Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Inaelezwa kuwa kabla ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote mbili watapimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni.
Ikumbukwe kuna mwaka Jana, kuna video ambayo ilizua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said alizi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Soma, Pia: Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex
Soma, Pia: Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex