Kada CHADEMA azidi kuteswa

Kada CHADEMA azidi kuteswa

hata Magreth Thatcher alimwita Mandela ni gaidi
wanalofanya polisi ni ubinadamu eehh?
kwani Misri na Tunisia ilikuwaje? Polisi waliweza kuzuia nguvu ya umma?
tena polisi wenyewe wa TZ njaa mingi hata nguvu hawana iko siku watakosa pa kukimbilia

Mawazo ya kigaidi haya.
 
Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.
Acha kupotosha. Wafungwa wa Guantanamo wanaruhusiwa kuonana na mawakili wao. Wanaruhusiwa kusoma kuruani zao.
Wanapewa chakula, tena halal. Na hawa walikamatwa kwenye uwanja wa mapambano ikiwemo Afghanistan. Huwezi kuwalinganisha hawa na Justinian, ambaye hata huo ushahidi wa ugaidi ni wa kuunga unga tu.
 
Ha ha ha ha ha Bungeniiiiiiiii
Join Date : 8th April 2013
Posts : 135
Rep Power : 328
Likes Received13
Likes Given5

Karibu aiseee
 
Nugu zangu Watanzania, hapa katika nchi hii hakuna utawala wa sheria, na pia serikali yenyewe ndio ya kwanza kuvunja sheria, nchi yangu inatia huruma na pia ni aibu kujulikana utanzania wetu, majirani wanatucheka wanasema tumelala na hatuna serikali, yaani hawa wapumbavu wameshindwa kuilinda mipaka yetu na kutumia vizuri idara ya usalama wa taifa kwa maslahi ya nchi matokeo yake wanatesa watu eti kisa, ni wapinzani jamani Zitto kabwe kaisha tuonyesha njia kamaliza mafunzo ya JKT, natoa wito kwa kila mwenye nafasi apitia mazoezi ya kijeshi hata mafunzo ya Mgambo ninaamini CCM hawatokua tayari kutuachia Nchi yetu kwa njia za kidemokrasia, KAMA HAWAWEZI KUTUPA HAKI ZETU KIHALALI NA KWA HIARI BASI INATULAZIMU KUIDAI KWA NGUVU.
 
Eti mtuhumiwa haruhusiwa kuonekana lakini Tanzania Daima limejua kuwa anateswa. Yaani utafikiri zile hadithi za watoto wanaobaleghe wanaoambiana kuwa "kila siku silali usiku kucha na kila siku nakuota wewe!!!"

ukiwa mjinga huwezi hata kushughulisha ubongo kwa maelezo yako inaonekana hata kama unafanya kazi hakika wewe ni kati ya wale walio pata zero au hata familia yako ni familia za njaa zinazoishi kwa misaada
 
Gazeti la Kidaku.

April 2 hadi April 10= Siku11?????
 
kwa wale ambayo wamepata kuingia kwenye mgogoro wowote na sheria na kujikuta kwenye mikono ya polisi atakua anajua hawa jamaa walivyo kwa jinsi ambavyo hawajali haki za mtuhumiwa, sasa sipati picha kwa hii kesi ambayo inasemekana ina shinikizo la kisiasa, hayo yanayoripotiwa sina shaka yana ukweli,
labda kama kuna mtu ambaye hawajui polisi wa nchii anaweza kushangaa haya yanayoripotiwa kundewa huyu bwana.
 
Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.
CHADEMA na wapinzani msihofu, maana utaratibu huu wa 'kupata' habari ndiyo utakaotumika kwa wahuni; wezi, na wabakaji wa demokrasia wanaojiita Chama cha Majinuni.
 
Kulazimishwa kukubali kuchukua/kurekodi mkanda wa video ya Lwakatale??????????????????????????????????????????????
 
Kishindo cha wanyonge ni zaidi ya nyuklia ,
saa inakuja na iko karibu sana
 
Mtuhumiwa wa ugaidi huwezi kutegemea akawa treated kama mtuhumiwa wa wizi wa bodaboda na ndiyo maana kwa kuliona hilo Marekani na washirika wake waliamua kuwaanzishia watuhumiwa wa ugaidi gereza lao maalum. Mtu hadi awe gaidi anakuwa na roho ngumu sana na nina uhakika hayo anayoyapitia hayafikii hata robo ya wanayokumbana nayo watuhumiwa wenzake walio chini ya serikali ya Marekani.

your bastud, and your family.
 
Huyu naye si awataje tuu waliomtuma?
Wakati yeye anay..a debe wenzake wako bungeni wanapta posho na akitoka huko wanamtosa kama Ludo tu
 
hawa jamaa ukiona bado hawajampeleka mahakamani ujue wameshindwa kupata mashitaka ya kumbambikia

Ni kweli kabisa bado wanatafuta namna ya kumuingiza kwenye mashtaka. Polisi wanajua fika sheria inasemaje kuhusu suala la kumfikisha mahakamani mtuhumiwa baada ya kumkamata na kuandikisha maelezo.
 
Acha kupotosha. Wafungwa wa Guantanamo wanaruhusiwa kuonana na mawakili wao. Wanaruhusiwa kusoma kuruani zao.
Wanapewa chakula, tena halal. Na hawa walikamatwa kwenye uwanja wa mapambano ikiwemo Afghanistan. Huwezi kuwalinganisha hawa na Justinian, ambaye hata huo ushahidi wa ugaidi ni wa kuunga unga tu.

Mkuu Jasusi
Usijifedheheshe bure kwa kutetea hawa majambazi; kwenye siasa tuongee siasa ila kwa hawa majambazi sioni unatetea kitu gani.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Jasusi
Usijifedheheshe bure kwa kutetea hawa majambazi; kwenye siasa tuongee siasa ila kwa hawa majambazi sioni unatetea kitu gani.

Chama
Gongo la mboto DSM
Chama,
Hakuna cha kujifedhehesha hapa. Kama Chadema ni majambazi basi niandike na mimi. Hatujasahau jinsi CCM ilivyokiua CUF kwa kuwasingizia uingizaji wa mapanga, udini na ugaidi. Mahita alipewa tuzo na taji kwa kuwauwa wafuasi wake licha ya kwamba Mahita ni jambazi ambaye katika serikali ya utawala wa kisheria alipaswa kuwa jela. We know what CCM is trying to do. But we are going to keep on keeping on. M4C forever.
 
Jasusi
Na wewe kama unataka kuwa jambazi huo ni utashi wako; ila kwa hawa kina Lwakatare usipoteze muda wako kwa kitu ambacho kipo wazi; mtaisingizia CCM kwa mambo ambayo yapo wazi? wakati mwingine mchawi ni wewe mwenyewe acha kumsingizia jirani. M4C ilishakufa wewe bado unayo tu? Wenzako wanapigania ruzuku

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hata wakoloni weupe walifanya kama wanavyofanya Sisiem na polisi walio chini yao. Wakoloni walitumia dola kuwatesa wapigania uhuru. Lakini hawakuweza kuzuia harakati za kudai uhuru; uhuru ukapatikana. Bahati mbaya sana mkoloni mweusi(TANU na baadaye CCM) akashika hatamu. Hadi leo anaendeleza yale yaliyofanywa na wakoloni weupe kwa maslahi yake na familia zao

Kada mmoja wa CCM alishaapa kuwa CHADEMA itakufa mwaka 2013...... wameshaanza utekelezaji kwa kubambikiza wanachama na wafuasi wa CHAEDEMA kesi za ugaidi pasipo ushahidi. Sheria ipo wazi mtuhumiwa anatakiwa kufikishwa mahakamani ndani ya masaa 24 mara anapokamatwa na polisi. Kama siyo njama za kuisambaratisha CHADEMA kwa mbinu chafu kwa nini huyu kijana hafikishwa mahakamani kwa siku 9 tangu akamatwe? Je sheria ya ugaidi inasemaje?

Wana-CCM mtambue kuwa amani ya nchi ikipotea hakuna atakayesalimika
 
Back
Top Bottom