Kada CHADEMA azidi kuteswa

Kada CHADEMA azidi kuteswa

Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.

Unajua maana ya neno "mtuhumiwa"? Au kwako wewe utuhumiwa ni sawa na ukosaji? Halafu huo "uhakika" wako wa kuwa mateso anayoyapata huyu mtuhumiwa hayafikii wanayopata watuhumiwa wa ugaidi Marekani ushahidi wake uko wapi?

Nyie subirini tu; Mungu hana upendeleo na wala hahongwi. Kuna siku mtatafuta kwa kwenda na msipapate.
 
Hivi Said Mwema anaona haya? Hii ni kila mahali, Polisi hawajui kazi yao kabisa, eti walinzi wa amani, amani gani ya kutesa na kubambikiza maneno watu bila mawakili. Nasema hii ni kawaida yao kukatalia watu kuita mawakili. Ila iko siku watakwenda mahakama za kimataifa.
 
So sad indeed! Sijui nduguze wanajisikiaje muda ambapo wanajua ndugu yao anateswa na polisi. Najaribu kujivika viatu vya mama wa huyo kijana, anaumiaje!? Uwiiiiiiiiiii!
hawa jamaa ukiona bado hawajampeleka mahakamani ujue wameshindwa kupata mashitaka ya kumbambikia
 
Inauma na inasikitisha pale chombo cha usalama cha kulinda raia na mali zake kinageuka kuwa chombo kandamizi kwa sababu eti watawala ndio mtindo wanaoupenda wa kukandamiza wananchi na kuwaonea
 
Eti mtuhumiwa haruhusiwa kuonekana lakini Tanzania Daima limejua kuwa anateswa. Yaani utafikiri zile hadithi za watoto wanaobaleghe wanaoambiana kuwa "kila siku silali usiku kucha na kila siku nakuota wewe!!!"

mkuu kwa hili narudia tena uelewa wako ni mdogo sana hapo mwandishi ameandika haya ni maelezo ya wakili wake na pia ukisoma vizuri haya maneno yaliyoandikwa kwenye hii stori yana logic reasoning
 
Propaganda za cdm hizi, kijana anapata msosi wa nguvu, tena anashushia na cake ya chocolate.
 
Inauma na inasikitisha pale chombo cha usalama cha kulinda raia na mali zake kinageuka kuwa chombo kandamizi kwa sababu eti watawala ndio mtindo wanaoupenda wa kukandamiza wananchi na kuwaonea
Inauma nini bana, gaidi huyo, wa kuhurumia ni yule alie mwagiwa tindikali.
Huyu gaidi abanwe kende mpaka ataje wenzake
 
Mkuu mambo ya mipasho na kejeli uwa siyawezi,maana hayo ni mambo ya wanawake tena wale ambao ni illiterate!kwa mipasho yako hii ni dhairi hauna hoja ya kujibu!jaribu kujikomboa kifikra and keep urself busy na mambo yatakayo kuingizia kipato halali mkuu...nimemaliza

Unayetakiwa kujikomboa kifikra wewe uliyejawa na fikra kuwa wanawake ni inferior na kwamba kumwambia mtu ana mambo ya wanawake unaona ni tusi! Akili za bavicha hapo ndio mwisho wake.

Wanawake ni mama zetu, TUWAHESHIMU...
 
Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.
sumu, hii dunia inazunguka subiri likufike wewe au ndugu yako utaelewa kama ni ugaidi, siasa au unyanyasaji
 
mkuu kwa hili narudia tena uelewa wako ni mdogo sana hapo mwandishi ameandika haya ni maelezo ya wakili wake na pia ukisoma vizuri haya maneno yaliyoandikwa kwenye hii stori yana logic reasoning

sasa wewe kwa akili yako ya bavicha unadhani kila anachosema wakili ni sahihi? Kama ndio hivyo sasa kesi ya nini?

Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU.

Tanzania Daima liliandika kuwa Lwakatare kule lumande amedhoofika kwa kisukari, kesho yake tunamuona mahakamani anacheka na kunyoosha vidole vyake viwili juu akiwa mzima wa afya.

Kesi ya ughaidi haiwezi kumalizwa kwa kucheza na sympathy card za gazeti la KIDAKU la Tanzania Daima...
 
Unayetakiwa kujikomboa kifikra wewe uliyejawa na fikra kuwa wanawake ni inferior na kwamba kumwambia mtu ana mambo ya wanawake unaona ni tusi! Akili za bavicha hapo ndio mwisho wake.

Wanawake ni mama zetu, TUWAHESHIMU...

Zemarcopolo,
Iwapo CCM ingekuwa inaheshimu wanawake basi wajawazito wasingelala wawili kwenye kitanda kimoja huku madini mmeuza bei chee kwa wazungu nao wameharibu vyanzo vya maji na mmeacha wanawake wakichota maji yenye Zebaki.Anyway mnazi mmoja mama zetu wako wangapi wanaombaomba huku nyie kimyaa hata waziri hajui. Mwanamke gani unamheshimu mazeee?.
 
Hivi kwanini cdm inamtambua huyu jamaa lakini ludo wanamkataa?
 
Zemarcopolo,
Iwapo CCM ingekuwa inaheshimu wanawake basi wajawazito wasingelala wawili kwenye kitanda kimoja huku madini mmeuza bei chee kwa wazungu mmeacha wanawake wakichota maji yenye Zebaki.

Kwahiyo hilo ndio linawapeni uhalali vijana wa bavicha kuwatukana na kuwadharau wanawake?
 
itafika mahali polisi watakuwa wanawindwa na raia mitaani ili kuwalipiza visasi
polisi wanapouka genge la mateso ni hatari sana.
wanachi wakichoka hakuna wa kuweza kuwatuliza.
tena hao polisi tunapishi nao mitaani na kunywa nao.
 
Haya ndio matatizo ya kutumia vichwa vyenu kufugia nywele badala ya kuvitumia kufikiria. Kama hamuelewi kilichoandikwa hapo chini si vibaya mkaomba msaada kuliko kuandika madudu yanayowadhalilisha ninyi wenyewe.

Afadhali mkuu umewapa kubwa maana kuna watu humu wanaongozwa na hormones na sio brain yeye akiona habari yoyote anarukia kuchangia hata bila ya kujua imeanzia wapi!
 
Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.

Tupe sifa za gaidi mkuu.
 
Huyu gaidi kunyimwa wali mnalalamika wakati yeye ameg'oa watu kucha na macho bila wasiwasi wowote
 
Back
Top Bottom