Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,478
Mambo ya mizimu hayarahisishwi hivyo, miaka mitano ni kidogo sana. Walifanya agano na miungu, nani aijua kesho yao?Room mate wangu nikiwa chuo alishawishiwa na mwenzi wake wakaape hapo, tulipomaliza chuo kila mmoja na hamsini zake, hakuna madhara, miaka mi 5 sasa.
Mkuu achana na kiapo bwana..unaweA kufikiri miaka 5 ni ming...ni michache sana ...madhara.yanakujaga katika.hali.usiyoitarajia kabisa.Wako mbele kiongozi robert nesta marley anasema hiv don't worry about thing bcoz everything gona b all right
Mkuu achana na kiapo bwana..unaweA kufikiri miaka 5 ni ming...ni michache sana ...madhara.yanakujaga katika.hali.usiyoitarajia kabisa.Room mate wangu nikiwa chuo alishawishiwa na mwenzi wake wakaape hapo, tulipomaliza chuo kila mmoja na hamsini zake, hakuna madhara, miaka mi 5 sasa.
mama chupaki mimi huo mdomo wako tu naweza kumaliza kazi ngoja niende kaburi la wapenda nao nikaape kuwa nitakupata siku mojaHuyo tour guider amekudanganya sana.
Hamna kitu kama hicho. Hata mizimu ni myth tu.Mambo ya mizimu hayarahisishwi hivyo, miaka mitano ni kidogo sana. Walifanya agano na miungu, nani aijua kesho yao?
SawaHamna kitu kama hicho. Hata mizimu ni myth tu.
Imani ya hovyohovyo tu.
Ukimkosa unapata madharamama chupaki mimi huo mdomo wako tu naweza kumaliza kazi ngoja niende kaburi la wapenda nao nikaape kuwa nitakupata siku moja