Kaburu: Ntatafuta point tatu popote

Kaburu: Ntatafuta point tatu popote

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
404
Ndugu mwans jf kauli hiyo ya kaburu unaitafsiri vp??? Huko nyuma ndugu kaburu amekuwa akishutumiwa kupaanga matokeo kwa kuwahonga wachezaji wa timu pinzani ili wafungishe...sasa nikiangalia shutuma dhidihuko nyuma na hii kauli napata wasiwssi na muelekeo wa soka letu
 
Mambo ya siku hizi ni kisheria-sheria. Kwa hivyo apewe faida ya shaka (benefit of doubt). Labda amekusudia popote Simba itapokuwa inacheza!
 
Ndugu mwans jf kauli hiyo ya kaburu unaitafsiri vp??? Huko nyuma ndugu kaburu amekuwa akishutumiwa kupaanga matokeo kwa kuwahonga wachezaji wa timu pinzani ili wafungishe...sasa nikiangalia shutuma dhidihuko nyuma na hii kauli napata wasiwssi na muelekeo wa soka letu

Aliwahi kumpigia simu Kijiko akiwa Yanga na akaredodiwa. Ndio mambo yake. Ajabu ni kiongozi wa TFF. Ifike mahali sheria izuie kutumikia TFF na club kwa wakati mmoja. Kwenye Taifa Stars wakiwa Kenya alienda kwa manufaa ya club yake.
 
Ndugu mwans jf kauli hiyo ya kaburu unaitafsiri vp??? Huko nyuma ndugu kaburu amekuwa akishutumiwa kupaanga matokeo kwa kuwahonga wachezaji wa timu pinzani ili wafungishe...sasa nikiangalia shutuma dhidihuko nyuma na hii kauli napata wasiwssi na muelekeo wa soka letu
usiwe na wasiwasi na soka letu ila soka la simba sc..kauli kama hizi unatakiwa uwaambie mashabiki ambao ni MAMBUMBUMBU na nadhani KABURU yuko sahihi..teh teh teh..yaan kawaambia watu MAMBUMBUMBU
 
hivi uchaguzi wa simba unaendeleaje vile?
 
Kaburu ameshinda umakamu wa rais simba...ombi langu kwa tff ni kufuatilia nyendo zake ...na uhakika km kweli hizo ndyo tabia zake watamkamata.tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom