzomea .baada ya hopo alisema mtaongea na waheshimiwa wa kodi magari mkose usafiri huku watu wakisema kuwa watatembea kwa mguu.vijana walisema sisi hatukodiwi magari .vijana walimuambia kuwa kwenye sherehe za mafisadi mliletwe na police sasa hivyi tafuteni jeshi wengine wakisema hatuchachuli ccm waongo hao vibaka nyie.vijana wa udom wemehamasika kuipinga ccm baada ya kuona kuwa wanaishi kwenye maisha magumu kama wanyama
 
Hivi bado kuna vijana wanaweza kusimama na kuishabikia ccm??Huyo machafu alitakiwa achafuliwe vya kutosha.Vijana wa siku hizi hatununuliwi kwa misosi na usafiri,miguu tunayo na popote CHADEMA itakapotuita kwa mkutano tutaenda kwa nguvu zetu na chakula tutajinunulia.Wasomi wa UDOM na wengine tukaze buti ccm si wakuaminika tena,tuungane tuijenge Tanzania mpya.Peoplezzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!
 
mbona kwenye taarifa yako sijaona unapoeleza amechapwa?........au ulikuwa bado?.....malizia baso atori vizuri
 
namboyo;1859514]kijana mmoja mwana ccm kwa jina machafu jana alipewa zomea na kibanao cha kishikaji baada ya kutangaza kuwa kesho tarehe kumi na sita kutakua na kikao cha ccm .huku akisema kuwa watalete magari pia akisema msosi upo.pia akisema kuwa msiende kwenye maandamo watu walimzomea .baada ya hopo alisema mtaongea na waheshimiwa wa kodi magari mkose usafiri huku watu wakisema kuwa watatembea kwa mguu.vijana walisema sisi hatukodiwi magari .vijana walimuambia kuwa kwenye sherehe za mafisadi mliletwe na police sasa hivyi tafuteni jeshi wengine wakisema hatuchachuli ccm waongo hao vibaka nyie.vijana wa udom wemehamasika kuipinga ccm baada ya kuona kuwa wanaishi kwenye maisha magumu kama wanyama

Nimewashauri CCM kuwekeza makada kwenye vyuo vya VETA kwa Universities hawadanganyiki kirahisi.
VETA tu CCM wanakoweza kupata wafuasi wa kweli ila makada wa ccm universities wanasumbuliwa na njaa.......ebo njaa haimpendezi mtu wajameni
 
Machafu huyu ni mchafu hata kwa matendo pia. Alipokuwa waziri wa Mikopo UDOSO hakuna la maana aliyofanya. Tushamzoea najuta hata kukoment hapa kwan jamaa hafai hata kutajwa na kijana yeyote anayeangalia shilingi si kwa kichwa na mwenge tu, bali hata katika ubavu wa sarafu hiyo!
 
big up udom-mumeonesha kuwa wanamapinduzi. tumia elimu yenu kutodanganyika na misosi au usafiri, hayo huwadanganya wazee wetu wasio na shule ambao wanaweza kupoteza haki yao ya kura kwa shs 5,000 au kilo moja ya chumvi au sukari, kanga/kitenge, fulana au kofia. Wazomee kwa nguvu zote wanavyuo walio bado na fikira mgando za kudanganyika kwa pelemende, pipi, wali, pilau,.... Onesheni kuwa mmekula shule. peoplesssssssssssssssss!!!!!!!!!!!
 
Moderator nimengundua recently unafuta post zangu unaweza kuniambia why au unachuki binafsi na mimi
 
kijana mmoja mwana ccm kwa jina machafu jana alipewa zomea na kibanao cha kishikaji baada ya kutangaza kuwa kesho tarehe kumi na sita kutakua na kikao cha ccm .huku akisema kuwa watalete magari pia akisema msosi upo.pia akisema kuwa msiende kwenye maandamo watu walimzomea .baada ya hopo alisema mtaongea na waheshimiwa wa kodi magari mkose usafiri huku watu wakisema kuwa watatembea kwa mguu.vijana walisema sisi hatukodiwi magari .vijana walimuambia kuwa kwenye sherehe za mafisadi mliletwe na police sasa hivyi tafuteni jeshi wengine wakisema hatuchachuli ccm waongo hao vibaka nyie.vijana wa udom wemehamasika kuipinga ccm baada ya kuona kuwa wanaishi kwenye maisha magumu kama wanyama

wewe unachukuwa certificate au unaresit mtihani wa f6 hapo udom. maana sidhani kama hata barua ya kuomba kazi unaweza kuandika na mtu akakuelewa, au ndo jazba... ushauri wa bure tu ndugu yangu "njuka"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom