Kada CHADEMA azidi kuteswa

Kada CHADEMA azidi kuteswa

Hapo mkuu umemaliza walijuaje anateswa wakati hawajamwona.Kweli hili ni gazeti la maandazi
Eti mtuhumiwa haruhusiwa kuonekana lakini Tanzania Daima limejua kuwa anateswa. Yaani utafikiri zile hadithi za watoto wanaobaleghe wanaoambiana kuwa "kila siku silali usiku kucha na kila siku nakuota wewe!!!"
 
Haya magazeti mengine bana kwa ku mislead, au ndio kuuza kwa vichwa vya habari?
 
Kama ameshikiliwa na polisi na hakuna mtu anayeruhusiwa kumuona mmejuaje kwamba anateswa? Daima acheni kuandika habari zenu kishabiki namna hii

Siku nyingine ujaribu kutumia kichwa chako kufikiria na si kufugia nywele tu.

Kigoma 2015 said:
Jumatatu wiki hii, mbele ya wakili wake Kicheere, mtuhumiwa huyo alieleza unyama aliofanyiwa na jeshi hilo wakati wote wa mahojiano mkoani Mwanza na jijini hapa.
 
Polisi waachwe wafanye kazi yao. Tanzania kulea magaidi ni mwiko, washughulikiwe hadi kieleweke na wakome kabisa.
Huyu angekuwa Iran au Saudia ...... tungeshamsahau.
 
uongozi wa CHADEMA-Taifa unatakiwa kupinga vitendo hivi kwa kuitisha maandamano na kulaani jinsi jeshi la polisi kwa ukatili na ukiukaji wa haki za binadamu.
 
Mawakili hao walisema wanakusudua wakati wowote kupeleka maombi Mahakama Kuu kudai polisi wapeleke mwili wa mtuhumiwa mahakamani (
habeas corpus).

Akizungumzia hatua ya mtuhumiwa huyo kutofikishwa mahakamani kama ilivyokuwa imeahidiwa, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso alisema wakiwa tayari watasema na kuomba
watu wasiingilie kazi yao.
"Tutasema siku ya kumfikisha, hapa suala la msingi ni polisi tunafanya nini, ni kama wewe unavyoandika habari,
hakuna wa kukuuliza," alisema Senso.

Alipoelezwa juu sheria inavyotaka mtuhumiwa kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24 baada ya kukamatwa, Senso alisema pasipo kufafanua kuwa
sheria hiyo hiyo inaweza kutumika vinginevyo.

Jumatatu wiki hii, mbele ya wakili wake Kicheere, mtuhumiwa huyo alieleza
unyama aliofanyiwa na jeshi hilo wakati wote wa mahojiano mkoani Mwanza na jijini hapa.

Katika maelezo yake yaliyoshuhudiwa na
Ofisa wa Polisi Makao Makuu, Advocate Nyombi, Justinian alisema kuwa baada ya kutolewa mjini Bukoba kwa siri bila ndugu zake kujua, alipelekwa jijini Mwanza na kuhojiwa bila kuruhusiwa kuonana na wakili wake.

Alieleza kuwa wakati wote wa mahojiano hayo
alikuwa akilazimishwa kukirikurekodi video ya Lwakatare inayoonesha mikakati ya ugaidi.

Alisema
alisafirishwa kwa siri kwa ndege hadi Dar es Salaam, akapelekwa chooni na kupigwa, kutishiwa na kuteswa kwa nyaya za umeme na kunyimwa fursa ya kupewa chakula.

"Nikiwa Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam niliomba kwenda chooni, waliingia pamoja na mimi wakanipiga sana, nimeshaandika maelezo kwa kulazimishwa,
niliomba kuwa na wakili wakanikatalia," alisema.

"Waliposema kuleta nyaya za umeme, kwa
kuhofia mateso ya umeme nikasema hii video ni yangu," alisema.

Source; Tanzania Daima

Mawakili walichelewa kupeleka maombi ya 'habeas corpus' Mahakama Kuu kwani maombi hayo yalitakiwa yafanywe punde baada ya mtuhumiwa 'kupotea'. Kikubwa nachokiona hapa bado ni 'impunity' katika vyombo vya dola.Nao wanakiri kuwa ni nani wa kuwauliza? Sheria wanaweza kuipinda wapendavyo kwani nayo inapindika pia.
Sheria ya ugaidi ilipitishwa haraka haraka kwa 'copy and paste' kiasi kuwa vitu vinavyofanana kama 'rendition' vilivyokuwa vinatumiwa na Wamarekani vinatumika kwa sasa hapa Tanzania.Katika sheria ya ugaidi dhamana kubwa ya uangalizi wa maamuzi kuhusu uhai wa mtu na nguvu ya kutumia wamepewa maafisa wa Polisi lakini ndiyo wa kwanza wanai 'abuse'. Yote haya ni mapungufu ya katiba na sheria zetu.
Ni wakati wa kulipeleka Jeshi la Polisi katika Tume ya Haki za Binadamu na kuanza kuwashitaki watumishi wa Jeshi hili mahakamani kama watu binafsi.. Pia uongozi wa Wizara inayosimamia Jeshi hili haitaepuka kuwajibika.
 
Hivi ndugu shughuli zako za kukuingizia kipato uwa unazifanya saa ngapi,maana asubuhi na usiku kabla ya kulala uwa najaribu kupitia post mbali mbali,yaani wewe uwa unaonekana kwenye post kibao tena kwa zaidi ya 15 hours unachangia tu!hata kama ni self employed sidhani kama unaweza kua na muda wote huo wa kushinda JF!

Usiige tembo kunya utapasuka msamba...
 
Kama ameshikiliwa na polisi na hakuna mtu anayeruhusiwa kumuona mmejuaje kwamba anateswa? Daima acheni kuandika habari zenu kishabiki namna hii

Eti mtuhumiwa haruhusiwa kuonekana lakini Tanzania Daima limejua kuwa anateswa. Yaani utafikiri zile hadithi za watoto wanaobaleghe wanaoambiana kuwa "kila siku silali usiku kucha na kila siku nakuota wewe!!!"

ok kumbe inawezekana humu tunadanganywa kaka hapa umeongea jambo la maana sana umenifungua macho kaka

Hapo mkuu umemaliza walijuaje anateswa wakati hawajamwona.Kweli hili ni gazeti la maandazi

Haya magazeti mengine bana kwa ku mislead, au ndio kuuza kwa vichwa vya habari?

Haya ndio matatizo ya kutumia vichwa vyenu kufugia nywele badala ya kuvitumia kufikiria. Kama hamuelewi kilichoandikwa hapo chini si vibaya mkaomba msaada kuliko kuandika madudu yanayowadhalilisha ninyi wenyewe.

Jumatatu wiki hii, mbele ya wakili wake Kicheere, mtuhumiwa huyo alieleza unyama aliofanyiwa na jeshi hilo wakati wote wa mahojiano mkoani Mwanza na jijini hapa.

Katika maelezo yake yaliyoshuhudiwa na Ofisa wa Polisi Makao Makuu, Advocate Nyombi, Justinian alisema kuwa baada ya kutolewa mjini Bukoba kwa siri bila ndugu zake kujua, alipelekwa jijini Mwanza na kuhojiwa bila kuruhusiwa kuonana na wakili wake.

Alieleza kuwa wakati wote wa mahojiano hayo alikuwa akilazimishwa kukiri kurekodi video ya Lwakatare inayoonesha mikakati ya ugaidi.

Alisema alisafirishwa kwa siri kwa ndege hadi Dar es Salaam, akapelekwa chooni na kupigwa, kutishiwa na kuteswa kwa nyaya za umeme na kunyimwa fursa ya kupewa chakula.

"Nimepigwa na polisi nikiwa Mwanza, nikiwa chooni Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam wakati naletwa huku, polisi wakaniambia mimi ni mtu hatari sana, niseme nilifanya nini Igunga.

"Nikiwa Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam niliomba kwenda chooni, waliingia pamoja na mimi wakanipiga sana, nimeshaandika maelezo kwa kulazimishwa, niliomba kuwa na wakili wakanikatalia," alisema.

