Mawazo ya kigaidi haya.
Acha kupotosha. Wafungwa wa Guantanamo wanaruhusiwa kuonana na mawakili wao. Wanaruhusiwa kusoma kuruani zao.Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.
p@a$m%b*a^fInauma nini bana, gaidi huyo, wa kuhurumia ni yule alie mwagiwa tindikali.
Huyu gaidi abanwe kende mpaka ataje wenzake
Hivi KUBWA LA MAADUI litakamtwa lini?
Wewe unataka ndoa na huyu mtu? Dr Slaa ana mke wake bwana tulia wewe maana haipiti usimtaje Dr Slaa na hapa ndio lengo lako .
Eti mtuhumiwa haruhusiwa kuonekana lakini Tanzania Daima limejua kuwa anateswa. Yaani utafikiri zile hadithi za watoto wanaobaleghe wanaoambiana kuwa "kila siku silali usiku kucha na kila siku nakuota wewe!!!"
CHADEMA na wapinzani msihofu, maana utaratibu huu wa 'kupata' habari ndiyo utakaotumika kwa wahuni; wezi, na wabakaji wa demokrasia wanaojiita Chama cha Majinuni.Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.
Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.
hawa jamaa ukiona bado hawajampeleka mahakamani ujue wameshindwa kupata mashitaka ya kumbambikia
Acha kupotosha. Wafungwa wa Guantanamo wanaruhusiwa kuonana na mawakili wao. Wanaruhusiwa kusoma kuruani zao.
Wanapewa chakula, tena halal. Na hawa walikamatwa kwenye uwanja wa mapambano ikiwemo Afghanistan. Huwezi kuwalinganisha hawa na Justinian, ambaye hata huo ushahidi wa ugaidi ni wa kuunga unga tu.
Chama,Mkuu Jasusi
Usijifedheheshe bure kwa kutetea hawa majambazi; kwenye siasa tuongee siasa ila kwa hawa majambazi sioni unatetea kitu gani.
Chama
Gongo la mboto DSM
JasusiChama,
Hakuna cha kujifedhehesha hapa. Kama Chadema ni majambazi basi niandike na mimi. Hatujasahau jinsi CCM ilivyokiua CUF kwa kuwasingizia uingizaji wa mapanga, udini na ugaidi. Mahita alipewa tuzo na taji kwa kuwauwa wafuasi wake licha ya kwamba Mahita ni jambazi ambaye katika serikali ya utawala wa kisheria alipaswa kuwa jela. We know what CCM is trying to do. But we are going to keep on keeping on. M4C forever.