CCM hakuna cha ridhaa ya chama,ridhaa ni pesa yako.Joto la ubunge katika jimbo la Arusha mjini limezidi kupanda mara baada ya Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) mkoani Arusha,Kim Fute kutangaza rasmi kuwania ubunge katika jimbo hilo endapo akipewa ridhaa na chama chake kugombea.
Kim,amejitokeza kutangaza azma hiyo ikiwa ni siku chache baada ya makada wengine wa CCM ambao ni Phillemon Mollel,Victor Njau,Thomas Munisi,Deo Mtui,Godfrey Mwalusamba kutangaza nia ya kuwania jimbo hilo linashikiliwa na mbunge wake,Godbless Lema ambaye tayari ametangaza kugombea tena.
Akizungumza na gazeti hili jijini hapa,Fute alisema kuwa amesukumwa na dhamira ya kuwania ubunge katika jimbo hilo mara baada ya kutathmini na kubaini ya kwamba jimbo hilo linakabiliwa na tatizo la ombwe la uongozi.
Alisema kwamba amejipima vya kutosha na kubaini ya kwamba ana sifa za kutosha za kuwawakilishi wakazi wa jimbo la Arusha mjini ambao alidai kwa muda mrefu wamekuwa wakikosa viongozi bora wa kuwawakilisha.
Kada huyo alisisitiza kwamba miongoni mwa mambo ambayo atakwenda kuyafanyia kazi pindi akifanikiwa kuwa mwakilishi wa jimbo hilo ni pamoja na kushughulikia suala la usalama wa mji wa Arusha ambalo alidai tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 mji huo umeandamwa na matukio mbalimbali kama maandamano,vurugu na mambomu.
Alisema kuwa mji wa Arusha ni mji wa kimataifa na pia una fursa nyingi kama kitovu cha utalii hapa nchini na duniani hivyo atajikita kuhakikisha anasimamia hali ya kurejea kwa usalama ili biashara hiyo iweze kufanyika kwa uwepesi kwa kuwa inachangia pato kubwa la taifa.
Arusha ni mji wa kimataifa na una fursa nyingi kama biashara ya utalii ambayo inachangia pato kubwa la taifa lakini usalama ni hafifu na unaharibu kwa kiasi kikubwa hivyo nitajikita kuhakikisha hali ya usalama inarejeaalisema Kim
Hatahivyo,alibainisha kwamba mbali na usalama pia atahakikisha anakutana na makundi mbalimbali ya viongozi wa dini zote,waandishi wa habari pamoja na wadau wa maendeleo jijini hapa ili kuangalia namna ya kuuweka mji wa Arusha katika hali ya utulivu.
Tunahitaji mtu sahihi wa kuunganisha siasa na uchumi mzuri, endapo nikifanikiwa kuwa mwakilishi nitahakikisha ninakutana na makundi mbalimbali ili kujadili kwa kina changamoto zetu na kubadili fikra na mtazamo kwa wakazi wa Arushaalisisitiza Fute
Mwisho.
Mwaka wa tabu huu kwa Lema
joto la ubunge katika jimbo la arusha mjini limezidi kupanda mara baada ya kada wa chama cha mapinduzi(ccm) mkoani arusha,kim fute kutangaza rasmi kuwania ubunge katika jimbo hilo endapo akipewa ridhaa na chama chake kugombea.
Kim,amejitokeza kutangaza azma hiyo ikiwa ni siku chache baada ya makada wengine wa ccm ambao ni phillemon mollel,victor njau,thomas munisi,deo mtui,godfrey mwalusamba kutangaza nia ya kuwania jimbo hilo linashikiliwa na mbunge wake,godbless lema ambaye tayari ametangaza kugombea tena.
Akizungumza na gazeti hili jijini hapa,fute alisema kuwa amesukumwa na dhamira ya kuwania ubunge katika jimbo hilo mara baada ya kutathmini na kubaini ya kwamba jimbo hilo linakabiliwa na tatizo la ombwe la uongozi.
Alisema kwamba amejipima vya kutosha na kubaini ya kwamba ana sifa za kutosha za kuwawakilishi wakazi wa jimbo la arusha mjini ambao alidai kwa muda mrefu wamekuwa wakikosa viongozi bora wa kuwawakilisha.
Kada huyo alisisitiza kwamba miongoni mwa mambo ambayo atakwenda kuyafanyia kazi pindi akifanikiwa kuwa mwakilishi wa jimbo hilo ni pamoja na kushughulikia suala la usalama wa mji wa arusha ambalo alidai tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 mji huo umeandamwa na matukio mbalimbali kama maandamano,vurugu na mambomu.
Alisema kuwa mji wa arusha ni mji wa kimataifa na pia una fursa nyingi kama kitovu cha utalii hapa nchini na duniani hivyo atajikita kuhakikisha anasimamia hali ya kurejea kwa usalama ili biashara hiyo iweze kufanyika kwa uwepesi kwa kuwa inachangia pato kubwa la taifa.
arusha ni mji wa kimataifa na una fursa nyingi kama biashara ya utalii ambayo inachangia pato kubwa la taifa lakini usalama ni hafifu na unaharibu kwa kiasi kikubwa hivyo nitajikita kuhakikisha hali ya usalama inarejeaalisema kim
hatahivyo,alibainisha kwamba mbali na usalama pia atahakikisha anakutana na makundi mbalimbali ya viongozi wa dini zote,waandishi wa habari pamoja na wadau wa maendeleo jijini hapa ili kuangalia namna ya kuuweka mji wa arusha katika hali ya utulivu.
tunahitaji mtu sahihi wa kuunganisha siasa na uchumi mzuri, endapo nikifanikiwa kuwa mwakilishi nitahakikisha ninakutana na makundi mbalimbali ili kujadili kwa kina changamoto zetu na kubadili fikra na mtazamo kwa wakazi wa arushaalisisitiza fute
mwisho.
Ithanga ni mkhota,ejuta ejutya hakwe!Joto la ubunge katika jimbo la Arusha mjini limezidi kupanda mara baada ya Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) mkoani Arusha,Kim Fute kutangaza rasmi kuwania ubunge katika jimbo hilo endapo akipewa ridhaa na chama chake kugombea.
Kim,amejitokeza kutangaza azma hiyo ikiwa ni siku chache baada ya makada wengine wa CCM ambao ni Phillemon Mollel,Victor Njau,Thomas Munisi,Deo Mtui,Godfrey Mwalusamba kutangaza nia ya kuwania jimbo hilo linashikiliwa na mbunge wake,Godbless Lema ambaye tayari ametangaza kugombea tena.
Akizungumza na gazeti hili jijini hapa,Fute alisema kuwa amesukumwa na dhamira ya kuwania ubunge katika jimbo hilo mara baada ya kutathmini na kubaini ya kwamba jimbo hilo linakabiliwa na tatizo la ombwe la uongozi.
Alisema kwamba amejipima vya kutosha na kubaini ya kwamba ana sifa za kutosha za kuwawakilishi wakazi wa jimbo la Arusha mjini ambao alidai kwa muda mrefu wamekuwa wakikosa viongozi bora wa kuwawakilisha.
Kada huyo alisisitiza kwamba miongoni mwa mambo ambayo atakwenda kuyafanyia kazi pindi akifanikiwa kuwa mwakilishi wa jimbo hilo ni pamoja na kushughulikia suala la usalama wa mji wa Arusha ambalo alidai tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 mji huo umeandamwa na matukio mbalimbali kama maandamano,vurugu na mambomu.
Alisema kuwa mji wa Arusha ni mji wa kimataifa na pia una fursa nyingi kama kitovu cha utalii hapa nchini na duniani hivyo atajikita kuhakikisha anasimamia hali ya kurejea kwa usalama ili biashara hiyo iweze kufanyika kwa uwepesi kwa kuwa inachangia pato kubwa la taifa.
Arusha ni mji wa kimataifa na una fursa nyingi kama biashara ya utalii ambayo inachangia pato kubwa la taifa lakini usalama ni hafifu na unaharibu kwa kiasi kikubwa hivyo nitajikita kuhakikisha hali ya usalama inarejeaalisema Kim
Hatahivyo,alibainisha kwamba mbali na usalama pia atahakikisha anakutana na makundi mbalimbali ya viongozi wa dini zote,waandishi wa habari pamoja na wadau wa maendeleo jijini hapa ili kuangalia namna ya kuuweka mji wa Arusha katika hali ya utulivu.
Tunahitaji mtu sahihi wa kuunganisha siasa na uchumi mzuri, endapo nikifanikiwa kuwa mwakilishi nitahakikisha ninakutana na makundi mbalimbali ili kujadili kwa kina changamoto zetu na kubadili fikra na mtazamo kwa wakazi wa Arushaalisisitiza Fute
Mwisho.
LEMA anapingwa kila kona!
LEMA anapingwa kila kona!
Kama Lowassa anavyopingwa na Chama chake mwenyewe!LEMA anapingwa kila kona!
Kwani hata hiyo kampuni ni yake? tuulizeni sisi tunayemjua!Haaa haaa duh MUSSA ALLAN huyu Fute sidhani kama CCM ni wajinga kiasi hicho jamaa ni mjanja mjanja wa mjini kwanza aliingia katika tasnia ya filamu akashindwa kufurukuta kutokana ubishororo sasa yupo kwenye utalii na kikampuni cha kisanii saniii hana lolote bora ungeniambia Mollel wa Monaban anaweza kusumbua kutokana na ukwasi alionao lakini akiingiza ukabila kitamtokea kama kilichomtokea Ole Saibul.
Halafu jana nilikuwa kwa Kiwory natangaza nia ya kugombea ubunge kupitia ACT Wazalendo nadhani nitaleta ushindani wa ukweli.
Joto la ubunge katika jimbo la Arusha mjini limezidi kupanda mara baada ya Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) mkoani Arusha,Kim Fute kutangaza rasmi kuwania ubunge katika jimbo hilo endapo akipewa ridhaa na chama chake kugombea.
Kim,amejitokeza kutangaza azma hiyo ikiwa ni siku chache baada ya makada wengine wa CCM ambao ni Phillemon Mollel,Victor Njau,Thomas Munisi,Deo Mtui,Godfrey Mwalusamba kutangaza nia ya kuwania jimbo hilo linashikiliwa na mbunge wake,Godbless Lema ambaye tayari ametangaza kugombea tena.
Akizungumza na gazeti hili jijini hapa,Fute alisema kuwa amesukumwa na dhamira ya kuwania ubunge katika jimbo hilo mara baada ya kutathmini na kubaini ya kwamba jimbo hilo linakabiliwa na tatizo la ombwe la uongozi.
Alisema kwamba amejipima vya kutosha na kubaini ya kwamba ana sifa za kutosha za kuwawakilishi wakazi wa jimbo la Arusha mjini ambao alidai kwa muda mrefu wamekuwa wakikosa viongozi bora wa kuwawakilisha.
Kada huyo alisisitiza kwamba miongoni mwa mambo ambayo atakwenda kuyafanyia kazi pindi akifanikiwa kuwa mwakilishi wa jimbo hilo ni pamoja na kushughulikia suala la usalama wa mji wa Arusha ambalo alidai tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 mji huo umeandamwa na matukio mbalimbali kama maandamano,vurugu na mambomu.
Alisema kuwa mji wa Arusha ni mji wa kimataifa na pia una fursa nyingi kama kitovu cha utalii hapa nchini na duniani hivyo atajikita kuhakikisha anasimamia hali ya kurejea kwa usalama ili biashara hiyo iweze kufanyika kwa uwepesi kwa kuwa inachangia pato kubwa la taifa.
Arusha ni mji wa kimataifa na una fursa nyingi kama biashara ya utalii ambayo inachangia pato kubwa la taifa lakini usalama ni hafifu na unaharibu kwa kiasi kikubwa hivyo nitajikita kuhakikisha hali ya usalama inarejeaalisema Kim
Hatahivyo,alibainisha kwamba mbali na usalama pia atahakikisha anakutana na makundi mbalimbali ya viongozi wa dini zote,waandishi wa habari pamoja na wadau wa maendeleo jijini hapa ili kuangalia namna ya kuuweka mji wa Arusha katika hali ya utulivu.
Tunahitaji mtu sahihi wa kuunganisha siasa na uchumi mzuri, endapo nikifanikiwa kuwa mwakilishi nitahakikisha ninakutana na makundi mbalimbali ili kujadili kwa kina changamoto zetu na kubadili fikra na mtazamo kwa wakazi wa Arushaalisisitiza Fute
Mwisho.
Mwaka wa tabu huu kwa Lema
Kwani hata hiyo kampuni ni yake? tuulizeni sisi tunayemjua!

Huyu ni yule aliyekua na tuhuma za wizi wa simu pale house of wine na mcheza maigizo ITV. Nyumba yake ilimshinda alivyokuwa Dar akaolewa na Vailet na wakashindwana je ubunge ataweza?
LEMA anapingwa kila kona!