Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Hili liko kule Tanga kwenye makaburi ya magoa Bombo Area
ukitaka kutambua jamii hii ikoje nenda katizame makaburi ya wafu wao -by jf memberACHA VIJI WIVU VYA KIKUDA.
KWANI WAPI PAMEANDIKWA KUREMBA KABURI NI DHAMBI MBELE ZA MUNGU?
kUPAMBA KABURI WAMEVUNJA AMRI YA NGAPI YA MUNGU?
ni kweli hilo kaburi linazidi hata milioni 25, ukiachia hiyo zege huko chini limewekewa madirisha ya alminium, kuna mabomba ya kuingiza maji safi ya baridi na moto, kuna mfumo wa kutoa maji taka. Wame install simu ya waya na kuna wifi, lina ac na automatic generator pia limefungwa panel za watt 40 za sola. Kuna tv led 3d samsung 60" , kuna decoder ya dstv pvr hd iliyolipiwa premium kwa miaka mitatu, kuna dispenser ya maji na micro wave, blender na jiko gesi. Sofa seater za leather corner, laptop mbili aina ya macbook pro, kapeti la manyoa kutoka uturuki, ps3, jacuzzi na vingine sikuweza kuvijua majina maana sijawahi kuviona.
Thomaso leo hata picha huamini unataka kugusa kabisa? Basi nipe kontact zako siku ukifa ntakuunganisha na jamaa wa kipindi cha PIMP MY CEMETERY na wewe wakufanyie maujanja kama ya Kora.
Hili liko kule Tanga kwenye makaburi ya magoa Bombo Area
![]()
umesahau ile carina kurahisisha usafiri kwa marehemu
unatishaHili liko kule Tanga kwenye makaburi ya magoa Bombo Area
![]()