Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,916
- 14,640
Miaka 20 ndio standard?sawa kaanae miaka 20 halafu umuoe uone kama atabadirika kutokuwa kigagula!
Miaka 20 ndio standard?sawa kaanae miaka 20 halafu umuoe uone kama atabadirika kutokuwa kigagula!
Tulia. Punguza ushauri.utajua mwenyewe
Anataka kuoa mtu aliefahamiana nae ndani ya siku mbili.Leo KENZY kaamka na ndoa