Kabuye (mbunge pekee wa TLP) Kafariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kabuye (mbunge pekee wa TLP) Kafariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, Apr 24, 2009.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2009
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mbunge wa Biharamulo mashariki kwa tiketi ya TLP Mhe Kabuye kafariki,habari zaidi nitazidi kuwaletea
   
 2. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  RIP Kabuye tutakukumbuka kwa hoja zako
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  RIP Kabuye! Nilipenda style ya uchangiaji hoja bungeni yaani lazima ungependa kumfuatilia!

  je alikuwa bado mbunge? sii alishindwa ktk kesi?
   
 4. ram

  ram JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,203
  Likes Received: 905
  Trophy Points: 280

  Jamani huyu babu amekufa?

  RIP Kabuye, Jina la bwana libarikiwe
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  R.I.P Mwalimu Kabuye
   
 6. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  RIP Mhe Kabuye...Mungu aifariji familia yako wakati huu mgumu.
   
 7. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Duh..

  Umenishitua sana..Huyu Mzee alikuwa anumwa..Amepatwa na maswahiba gani tena?Mbunge pekee aliyefanya kampeni kwa kutumia Baiskeli!

  Mara ya mwisho nakumbuka alikuwa ana kesi,sijui iliishia wapi?so sad!

  Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali pema Peponi Amin.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Poleni Familia, TLP na watanzania!
   
 9. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mungu amrehemu!
   
 10. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Daaah.....huyu babu kwa kweli alikuwa shupavu sana kule bungeni, alikuwa na style ya aina yake katika kuchangia, alikuwa mkali, mchungu sana kny issues alizokuwa anazitetea!

  RIP Kabuye!
   
 11. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #11
  Apr 24, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  OOh masikini mheshimiwa Kabuye, tutakukosa sana japo tulianza kukukosa tangu ubunge wako utenguliwe na mahakama. Poleni wana TLP poleni watanzania.
   
 12. Brutus

  Brutus Senior Member

  #12
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 174
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Dah!
  RIP Mh Kabuye!
   
 13. k

  kela72 Senior Member

  #13
  Apr 24, 2009
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I see alikuwa anasisimua sana kwa hoja zake bungeni.
  Lakini kama nakumbuka ubunge wake ulitenguliwa na mahakama? Ikoje hii, niko sahihi jamani?
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  RIP Kabuye. Umeliacha jimbo lako bila mwakilishi kwa sababu hata kesi hukuimaliza. Mungu awape nguvu wanafamilia na wapiga kura wako.
   
 15. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  NAomba uthibitisho kutoka kwa mtoa habari. amezipata kutoka kwa nani au kupitia wapi maana siku hizi tetesi zimezidi sana.
  Nataka uthibitisho kwanza ili niweze kutoa rambirambi zangu.
   
 16. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Aisee!
  RIP pHARES
  Tutakukumbuka Bungeni uliwakilisha hisia za wanyonge
   
 17. Augustoons

  Augustoons JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2009
  Joined: Oct 31, 2007
  Messages: 410
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Yeah hadi anakufa sasa hivi hakuwa mbunge, kwani ubunge wake ulitenguliwa mwaka jana au juzi nadhani, niliwahi kuiona judgment yake,labda kama alikata rufaa na hata kama alikata rufaa kesi yake itakuwa ilikuwa haijaisha
   
 18. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
   
 19. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Rip kabuye
   
 20. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mungu na aikumbuke familia yake na watu wa Biharamulo.
  Mwalimu Kabuye atakumbukwa kwa uzalendo wake halisi.
  Jinsi alivyokuwa mtetezi wa wanyonge zaidi tabaka la wakulima.
  Ni mbunge ambaye Bunge likiisha tu Dodoma, yeye anakwenda Biharamuro wakati wenzake wanakimbilia Dar.
   
Loading...