MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Haaa haaa duh MUSSA ALLAN huyu Fute sidhani kama CCM ni wajinga kiasi hicho jamaa ni mjanja mjanja wa mjini kwanza aliingia katika tasnia ya filamu akashindwa kufurukuta kutokana ubishororo sasa yupo kwenye utalii na kikampuni cha kisanii saniii hana lolote bora ungeniambia Mollel wa Monaban anaweza kusumbua kutokana na ukwasi alionao lakini akiingiza ukabila kitamtokea kama kilichomtokea Ole Saibul.
Halafu jana nilikuwa kwa Kiwory natangaza nia ya kugombea ubunge kupitia ACT Wazalendo nadhani nitaleta ushindani wa ukweli.
Mkuu kwanini uliamua kutangazia nia Bar? Au ulikuwa unafutwa kuungwa mkono na akina 'Kikwete' na 'Juma Kaburu?'?