St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,641
- 11,201
Kuna viumbe wamepewa vipaji kwa njia tofauti lakini hawa wenye maneno achana nao. Sifa zao Wazinifu,Matapeli,Walahai pia wanaweza kukuuzia kitu hata hukitaki lakini maneno yake tu utakinunua.Mwanangu kuna mshkaji huyo Anaitwa Bajeti ya kunguru
Jamaa ni Konyo..!!
Kwa maneno ya kumtoa ndege kwenye kiota namuaminia,