Mbunge wa Biharamulo mashariki kwa tiketi ya TLP Mhe Kabuye kafariki,habari zaidi nitazidi kuwaletea
Gharama za uchaguzi ni kubwa na wanatwishwa wananchi, Sasa tunahitaji tufike mahali viongozi wetu wapimwe afya zao kabla ya kupewa uongozi maana si ajabu kwa kufanya hivyo baadhi yao wasinge faa kuchanguliwa. naomba nieleweke sina maana ya kwamba mzee Kabuye alikuwa mgonjwa kwani sijui kilichomwua.
Well, hadi sasa waliokufa kwa ugonjwa wamefikia watatu, na waliokufa kwa ajali wamefikia wanne (akiwemo Kabuye).
Halafu ukishawapima ndiyo utajua wanakufa kabla au baada ya miaka mitano? Na ni nani aliyekwambia kwamba viongozi hawapaswi kufa wakiwa madarakani?
RIP Phares Kabuye