Dada hauna hata chembe ya sense of humour? Ina maana hujajua kila sentensi yangu ilikuwa ni ya utani? Yaani TV kaburini bado unataka kufanya issue serious? Au umeachika nini?
Khahahahaahahahah! Avatar na ID zina mambo!!
kwa wale waliobahatika kufika katika eneo la kuwapumzisha ndugu na jamaa zetu makaburi ya KORA mjini Morogoro (barabara ya DSM ya zamani) kwa kipindi cha hivi karibuni yaani kama miezi miwili ivi watakuwa wamejionea ilo kaburi.
Ni kaburi lililopambwa kwa nakshi za gharama na kuezekwa kwa zege kama nyumba ya mfalme.
Kwa mujibu wa maelezo yatolewayo na mafundi waliopewa kufanya shughuli ya ujenzi katika eneo hilo, wamesema kaburi hilo limegharimu si chini ya shilingi milioni 25 fedha halali za kitanzania.
Pia inasemekana marehemu ni ndugu wa tajiri mmoja aliyekuwa akiishi nje ya nchi, kwahiyo vifaa vya ujenzi wa kaburi hilo vimeagizwa kutoka ughaibuni.
*sasa hii si kufuru jaman, ivi kuna maandiko gani yanasema tufanye haya?? Hata kama ni upendo au heshima kiasi gani sisi sote hatuna thamani tukishakufa na twapaswa kujitambua, lasivyo tutajiongezea dhambi za bure kwa Mwenyezi Mungu (sw)*
#picha: by Abdulatif Edmund
![]()
Mkuu black and white acha kulata matusi yako hapa kama huna cha kuzungumza nenda kazungumze na dada zako jikoni wasaidie kupika usile maneno ya kike hapa tafadhali Bwabwa wewe mwenyewe Schwein.Kilichoagizwa toka ugaibuni imamaani
1-cement
2-matofali
3-kokoto
4-nilu
3-mchanga
sababu kulingana na picha yako hayondiyo material yalitotumika.
Wewe bwabwa mwanaume huwezi kuwa natabia ya namna hii.milidhani kunakitu cha hajabu kulingana na tittle yako.kwani kuja kujenga alipititsha mchango kama nimfuko wake wewe kinakukera nini mpaka unakwenda kuwauliza mafundi ghalama zilizotumika.kaka humiza kichwa upate njia za kutafuta pesa hachana na kifatilia mambo ya watu hayatakisaidia
Eeeeeh eeeeh!!!! Mkuu Nguvumali hapo umenimaliza kabisa...Tehee teheee.haya Tazameni hili la KINONDONI ! RIP Joel, your smile has made another star in heaven....
![]()
Mkuu black and white acha kulata matusi yako hapa kama huna cha kuzungumza nenda kazungumze na dada zako jikoni wasaidie kupika usile maneno ya kike hapa tafadhali Bwabwa wewe mwenyewe Schwein.
mwanamme kumtukana mwanamme mwenzie bila sababu ni sawasawa na Mwanamke ambaye anamuonea wivu mwanamke mwenzie. au Mwanamme mwenye maneno ya matusi ni sawsawa na mwanamme shoga King'asti kuna wanaume wengine wana tabia za kike na kuna wanawake wengine wana tabia za kiume sababu kubwa ni hormone zikizidi unabadilika tabia kama ni mwanamme unakuwa na tabia ya kike na kama ni mwanamke hormone zikizidi unakuwa na tabia ya kiume sasa huyo jamaa nimemuambia aache tabia za kike wakati yeye Mungu kamuumba ni dume .Maneno ya kike hapo ni yapi dr?
Eeeeeh eeeeh!!!! Mkuu Nguvumali hapo umenimaliza kabisa...Tehee teheee.
Sina uhakika Kama TRA walitembelea kukusanya ile Kodi Yao ya kuandika jina binafsi kwenye Number Plate ya hiyo ndinga!
Ina maana ukitembelea kaburi inabidi ukae upande wa abiria au Dereva ????Lmfao.
Usiogope mm mshabiki tu, mwenyewe ananyea debe....lolz
Hata lipambwe vipi harudi...just waste of space
nadhani hayo mabomba ya maji safi ni kwa ajili ya maji ya kunywa kwa marehemu pale akiwa anaangalia hzo tv..pia wangeweka na baa humo humo na wangemzka na mkewe awe anapga mechi marehemu wao.