Aliongeza kuwa akiwa Dar es Salaam alihojiwa aseme ukweli kuhusu video ya Lwakatare. Akawajibu kuwa ilifanyiwa uhariri na Ludovick, lakini akapigwa makofi na askari wakaagiza nyaya za umeme za kutesea.
 
Tz daima haliaminiki hata kwa wahariri wake ndio mana kibanda alihama
 
sitaki kuamini nw kama binadam nw wamefikia hatua ya kutomwogopa mungu ivi mtamjibu nini muumba na mkumbuke mshahara wa dhambi ni mauti, nyie policccm mungu atawapa pigo sawa sawa kadri mnavyowafanyia wenzenu just wait

na always mtabaki kutumika na wengine kutanua
 
kuna usemi unaosema"Usichopenda kutendewa wewe usimtendee mwenzako" ujumbe huu umfikie naibu katibu mkuu wa ccm Tanzania bara
 
Haya ndio matatizo ya kutumia vichwa vyenu kufugia nywele badala ya kuvitumia kufikiria. Kama hamuelewi kilichoandikwa hapo chini si vibaya mkaomba msaada kuliko kuandika madudu yanayowadhalilisha ninyi wenyewe.

ficha aibu zako wewe
 
Mwigulu ulaaniwe wewe na vizazi vyako vyote .....

Mkuu kakuku, sijui kama Mwigulu Nchemba anawaza kuhusu kizazi chake kijacho, ama anajifunza kutoka tawala mbalimbali dhalimu duniani zilizoanguka na kuangushwa... wake na watoto wao(all the family) huteswa sana kwa matendo ya wazazi wao wakati walipokuwa madarakani...
 
Last edited by a moderator:
JESHI la Polisi Makao Makuu limeendelea kumshikilia kwa siku 11 bilakumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) mjini Bukoba, Evodius Justinian (30) huku ndugu zake wakizuiliwa kumpa chakula isipokuwa maji tu.

Justinian alishikiliwa mjini Bukoba Aprili 2, mwaka huu kisha kusafirishwa hadi jijini Mwanza na kuhojiwa, kisha Dar es Salaam huku akipewa mateso makali ya kulazimishwa akubali kuhusika kutengeneza video inayomhusisha na uchochezi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare.

Awali ndugu zake na viongozi wa CHADEMA mjini Bukoba walielezwa na polisi kuwa Justinian anasafirisha kwenda wilayani Igunga, Tabora ambako alidaiwa kuwaalitenda makosa ya jinai, lakini alifichwa jijini Mwanza.

Wakizungumza na gazeti hili, mawakili wa mtuhumiwa huyo Nyaronyo Kicheere na Peter Kibatala walisema kuwa juzi jioni ndugu zake walimpelekea chakula,lakini walipofika waliambiwa kuwa haruhusiwi chakula isipokuwa maji tu.

“Asubuhi alipelekewa chai, lakini polisi walidai kuwa ndugu walichelewa na hivyo kuwazuia. Na walipopeleka chakula cha mchana waliambiwa hayupo kwani alikuwa amepelekwa hospitali bila kuitaja kwa jina,” alisema Kicheere.

Kicheere aliongeza kuwa baada ya ndugu kuwapa taarifa hiyo, yeye na wakili mwenzake Kibatala walilazimika kuondoka mahakamani Kisutu walipokuwawakimsubiri mteja wao afikishwe.

Mawakili hao walisema wanakusudua wakati wowote kupeleka maombi Mahakama Kuu kudai polisi wapeleke mwili wa mtuhumiwa mahakamani (habeas corpus).

Lakini pia mawakili hao walisema kuwa leo wataendelea kushinda mahakamani muda wote wa kazi kumsubiri mteja wao.

Waliwataka Watanzania wakiwemo wanasheria na watetezi wa haki za binadamu kuendelea kupiga kelele dhidi ya Jeshi la Polisi linavyokiuka haki za binadamu.

Akizungumzia hatua ya mtuhumiwa huyo kutofikishwa mahakamani kama ilivyokuwa imeahidiwa, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso alisema wakiwa tayari watasema na kuomba watu wasiingilie kazi yao.
“Tutasema siku ya kumfikisha, hapa suala la msingi ni polisi tunafanya nini, ni kama wewe unavyoandika habari, hakuna wa kukuuliza,” alisema Senso.

Alipoelezwa juu sheria inavyotaka mtuhumiwa kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24 baada ya kukamatwa, Senso alisema pasipo kufafanua kuwa sheria hiyo hiyo inaweza kutumika vinginevyo.

Jumatatu wiki hii, mbele ya wakili wake Kicheere, mtuhumiwa huyo alieleza unyama aliofanyiwa na jeshi hilo wakati wote wa mahojiano mkoani Mwanza na jijini hapa.

Katika maelezo yake yaliyoshuhudiwa na Ofisa wa Polisi Makao Makuu, Advocate Nyombi, Justinian alisema kuwa baada ya kutolewa mjini Bukoba kwa siri bila ndugu zake kujua, alipelekwa jijini Mwanza na kuhojiwa bila kuruhusiwa kuonana na wakili wake.

Alieleza kuwa wakati wote wa mahojiano hayo alikuwa akilazimishwa kukirikurekodi video ya Lwakatare inayoonesha mikakati ya ugaidi.

Alisema alisafirishwa kwa siri kwa ndege hadi Dar es Salaam, akapelekwa chooni na kupigwa, kutishiwa na kuteswa kwa nyaya za umeme na kunyimwa fursa ya kupewa chakula.

“Nimepigwa na polisi nikiwa Mwanza, nikiwa chooni Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam wakati naletwa huku, polisi wakaniambia mimi ni mtu hatari sana, niseme nilifanya nini Igunga.

“Nikiwa Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam niliomba kwenda chooni, waliingia pamoja na mimi wakanipiga sana, nimeshaandika maelezo kwa kulazimishwa, niliomba kuwa na wakili wakanikatalia,” alisema.

Aliongeza kuwa akiwa Dar es Salaam alihojiwa aseme ukweli kuhusu video ya Lwakatare. Akawajibu kuwa ilifanyiwa uhariri na Ludovick, lakini akapigwa makofi na askari wakaagiza nyaya za umeme za kutesea.

“Waliposema kuleta nyaya za umeme, kwa kuhofia mateso ya umeme nikasema hii video ni yangu,” alisema.

Source; Tanzania Daima
naona gazeti letu linafanya kila liwezavyo kutunusuru na chama chetu kwenye hili janga la ugaidi...
kweli kila lenye mwanzo lina mwisho wake
 
JESHI la Polisi Makao Makuu limeendelea kumshikilia kwa siku 11 bilakumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) mjini Bukoba, Evodius Justinian (30) huku ndugu zake wakizuiliwa kumpa chakula isipokuwa maji tu.

Justinian alishikiliwa mjini Bukoba Aprili 2, mwaka huu kisha kusafirishwa hadi jijini Mwanza na kuhojiwa, kisha Dar es Salaam huku akipewa mateso makali ya kulazimishwa akubali kuhusika kutengeneza video inayomhusisha na uchochezi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare.

Awali ndugu zake na viongozi wa CHADEMA mjini Bukoba walielezwa na polisi kuwa Justinian anasafirisha kwenda wilayani Igunga, Tabora ambako alidaiwa kuwaalitenda makosa ya jinai, lakini alifichwa jijini Mwanza.

Wakizungumza na gazeti hili, mawakili wa mtuhumiwa huyo Nyaronyo Kicheere na Peter Kibatala walisema kuwa juzi jioni ndugu zake walimpelekea chakula,lakini walipofika waliambiwa kuwa haruhusiwi chakula isipokuwa maji tu.

"Asubuhi alipelekewa chai, lakini polisi walidai kuwa ndugu walichelewa na hivyo kuwazuia. Na walipopeleka chakula cha mchana waliambiwa hayupo kwani alikuwa amepelekwa hospitali bila kuitaja kwa jina," alisema Kicheere.

Kicheere aliongeza kuwa baada ya ndugu kuwapa taarifa hiyo, yeye na wakili mwenzake Kibatala walilazimika kuondoka mahakamani Kisutu walipokuwawakimsubiri mteja wao afikishwe.

Mawakili hao walisema wanakusudua wakati wowote kupeleka maombi Mahakama Kuu kudai polisi wapeleke mwili wa mtuhumiwa mahakamani (habeas corpus).

Lakini pia mawakili hao walisema kuwa leo wataendelea kushinda mahakamani muda wote wa kazi kumsubiri mteja wao.

Waliwataka Watanzania wakiwemo wanasheria na watetezi wa haki za binadamu kuendelea kupiga kelele dhidi ya Jeshi la Polisi linavyokiuka haki za binadamu.

Akizungumzia hatua ya mtuhumiwa huyo kutofikishwa mahakamani kama ilivyokuwa imeahidiwa, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso alisema wakiwa tayari watasema na kuomba watu wasiingilie kazi yao.
"Tutasema siku ya kumfikisha, hapa suala la msingi ni polisi tunafanya nini, ni kama wewe unavyoandika habari, hakuna wa kukuuliza," alisema Senso.

Alipoelezwa juu sheria inavyotaka mtuhumiwa kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24 baada ya kukamatwa, Senso alisema pasipo kufafanua kuwa sheria hiyo hiyo inaweza kutumika vinginevyo.

Jumatatu wiki hii, mbele ya wakili wake Kicheere, mtuhumiwa huyo alieleza unyama aliofanyiwa na jeshi hilo wakati wote wa mahojiano mkoani Mwanza na jijini hapa.

Katika maelezo yake yaliyoshuhudiwa na Ofisa wa Polisi Makao Makuu, Advocate Nyombi, Justinian alisema kuwa baada ya kutolewa mjini Bukoba kwa siri bila ndugu zake kujua, alipelekwa jijini Mwanza na kuhojiwa bila kuruhusiwa kuonana na wakili wake.

Alieleza kuwa wakati wote wa mahojiano hayo alikuwa akilazimishwa kukirikurekodi video ya Lwakatare inayoonesha mikakati ya ugaidi.

Alisema alisafirishwa kwa siri kwa ndege hadi Dar es Salaam, akapelekwa chooni na kupigwa, kutishiwa na kuteswa kwa nyaya za umeme na kunyimwa fursa ya kupewa chakula.

"Nimepigwa na polisi nikiwa Mwanza, nikiwa chooni Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam wakati naletwa huku, polisi wakaniambia mimi ni mtu hatari sana, niseme nilifanya nini Igunga.

"Nikiwa Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam niliomba kwenda chooni, waliingia pamoja na mimi wakanipiga sana, nimeshaandika maelezo kwa kulazimishwa, niliomba kuwa na wakili wakanikatalia," alisema.

Aliongeza kuwa akiwa Dar es Salaam alihojiwa aseme ukweli kuhusu video ya Lwakatare. Akawajibu kuwa ilifanyiwa uhariri na Ludovick, lakini akapigwa makofi na askari wakaagiza nyaya za umeme za kutesea.

"Waliposema kuleta nyaya za umeme, kwa kuhofia mateso ya umeme nikasema hii video ni yangu," alisema.

Source; Tanzania Daima
Watatusababishia tuingie msituni tu hawa @<#$bwa kabla ya 2015. Tuombe uvumilivu
 
JESHI la Polisi Makao Makuu limeendelea kumshikilia kwa siku 11 bila kumfikisha mahakamani Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA) mjini Bukoba, Evodius Justinian (30) huku ndugu zake wakizuiliwa kumpa chakula isipokuwa maji tu. Justinian alishikiliwa mjini Bukoba Aprili 2, mwaka huu kisha kusafirishwa hadi jijini Mwanza na kuhojiwa, kisha Dar es Salaam huku akipewa mateso makali ya kulazimishwa akubali kuhusika kutengeneza video inayomhusisha na uchochezi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare.

Awali ndugu zake na viongozi wa CHADEMA mjini Bukoba walielezwa na polisi kuwa Justinian anasafirisha kwenda wilayani Igunga, Tabora ambako alidaiwa kuwa alitenda makosa ya jinai, lakini alifichwa jijini Mwanza.

