Kabul, Afghanistan: Wananchi wadandia ndege baada ya Taliban kutwaa Ikulu ya Rais

Ulihitimu darasa la saba?umeelewa nilichoandika?
Yani sjashindwa kukujibu...nina majibu mengi mpaka nmeshindwa kuchagua...

Ndomana nkakuambia ubadilishe swali...Usiulize nchi Gani wameenda wakasumbua uniulize Ni nchi Gani wameenda hawajasumbua maana Kwa kumbukumbu zangu finyu Ni nchi zote walizoenda wamesumbua
Wewe ni kituko humu JF hakuna asiyekujua,hujawahi kuchangia kitu cha maana humu zaidi ya chuki ya udini,inaonekana uliachika toka kwa mtu wa hiyo dini ndio ukaamua kuchukia mpaka dini yake.
 
Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu...
Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi
Hamia huko kwa Taliban upigwe viboko vya kutosha usipovaa niqab
 
Nimeiona Al Jazeera aisee kwenye lile dege la kijeshi la Marekani, kiukweli inatisha sanaa, wamekufa watu watatu walioidandia ndege kwa nje kwani wakati lile dege linapaa wakaanguka wakati tayari liko juu...
Hata wangeleta ndege 1000 zisingetosha
 
Hao waliozunguka ndege Ni wamarekani wamepandikizwa Tu kuishangilia Ndege....Waafghanistan wa ukweli WaPo nyumbani wanashangilia kutawaliwa Na Dola ya haki ya kiislam(Dini ya Amani)
Mkuu upo serious kweli?
 
Hizi picha ni propaganda Tu za western countries kwasabb mpaka wanachukua udhibiti hapajatokea umwagikaji damu...
Wananchi wenyewe wamefurahi sana Taliban fighters kuongoza nchi
Propaganda za Africans ni zipi au wao wapo wapo tu kama Mang'ombe ?
 
Wewe ni kituko humu JF hakuna asiyekujua,hujawahi kuchangia kitu cha maana humu zaidi ya chuki ya udini,inaonekana uliachika toka kwa mtu wa hiyo dini ndio ukaamua kuchukia mpaka dini yake.
Siku ukija Na hoja badala ya mipasho....nishtue ndo ntakureply...Hii ndo last reply yangu kwako
 
Wewe ni mtu wa kujadili hoja au mtu wa chuki za udini? Huna hoja yeyote humu JF,comment zako zote ni za kijinga jinga tu,ila dawa yako ninayo,utapona tu,dozi zipo za kutosha.
 
Nimeiona Al Jazeera aisee kwenye lile dege la kijeshi la Marekani, kiukweli inatisha sanaa, wamekufa watu watatu walioidandia ndege kwa nje kwani wakati lile dege linapaa wakaanguka wakati tayari liko juu...
Wawapeleke wapi?
 
Ulihitimu darasa la saba?umeelewa nilichoandika??
Yani sjashindwa kukujibu...nina majibu mengi mpaka nmeshindwa kuchagua...

Ndomana nkakuambia ubadilishe swali...Usiulize nchi Gani wameenda wakasumbua uniulize Ni nchi Gani wameenda hawajasumbua maana Kwa kumbukumbu zangu finyu Ni nchi zote walizoenda wamesumbua
Niliishia la 3C, usirudie kuandika niamini mimi broo, haujui kitu
 
Basi shinda majukwaa ya biashara...haya majukwaa yanayohitaji akili kidogo kaa nayo mbali
Kwa wewe mwenye akili jibu hili swali,

"Ni nchi gani salama kwenye hii dunia ambapo hao watu huwa wanasahau walikotoka na kuchinja raia? Ufaransa na Uingereza lini walichinjwa na hao watu?"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom