Kada CHADEMA azidi kuteswa

Kada CHADEMA azidi kuteswa

itafika mahali polisi watakuwa wanawindwa na raia mitaani ili kuwalipiza visasi
polisi wanapouka genge la mateso ni hatari sana.
wanachi wakichoka hakuna wa kuweza kuwatuliza.
tena hao polisi tunapishi nao mitaani na kunywa nao.
Mawazo ya kigaidi haya.
 
sasa wewe kwa akili yako ya bavicha unadhani kila anachosema wakili ni sahihi? Kama ndio hivyo sasa kesi ya nini?

Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU.

Tanzania Daima liliandika kuwa Lwakatare kule lumande amedhoofika kwa kisukari, kesho yake tunamuona mahakamani anacheka na kunyoosha vidole vyake viwili juu akiwa mzima wa afya.

Kesi ya ughaidi haiwezi kumalizwa kwa kucheza na sympathy card za gazeti la KIDAKU la Tanzania Daima...

mkuu tuongee uhalisia nini maana ya gazeti la udaku..................
pili kama tunajadili mada then wewe unatoka nje kwa kuwa huwezi kufanya reasoning huoni una tatizo nakushauri usome kitabu kinachoitwa logic reasoning kitakusaidia kuandika hapa na pili kitakusaida katika siasa zako.

kama tanzania daima ni gazeti la udaku je UHURU ni gazeti la nini
 
Tanzania Daima lina vigezo vyote vya kuitwa gazeti la UDAKU. Ndio maana Kibanda aliachana nalo, bahati mbaya akaadhibiwa kwa uamuzi wake huo.

Btw way asante kwa reference ya kitabu cha logic. Mungu akibariki nitakisoma...
 
Kama ameshikiliwa na polisi na hakuna mtu anayeruhusiwa kumuona mmejuaje kwamba anateswa? Daima acheni kuandika habari zenu kishabiki namna hii

Usiwe mgumu kuelewa, wamesema mateso anayopata ni pamoja na kunyimwa chakula kutoka kwa ndugu zake pia kutokufikishwa mahakamani na mawakili zake kuambiwa yuko hospitali ambayo haikutajwa na wala ugonjwa uliomshika. Punguza ushabiki mkuu leo kwa mwenzio huwezi jua kesho kama kwako au mkeo, mzazi wako au mwanao. Sio kila ukisikia mwanachadema unawaza mambo yako ya siasa mbovu za Tanzania
 
Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.
HUYO NI MTUHUMIWA TU, SIDHANI KAMA SHERIA ZETU ZINARUHUSU KUTENDWA HIVYO.Alafu ndugu yangu, natambua kuwa haya unayaandika kishabiki lakini tambua yana mwisho haya, na iko siku utakuja kuutambua unyama wa wa POLISI siku watakapokutesa wewe ama ndugu yakao wa karibu.Pamoja na tofauti zetu za kiitikadi, kwa mambo kama haya ya ukiukwaji wa haki za binadamu nauvunjaji wa sheria za nchi wote kwa pamoja tunapaswa kuungana kukomesha ufedhuli huu.
 
Tanzania Daima lina vigezo vyote vya kuitwa gazeti la UDAKU. Ndio maana Kibanda aliachana nalo, bahati mbaya akaadhibiwa kwa uamuzi wake huo.

Btw way asante kwa reference ya kitabu cha logic. Mungu akibariki nitakisoma...
Nashukuru kwa kusema asante ndo kawaida ya utanzania wetu.Kimsingi mkuu tuache kujadili propaganda tujadili vitu halisia tatizo lako na wengine ndani ya chama chenu mnataka kuelewa kuwa watanzania bado hawawezi kufikiri ila hamuwezi kubadili ukweli kuwa uongo hapa nina maana kuwa cku zote ukweli utabaki kuwa wa kweli na uongo unajitenga.Soon haya yote yataisha ziko wapi kesi za mbwembwe zilizokabili wanachadema na viongozi wake kule arusha
 
sababu ya elfu nane mia tano sabini na tatu cash (8573/=) ya KWA NINI SIWAPENDI POLISI.
 
Kama ameshikiliwa na polisi na hakuna mtu anayeruhusiwa kumuona mmejuaje kwamba anateswa? Daima acheni kuandika habari zenu kishabiki namna hii

Mkuu usiwe mvivu wa kusoma, hayo ni maneno ya mtuhumiwa akimweleza wakili wake; wewe unataka ushahidi gani zaidi ? Ni kheri uwe mjinga kuliko mpumbavu.
 
Dalili zote zisha onekana kua tanzania imeiva.bado kidogo tu tujitawale
 
Kwahiyo hilo ndio linawapeni uhalali vijana wa bavicha kuwatukana na kuwadharau wanawake?

Je ninani atukanaye?, amwachaye mwanamke bila huduma za kiafya akidhalilika kwa kujifungulia chini na aachaye watoto wa kike wakiombaomba mnazi wakilala barabarani. Lipi tusi kubwa zaidi?.
 
sipendi kabisa ila sina wasiwasi maana MUNGU HALI CHAPATI !!!!!!!
 
Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.

Hujafa hujaumbika. As long as ur still living pray god. Usikurupuke kwa kila kitu ndugu yangu, hata kama ni gaidi bado ana haki zake. Bado unapumua pia hujui mwisho wako utakuwaje.
 
Hivi ndugu shughuli zako za kukuingizia kipato uwa unazifanya saa ngapi,maana asubuhi na usiku kabla ya kulala uwa najaribu kupitia post mbali mbali,yaani wewe uwa unaonekana kwenye post kibao tena kwa zaidi ya 15 hours unachangia tu!hata kama ni self employed sidhani kama unaweza kua na muda wote huo wa kushinda JF!

Na wewe shughuli za kukuingizia kipato unazifanya saa ngapi? Inaonekana unapoteza muda mwingi kumfuatilia ZeMarcopolo; vipi anachokiandika kimekuwa tishio kwako?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
ok kumbe inawezekana humu tunadanganywa kaka hapa umeongea jambo la maana sana umenifungua macho kaka

Soma katikati ya mistari wewe na Zemoproco wako,wanaozuiwa kumuona ni nduguze ambao ndio pia wanakatazwa kumpa chakula, lakini mawakili wake wanaonana nae maana polisi wanabanwa na sheria hivyo hawawezi kuwakataza mawakili kumuona, so gazeti limepata taarifa toka kwa mawakili wake Kicheere na Kibatara!
 
Kichwa cha habari sahihi kingepaswa kuwa MTUHUMIWA WA UGAIDI AZIDI KUTESWA hapo tungekuelewa zaidi

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Vijana wa Chawa tawala bado mko na miaka ileee! Kaazi kwelikweli!
 
Back
Top Bottom