Wakizungumza na gazeti hili, mawakili wa mtuhumiwa huyo Nyaronyo Kicheere na Peter Kibatala walisema kuwa juzi jioni ndugu zake walimpelekea chakula, lakini walipofika waliambiwa kuwa haruhusiwi chakula isipokuwa maji tu.
"Asubuhi alipelekewa chai, lakini polisi walidai kuwa ndugu walichelewa na hivyo kuwazuia. Na walipopeleka chakula cha mchana waliambiwa hayupo kwani alikuwa amepelekwa hospitali bila kuitaja kwa jina," alisema Kicheere.

Kicheere aliongeza kuwa baada ya ndugu kuwapa taarifa hiyo, yeye na wakili mwenzake Kibatala walilazimika kuondoka mahakamani Kisutu walipokuwa wakimsubiri mteja wao afikishwe. Mawakili hao walisema wanakusudua wakati wowote kupeleka maombi Mahakama Kuu kudai polisi wapeleke mwili wa mtuhumiwa mahakamani (habeas corpus).

Lakini pia mawakili hao walisema kuwa leo wataendelea kushinda mahakamani muda wote wa kazi kumsubiri mteja wao. Waliwataka Watanzania wakiwemo wanasheria na watetezi wa haki za binadamu kuendelea kupiga kelele dhidi ya Jeshi la Polisi linavyokiuka haki za binadamu. Akizungumzia hatua ya mtuhumiwa huyo kutofikishwa mahakamani kama ilivyokuwa imeahidiwa, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Senso alisema wakiwa tayari watasema na kuomba watu wasiingilie kazi yao.

"Tutasema siku ya kumfikisha, hapa suala la msingi ni polisi tunafanya nini, ni kama wewe unavyoandika habari, hakuna wa kukuuliza," alisema Senso.
Alipoelezwa juu sheria inavyotaka mtuhumiwa kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24 baada ya kukamatwa, Senso alisema pasipo kufafanua kuwa sheria hiyo hiyo inaweza kutumika vinginevyo.

Jumatatu wiki hii, mbele ya wakili wake Kicheere, mtuhumiwa huyo alieleza unyama aliofanyiwa na jeshi hilo wakati wote wa mahojiano mkoani Mwanza na jijini hapa. Katika maelezo yake yaliyoshuhudiwa na Ofisa wa Polisi Makao Makuu, Advocate Nyombi, Justinian alisema kuwa baada ya kutolewa mjini Bukoba kwa siri bila ndugu zake kujua, alipelekwa jijini Mwanza na kuhojiwa bila kuruhusiwa kuonana na wakili wake.

Alieleza kuwa wakati wote wa mahojiano hayo alikuwa akilazimishwa kukiri kurekodi video ya Lwakatare inayoonesha mikakati ya ugaidi. Alisema alisafirishwa kwa siri kwa ndege hadi Dar es Salaam, akapelekwa chooni na kupigwa, kutishiwa na kuteswa kwa nyaya za umeme na kunyimwa fursa ya kupewa chakula.

"Nimepigwa na polisi nikiwa Mwanza, nikiwa chooni Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam wakati naletwa huku, polisi wakaniambia mimi ni mtu hatari sana, niseme nilifanya nini Igunga.

Source : Tanzania Daima; Alhamisi, Aprili 11, 2013
 
Usiige tembo kunya utapasuka msamba...

Mkuu mambo ya mipasho na kejeli uwa siyawezi,maana hayo ni mambo ya wanawake tena wale ambao ni illiterate!kwa mipasho yako hii ni dhairi hauna hoja ya kujibu!jaribu kujikomboa kifikra and keep urself busy na mambo yatakayo kuingizia kipato halali mkuu...nimemaliza
 
ivi nyie policccm sitaki kuamini mmefikia hatua ya kutomwogopa mungu, mtajibu nini kwa muumba maisha yenyewe mafupi bt mkuumbuke hata unavyopiga goti kusali sidhani ka mungu anaweza pokea maombi yako na mkumbuke mtalipwa ivyo ivyo kadri mlivyowafanyia wenzenu

nawasilisha
 
Back
Top Bottom